Unajuaje yupo huko kweli na habari za Mungu kuwapo huko si hadithi za kutungwa na watu tu?Huwezi kumlocate Mungu maana yeye yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho(unlimited to time, space and matter)
Mungu hana chanzo yeye ndiye chanzo cha kila kilichopo, kwanini unasema anatakiwa awe na chanzo unassume? wewe ndiye unaye assume na kutaka awe na chanzo wakati yeye hana chanzo.Hiyo ni fallacy of special pleading
Nini chanzo cha Mungu?
ili kauli yako ya mwanzo isiwe na contradiction kua kila kilichopo lazima kiwe kina chanzo, basi Mungu naye anatakiwa awe na chanzo. Vinginevyo huo ni uwongo
Hapo ni sawa na wewe kusema "najuaje kwamba mimi ni bilionea tajiri wa kwanza duniani, kwa sababu mimi ni bilionea tajiri wa kwanza duniani"Silazimishi kwamba yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, BALI HUO NDIO UKWELI WENYEWE.
Yaani sio kwamba nalazimisha bali uwezo wa kuumba hivyo ana MUNGU PEKEE
Najuaje kwamba Mungu pekee ndiye mwenye uwezo wa kuumba hivyo, najua kwasababu ni yeye pekee ndiye anaweza kuumba hivyo.
nimejua kwa sababu mimi na viumbe wengine tupo duniani katika ulimwengu ambao upo limited to time, space and matter hivyo huwezi kuthibitisha ulimwengu usioonekana kwa macho. nimekuuliza wewe unaweza kunithibitishia homoni, upendo au hisia physically vinaonekanaje? Mbona hunijibubeyond time ndio wapi huko?
Kama hauthibitishiki we umeujuaje?
kwasababu ulikubali kua kila kilichopo kina chanzo, na Mungu umesema yupoMungu hana chanzo yeye ndiye chanzo cha kila kilichopo, kwanini unasema anatakiwa awe na chanzo unassume? wewe ndiye unaye assume na kutaka awe na chanzo wakati yeye hana chanzo.
Binafsi kiranga namuona Kama mtu aliye chizika kidogoUnajuaje yupo huko kweli na habari za Mungu kuwapo huko si hadithi za kutungwa na watu tu?
nimeuliza "huko beyond time ndio wapi?"nimejua kwa sababu mimi na viumbe wengine tupo duniani katika ulimwengu ambao upo limited to time, space and matter hivyo huwezi kuthibitisha ulimwengu usioonekana kwa macho. nimekuuliza wewe unaweza kunithibitishia homoni, upendo au hisia physically vinaonekanaje? Mbona hunijibu
Nimeshakuthibitishia hilo bado unaniuliza tena swali hilo hilo, wewe unajuaje kwamba nililosema si kweli?Hapo ni sawa na wewe kusema "najuaje kwamba mimi ni bilionea tajiri wa kwanza duniani, kwa sababu mimi ni bilionea tajiri wa kwanza duniani"
Kusema hilo hakuthibitishi kwamba ulilosema ni ukweli.
Thibitisha ulilosema ni ukweli.
Ndio nilikubali kila kilichopo kina chanzo na chanzo ni Mungu.kwasababu ulikubali kua kila kilichopo kina chanzo, na Mungu umesema yupo
Nini chanzo cha Mungu?
Wewe unathibitisha vipi homoni, hisia au upendo?nimeuliza "huko beyond time ndio wapi?"
Uwepo wako wewe na viumbe vingine duniani unathibitisha vipi kua ulimwengu usioonekana upo?
Si kwamba amechizika bali amedanganyika na kupotoshwa na imani ya AtheismBinafsi kiranga namuona Kama mtu aliye chizika kidogo
Nina sababu zangu za msingi kabisa kusema hvyo
Kusema yuko beyond space and time, nataka tu kusema he's not subject to scientific investigation/experiment which is limited to space and time and so it is useless to claim, using science, that he doesn't exist.Huelewi kwamba ukishasema yuko beyond space and time tayari ushamlocate beyond space and time?
Mkuu hakuna wanachoweza kunibana kwasababu wana weak points za kutetea upotofu wao, sana sana nawaona wanakimbia kujibu maswali na kurukaruka hawana hoja.Hao watu inabidi uende nao kwa logic kama wanavotaka,, lasivyo watakubana sana...
Ebu jifunze jinsi nilivyoweza kuwadhibiti huko posts za nyuma
Sawa mkuu,,,Mkuu hakuna wanachoweza kunibana kwasababu wana weak points za kutetea upotofu wao, sana sana nawaona wanakimbia kujibu maswali na kurukaruka hawana hoja.
'To locate' means to discover his exact place or position. Mind you, I have said God is beyond space and time, which are the realm of location. If he's in heaven, heaven is not place or position. Even when Jesus says wherever there are two or three in my name I'm in their midst, he doesn't mean a position or location. To say 'God is in your midst' or 'is with you' it simply means that you have been favoured by God.Mungu gani ambaye unamzungumzia hapa kua huwezi kum locate?
Huyo Mungu ni kutoka dini gani?
Ni huyu aishie mbinguni kwenye kiti cha enzi?
Ni huyu ambaye yuko kila mahali "omnipresent"?
Mathayo 18:20
Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao
if heaven is not a real place by your definition, then it must be a mythical.'To locate' means to discover his exact place or position. Mind you, I have said God is beyond space and time, which are the realm of location. If he's in heaven, heaven is not place or position. Even when Jesus says wherever there are two or three in my name I'm in their midst, he doesn't mean a position or location. To say 'God is in your midst' or 'is with you' it simply means what you have been favoured by God.
jibu likisema havina chanzo utakubali?Kiranga , Scars na Atheism wote mliopo humu, nawauliza swali mnaweza kuniambia nini asili ya ulimwengu(Formation of all things in the universe)? Vilitokea tokea wapi
Formation of the followings:-
1. Jua, mwezi na nyota zote
2. Sayari zote
3. Ardhi na mimea ya kila aina
4. Madini ardhini, mafuta na gesi ardhini
5. Ndege na wanyama wa kila aina waishio nchi kavu na kwenye maji
6. Mito, maziwa na bahari
7. Upepo
8. Binadamu
9. Samaki wa kila aina
To be beyond space and time is not the same as "not being real" my friend.if heaven is not a real place by your definition, then it must be a mythical.
Claiming God is beyond space and time is the same descriptions of something that does not exist.
if it is real why not proven?To be beyond space and time is not the same as "not being real" my friend.