Kwenye akili yako hiyo ina make sense eti baba yako akuwekee nyoka aseme anakupa majaribio?Kwanini unasema anacheza na akili zetu ?
Kwenye Uislamu,, Allah alisema kwamba atatupa majaribio ( test) ... Na shetani ni mojawapo ya njia Allah anatupa majaribio ya kiimani sisi waja wake
Kwani shetani nyie mnamchukuliaje? Kama rafiki anayetimiza majukumu yake aliyopewa na Mungu au mnamchukulia adui ambaye inatakiwa upambane naye?Huyo baba ananipa majaribio ya kitu gani ?
Tayari. Kwangu ina make sense
Mkuu nimeshindwa kukipata kwe link nakipatajeshukran Mkuu...,nitakipitia nione binadamu wenzangu wana mawazo gani tofauti/sawia na yangu.
Yaani mkuu mimi nawaona hamjielewi.Ni adui ambae tunapambana nae,, ambao huo uadui wetu ni kutokana na mpango wa Mungu...
Tukiwa tunaendelea na mjadala,, na mm nakuuliza huku...
Umeisoma Qur'an ? Unaijuaje Qur'an.? Ushaifuatilia ?
Majaribio ya wewe kung'atwa. Tena anakufungia kwenye chumba wewe na hilo joka lenye sumu kaliBado hujanijibu,, huyo baba anataka kunipa majaribio ya kitu gani ?
Kule juu nilikwambia kuwa Allah anatupa waja wake majaribio ya kiimani.
Tusiache kitu,,
Ni mpango wa Mola muumba.Hivi uwepo wa shetani kwenye ufalme wa Mungu ni mpango wa Mungu mwenyewe au ni kufeli kwa Mungu?
Hayo mamlaka sawa na yeye,yako wapi ? Jaribu kuhoji mambo kulingana na unachoandikiwa wala usizue. Yaani uwepo wa Shetani uwe katika mamlaka ya Allah,kisha kwa ujinga wako na upotoshaji udai adui huyo ana mamlaka sawa na Allah,hili umelipata wapi ?Yaani unavyosema wewe ni kuwa Mungu alijitengenezea ufalme na akajitengenezea adui mwenye mamlaka sawa na yeye. Alafu anawahukumu kwa yeye kumruhusu huyo adui aishi na nyinyi.
Nilitangulia kusema kwenye uandishi siko vizuri. Hivyo utanisamehe kama ujumbe au majibu yangu hayatakua ya kuridhishaNi mpango wa Mola muumba.
Umeulizwa zuri sana,kwamba umejuaje kama habari za Mungu ni hadithi za kutungwa,unetoa maelezo mengi mno ambayo hayakujibu swali hilo rahisi.
Ulitakiwa uambatanishe na ushahidi na utuambie ilikuwaje habari hizo zikatungwa na nani ni wa kwanza katika utunzi huo,maswali haya yalitakiwa tuyaone majibu yake katika ulicho eleza. Kusema ukagundua tu pasi na viambatanisho wewe ni haki yako kuitwa muongo na usiye jua kitu juu ya Mola muumba.
Mkuu umesema uwepo wa shetani ni mpango wa Mungu. Maana yake shetani anatimiza wajibu aliopewa na Mungu. Sasa amemlaani kwa kosa lipi.?Hayo mamlaka sawa na yeye,yako wapi ? Jaribu kuhoji mambo kulingana na unachoandikiwa wala usizue. Yaani uwepo wa Shetani uwe katika mamlaka ya Allah,kisha kwa ujinga wako na upotoshaji udai adui huyo ana mamlaka sawa na Allah,hili umelipata wapi ?
Au hujui kama Allah amemlaani Shetani na atamchoma moto na ataishi humo milele ?
Ni hadithi za kutungwa kwakua hazina uthibitisho. Zaidi ninachokiona kwenye vitabu vyenu vya dini ni vitisho vya maana.Ni mpango wa Mola muumba.
Umeulizwa zuri sana,kwamba umejuaje kama habari za Mungu ni hadithi za kutungwa,unetoa maelezo mengi mno ambayo hayakujibu swali hilo rahisi.
Ulitakiwa uambatanishe na ushahidi na utuambie ilikuwaje habari hizo zikatungwa na nani ni wa kwanza katika utunzi huo,maswali haya yalitakiwa tuyaone majibu yake katika ulicho eleza. Kusema ukagundua tu pasi na viambatanisho wewe ni haki yako kuitwa muongo na usiye jua kitu juu ya Mola muumba.
Alafu unasema Allah amewapa waja wake majaribio ya kiimani.Bado hujanijibu,, huyo baba anataka kunipa majaribio ya kitu gani ?
Kule juu nilikwambia kuwa Allah anatupa waja wake majaribio ya kiimani.
Tusiache kitu,,
Kwahiyo hii hadithi wewe inakuingia akili. Eti muasi akasema naomba nikawashawishi watu wa kuingia nao motoni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Dunia ya leo kweli na elimu zenu unadanganywa hivi? Zamani sawa....lakini mpaka karne ya sasa.? Mkuu kwa hadithi hii mimi naishia hapaKivipi ?
Wapi nimesema amejitengenezea adui ? Mbaya zaid, huyo adui awe na mamlaka sawa Mola ? Wapi nimesema hvo
Huyo ni adui yetu,, Kwanini tusiishi nae ? Ikiwa yeye anatupa majaribio kupitia huyo adui..
Majaribio Allah anatupa kupitia njia nyingi,, ila mojawapo ni iblis ( mnamwita shetani)
Kwa akili yako kweli unaona huu mfano wako unafanana na kuhusu Mola kutuumba sisi ?
Kama ni akili yako imeona hvo,, basi sishangai kuona umefikia hitimisho la kukana uwepo wa Mola
Kwanini tusimchukie wakati ni adui yetu ?
Allah hakumpa maagizo hayo !! İblis mwenyewe ndie aliyeomba kufanya huo ushawishi..
Ngoja nikueleze kitu
Kwenye Uislamu,, Allah alimuumba iblis kutokana na moto,, iblis alikuwa anaishi pamoja na malaika, wote wakiwa wanamwabudu Allah...
Baada ya Allah kumuumba mwanadamu wa kwanza Adam,, aliwaita malaika wote pamoja na iblis kuja kumsujudia Adam... Malaika wote walitii amri ( malaika hawana free will ), isipokuwa iblis ambae alikataa , basi Allah akamfukuza kwenye Arshi yake kwa kosa la kuwa kiburi, na hvo kujikatia tiketi ya motoni moja kwa moja ... Lakini kabla iblis hajaondoka kwenye Arshi ya Allah alikuwa na ombi,, alimuomba Allah amruhusu aweze kuwashawishi viumbe wengine ( binadamu) ili aingie nao huko motoni ( asiingie peke yake) ... Allah akamruhusu... Yaliyofata ikawa historia,, Adam akawa binadamu wa kwanza kushawishiwa na iblis kufanya dhambi
Samahani mkuu labda hukuelewa swali.Ndio,, hakuna kitu ambacho kitatokea ila yeye ndo kakikadiria.
Wapi kasema Mungu amempa hayo maagizo huyo shetani ?
Hivi kuPlan kitu lazima uwe umetoa maagizo ?
Nimekuwekea kosa alofanya kwenye comment ya juu.
Kosa lake nimekuonesha kwenye comment ya juu
Hoja gani mkuu naona unanifurahisha. Hivi mtu akuasi alafu akuombe achukue wanao uliohangaika kuwatengeneza na unakubali?Mkuu si tulikubaliana tokea mwanzo kuwa tunaenda kwa hoja...
Kanusha kwa hoja mkuu ( twende kama wasomi )....
Lete hoja, sio kuchekacheka
Halafu mbona kuna maswali yangu hujibu ?
Mkuu umeshindwa kujibu swali langu ambalo ndio mwongozo wa kufunguliwa.Wapi Mola amesema AMEHANGAIKA kututengeneza ?
Ndo maana Nilikuuliza, unajua lengo la kuumbwa mwanadamu ? Nijibu hili swali twende sambamba.
Ulitakiwa ujibu hoja hata kama uandishi siyo mzuri.Nilitangulia kusema kwenye uandishi siko vizuri. Hivyo utanisamehe kama ujumbe au majibu yangu hayatakua ya kuridhisha
Wajibu gani shetani amepewa na Allah ?Mkuu umesema uwepo wa shetani ni mpango wa Mungu. Maana yake shetani anatimiza wajibu aliopewa na Mungu
Amalaaniwa kwa sababu alifanya kiburi na kukataa amri ya Allah.Sasa amemlaani kwa kosa lipi.?
Kutimiza aliyoagizwa au kosa la shetani hapo ni lipi kama uwepo wake ulikua ni mpango wa Mungu?
Unajua kama huja hoja ? Thibitisha kwamba ni hadithi za kutungwa,una sema kwamba hazina uthibitisho ? Unaelewa unacho kiandika ?Ni hadithi za kutungwa kwakua hazina uthibitisho. Zaidi ninachokiona kwenye vitabu vyenu vya dini ni vitisho vya maana.
Kwanza huwezi kufikiri kiundani juu ya maandiko ukaandika maneno haya,bali umefikiria juu juu.Yaani huyo Mungu wenu yeye anatangaza adhabu tu tena kali ambazo ukifikiria kiundani unaona kabisa kuwa hapa unalazimishwa kuamini la sivyo utakutana na moto. Yaani ni vitisho mwanzo mwisho.
Hivi unathibitishaje kuwa kitu hakipo wakati hakipo kweli?Ina maana hujaliona jibu... Au ni kwamba jibu lipo tofauti na matakwa yako ?
Okay,, tufanye nimekosa jibu,, sasa kuna uhusiano gani kati ya Mm kukosa jibu na kutokuwepo Mungu ?
Nani hao waliotuletea hofu ya maisha ?
Jibu hili swali .... Kwanini unanishutumu mm kujibu maswali yako ingawa ww hujibu maswali yangu ?
Si unasema unatumia akili vzr,, Kwanini hujibu maswali? ,, hii inathibitisha kuwa akili mnayotumia haijitoshelezi
Akina nani hao ?
Mifumo ipi hio walitengeneza ?
Mm Nakuelewa vzr tu.
Umejuaje kuwa siwezi kukujibu ?
Hilo sio jibu langu...
Kama hilo ndo jibu lako kuhusiana na swali uliouliza mwenyewe, Basi napata mashaka sana na huko ulikosoma!!
Kwani walitukataza sisi kufanya hzo teknolojia na biashara.?
Kwahiyo watu wa hzo nchi wanajali sana maisha ya dunia kuliko huku ?
Inahusiana vp na dini na Mola ?
Kwani umekatazwa kuvumbua ?
Mpaka sasa hujathibitisha Kuwa Mungu hayupo...
Mbaya zaid hujajibu maswali yangu..
Kama umefikia majibu yake,, basi Jitafakari sana
Unakimbia maswali mkuu,, hujibu kabisa
Wewe unaona hulazimishwi kwakua hujafikiria kiundani.Unajua kama huja hoja ? Thibitisha kwamba ni hadithi za kutungwa,una sema kwamba hazina uthibitisho ? Unaelewa unacho kiandika ?
Nithibitishie kwamba kweli hazina uthibitisho,na ili uthibitisho uwe uthbitisho kwako wewe unabidi ukidhi vigezo gani ?
Nani alikwambia kwamba hazina uthibitisho ?
Ushawahi kuisoma Qur'aan ? Thibitisha ukweli wa maneno yako kwa kutolea mfano kwenye Qur'aan.
Hadithi ni nini hasa ?
Kwanza huwezi kufikiri kiundani juu ya maandiko ukaandika maneno haya,bali umefikiria juu juu.
Kitabu chetu ni muongozo,na kimeelezea njia ya ufaulu na kufeli. Hakuna kulazimishwa kuamini,ndiyo maana unaambiwa ukifanya mema unalipwa pepo na ukifanya uovu unalipwa moto,kwahiyo ni juu yako katika kuchagua.