Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

Gaganiga

Senior Member
Joined
Nov 13, 2022
Posts
168
Reaction score
376
Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani?

Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha.

Kwangu mimi sina haja hata ya kujenga kwasababu hizo ni fikra za kimaskini aisee wazazi walitafuta mali kwa ajili ya nani? Si watoto wao? Kwahiyo mimi nijenge ili iweje? Au nigundue nini hasa?

Nyie ambaye wazazi wenu nhawakuwatafutia mali ndio pambaneni na umasikini na ufukara wenu huo hahahaha kwenye account mahela yamejaa kedekede na ma plot yapo kutosha.

Kwahiyo nyie mijitu acheni mi stress,wivu na chuki za hovyo ambazo hazina msingi wowote muwalaumu wazazi wenu kutowatengenea future zenu wao si walikuwa wanajifanya mabraza men? Kwahiyo pambaneni kulipa hiyo karma ya umasikini na ufukara.

Mali za wazazi zipo tena mzizima hapa hapa bandari salama sio huko kwenu bara ambapo hamjastaarabika.

NB: Huu ni uzi wa watu wa mzizima au bandari salama kama wewe ni mtu wa bara pita hivi.
 
Attachments

  • dbc64377466f4140907181e9472ea3f9_320_320.jpg
    dbc64377466f4140907181e9472ea3f9_320_320.jpg
    8.2 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1672083464452.jpg
    FB_IMG_1672083464452.jpg
    61.1 KB · Views: 7
  • FB_IMG_1672083443953.jpg
    FB_IMG_1672083443953.jpg
    209.3 KB · Views: 8
  • 255789003338_status_5f090a55a3e84a4f990e9f2ff1a91bde.jpg
    255789003338_status_5f090a55a3e84a4f990e9f2ff1a91bde.jpg
    54.7 KB · Views: 7
Kama wazazi walitafuta kwa ajili yako, nawe tafuta kwa ajili ya watoto wako.

Hongera, wengine hawakuwa na bahati kama yako, ila na wewe ukiichezea hiyo bahati watoto wako wataishi kama sisi.😃
 
Zamani mshahara mmoja wa Messenger ulitosha kununua viwanja 2 na chenji inarudi.
Sasa hivi labda mshahara wa mkurugenzi na Meneja ndio unatosha kununua angalau kiwanja kimoja.
Vijana wa zamani walikuwa wanashindana uzinzi na ulevi.
 
Tuendelee na mada zetu za kukera you know how much you know hahahahaha nyie si wazazi wenu si waliamini mjini msingi kiuno? Miaka Ile DDC Mlimani Park walikuwa hawakosekani?

Niwaambie kile kipindi wazazi wa wenzenu walikuwa wananunua Maplot huko kedekede hahahahaha.

Kwangu mimi sina haja hata ya kujenga kwasababu hizo ni fikra za kimaskini aisee wazazi walitafuta mali kwa ajili ya nani? Si watoto wao? Kwahiyo mimi nijenge ili iweje? Au nigundue nini hasa?

Nyie ambaye wazazi wenu nhawakuwatafutia mali ndio pambaneni na umasikini na ufukara wenu huo hahahaha kwenye account mahela yamejaa kedekede na ma plot yapo kutosha.

Kwahiyo nyie mijitu acheni mi stress,wivu na chuki za hovyo ambazo hazina msingi wowote muwalaumu wazazi wenu kutowatengenea future zenu wao si walikuwa wanajifanya mabraza men? Kwahiyo pambaneni kulipa hiyo karma ya umasikini na ufukara.

Mali za wazazi zipo tena mzizima hapa hapa bandari salama sio huko kwenu bara ambapo hamjastaarabika.

NB: Huu ni uzi wa watu wa mzizima au bandari salama kama wewe ni mtu wa bara pita hivi.
Ila sometimes ni kweli,tupambane wakuu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom