Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

Kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kutengeneza future za watoto wao nyie wazazi wenu waliamini mjini msingi kiuno?

Na vijana walioachiwa mali nao wakizubaa na kuzitapanya bila maarifa watakuja kutukanwa na vizazi vyao kwamba walikaa kizembe. Mzazi akikuachia mali ni kwamba amekupa kianzio ili na wewe utafutie wanao.
saw super womani
 
Hivi wanaoishi tandale mbagala au vingunguti nao wamestaarabika tofauti na walioko bara?
Wasukuma bado watoto wanakunya kuzunguka nyumba na watu wazima vichakani,au we unaelewa ustaarabu ni kukaa apartment!?
 
nimeondoka home na begi la nguo tu .nikamuacha mzee na mali kendekende za kutosha wala sijawahi kumuomba hata mia nikasagika vibaya sanaa kitaa ukiniona huwezi amini kuwa nilikuwa wamboga saba na mzee alijua ntachemsha lakini miaka 5 baadae yani yuko kavu mimi naachanja mbuga tu nilishaapa ntahangaika kwa ajili ya kizazi changu tu.
 
Kwa kweli mitandao imewasaidia sana vijana kujituma na kuwekeza tofauti na zamani ambapo watu walikuwa hawaambiani kuhusu maisha

Hebu ona wangapi wamejifunza kutokana na ukweli kwenye mitandao
Watu wanapeana mbinu za biashara na wanaojiwekea akiba na wanaotoa ushauri wq bure

Enzi zetu haya mambo yalikuwa kwa wachache sana kuwafundisha watoto wao maisha

Wazazi wengine walijua biashara au ajira ila walikuwa hawana hizo fikra za kuwaambia watoto wao
Na matokeo ndio haya

Sioni haja ya kusifu au kuponda bali wengi wamekuja kushtuka mda umeenda sana

Hata walio bahatika kuachiwa mirathi nanyi watengenezeeni watoto wenu mapema
Umri wa binadamu ni mfupi sana Kama una watoto wajengee kabisa
Ukizeeka usizeeke wewe ni wa kupita tu watengenezee watoto maisha yao leo ili wasihangaike baadae na uwafundishe mbinu za maisha
 
Kwani Kuna mtu anakuomba kula wewe ?halafu kwa akili yako ya kizibo Cha soda unafikiri kila mtu anataka kubanana huko mzizima,Kama unapesa kuwa na nidhamu usidharau wengine wengine hayo magorofa yameyapata kwa kulawitiwa
Mkuu basi inatosha msamehee bure Kijana wangu wa Mzizima United hatorudia tena kulingishia Mirathi yake!![emoji38][emoji38][emoji3][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Mali zipi hizo? Zile mlizowauzia Wachagga na Wakinga kariakoo,magomeni au?
Mkuu ulijipima ubavu ukaona huu uzi ni size yako?🤣🤣🤣🤣
Mimi naona huu uzi ni undrrsize kwako
 
Jamani eeh? yeyote anaendesha gari la babake asituringie sie tunayo endesha baiskeli tulonunua kwa nguvu zetu!!!
 
Back
Top Bottom