Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Chochote kilichopo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter) lazima kiwe kimeundwa na muundaji.

Hivyo ninakuuliza vitu vilivyo katika ulimwengu ulio limited to time, space and matter na vipo katika ulimwengu huu tunaoishi viumbe hai ulimwengu unaoonekana kwa macho, hivyo ni lazima viwe na formation na ni lazima viwe vimeundwa na muundaji.

Wewe Emmanuel J. Buyamba upo katika ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter)

Wewe Emmanuel ni Matter (una formation/ingredients zinazokufanya uwe kamili) una muda ulioundwa (time) pia upo katika sehemu/nafasi (space) ambayo ni hii dunia. UNA MUUNDAJI AMBAE ALIEKUUNDA. Maana wewe ni matter na huwezi kuwa matter bila kuundwa na muundaji.

NB: Nasubiri majibu ya swali nililokuuliza.
Unaposema viko limited kwenye "time" wakati time yenyewe fundamentally siyo real nakushangaa.

Kuna sehemu nyingi tu ndani ya huu Ulimwengu na nje yake "muda" haupo.
Time pia inaathiriwa na speed pamoja na relative movements.

Kwa kigezo hiki cha muda hoja yako inajifia na hivyo bado haujanipa uhakika wa kwamba vitu hivyo lazima viliumbwa,

Ukinipa huo uhakika/uthibitisho ndipo nitapata uhalali wa swali lako.

Bado hujanipa uthibitisho wa Mwl Nyerere kupeleka mlima Kilimanjaro kule Moshi ili na mimi nisake jibu la swali lako kwamba aliupelekaje kule.

Unachokifanya hapa ni kunilazimisha nikwambie aliupelekaje Mlima bila kwanza wewe kutoa ufafanuzi wa msingi ktk swali lako kuwa ni yeye kweli ndiye kauweka pale.

Thibitisha kwanza vitu hivyo viliundwa ili na mimi nimsake muundaji huyo kisha nikwambie!.
 
Kuna kitu chochote ambacho kipo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho kinachoweza kuwepo bila kuwa na muundaji?
 
Wanasayansi wote wanakubali uhai ulianza katika kipindi fulani cha uwepo dunia.
Kwa u athest wangu mtazamo wangu juu ya dunia na vilivyomo huwa nina majibu mawili ya aidha ilianza ama haikuanza,sina uhakika.

Mtu akiniambia haikuanza huwa naomba uthibitisho wa huo uhakika wake,

Na pia mtu mwingine akiniambia dunia na vilivyomo vilianza huwa naomba uthibitisho wa huo uhakika wake wa kwamba ilianza,

Sasa ili swali lako liwe na mantiki unaweza kutuwekea hapa uthibitisho wa kwamba vitu hivyo ulivyovitaja vina chanzo ili tuanze kumtafuta huyo mwanzilishi?

Maana wewe inaonekana una uhakika wakati wengine bado tuko njiapanda ya kuanza ama kutoanza.

Tuhakikishie kwanza kuwa vyote hivyo vilianza na si kinyume chake kisha tumsake mwanzilishi.
 
Dini gani imeyajibu hayo maswali tata?
Ukristo haujibu maswali tata kuhuusu MUNGU. Ndio maana wengi wao wanakuwa hawana dini.kama saiz ulaya wengi hawasali wameonani ujinga
 
Kuna kitu chochote ambacho kipo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho kinachoweza kuwepo bila kuwa na muundaji?
Mimi sijui,

Wewe unayesema kila kitu kina muundaji ndiyo naomba unipe kwanza huo uthibitisho kisha tumsake huyo muundaji.

Halafu huu Ulimwengu si wote unaonekana kwa macho,ni vyema ukalifahamu pia hilo.

Unaweza kuthibitisha kuwa kila kitu lazima kiliundwa?
 
Mimi sijui,
Umejibu vizuri kwamba haujui kitu chochote kilichopo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho ni lazima kiwe na muudaji.

Sasa nakuuliza tena hivi:-

Unaweza kuniambia vitu vifuatavyo vilitokeaje tokeaje(formation)?
1. Jua na nyota zote angani
2. Vimondo vyote angani
3. Sayari zote
4. Madini yote katika ardhi ya sayari dunia
5. Gas katika ardhi ya sayari dunia
6. Mafuta katika ardhi ya sayari dunia
7. Upepo/hali ya hewa na majira ya mvua
8. Bahari, mito na maziwa katika sayari dunia
9. Milima na mabonde katika sayari dunia
10. Miti na mimea ya aina zote katika sayari dunia
11. Ndege wa aina zote katika sayari dunia
12. Samaki wa aina zote kwenye mito, maziwa na bahari
13. Wanyama wa aina zote wa kufungwa na mwituni
14. Binadamu

NB: Nasubiri uniambie vilitokeaje tokeaje(formation)
 
Yeye kutokujua hivyo vitu vilikotokea haimaanishi kua unachosema wewe ni sahihi!. ndio maana anomba uthibitishe kua usemacho ni sahihi!.

Tangu mwanzo amekwambia msimamo wake kua yeye yuko njia panda, ila wewe ulie tayari una njia yako uliyochukua ni muhimu ukamjibu/kumuonesha na kumhakikishia kua njia yako ni sahihi.
 
Umejibu vizuri kwamba haujui kitu chochote kilichopo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho ni lazima kiwe na muudaji.

Sasa nakuuliza tena hivi:-

Unaweza kuniambia vitu vifuatavyo vilitokeaje tokeaje(formation)?
1. Jua na nyota zote angani
2. Vimondo vyote angani
3. Sayari zote
4. Madini yote katika ardhi ya sayari dunia
5. Gas katika ardhi ya sayari dunia
6. Mafuta katika ardhi ya sayari dunia
7. Upepo/hali ya hewa na majira ya mvua
8. Bahari, mito na maziwa katika sayari dunia
9. Milima na mabonde katika sayari dunia
10. Miti na mimea ya aina zote katika sayari dunia
11. Ndege wa aina zote katika sayari dunia
12. Samaki wa aina zote kwenye mito, maziwa na bahari
13. Wanyama wa aina zote wa kufungwa na mwituni
14. Binadamu

NB: Nasubiri uniambie vilitokeaje tokeaje(formation)
😍
 
Haya maswali uliyouliza inaonekana jinsi gani huelewi mambo, au ndio tuseme umejiona umeuliza maswali magumu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maswali yote uliyouliza yanamajibu tena mengine yameshajibiwa karne nyingi zilizopita. Ningetamani nikujibu ila kwasasa nakuacha uendelee kuishi kwenye ujinga wako.
NB: kama sayansi imeshindwa toa jibu basi hamna dini yoyote humu duniani inaweza leta hilo jibu
 
Kitu kimoja mkuu ambacho wewe unakikwepa kwa muda mrefu kukijibu, ni kitu kimoja tu:

Wewe unasema hakuna uwepo wa Mungu na vitu vyote vilivyopo katika ulimwengu huu havijaumbwa na Mungu, ok fine. Kama unavyosema hakuna uwepo wa Mungu na vitu vyote havijaumbwa na Mungu.

Naomba unifahamishe hivi vitu vimetokea wapi? how do they formed?
😍
 
Dini inafundisha wema na mambo mazuri lakin kwanini hamtendi?
Hamtendi wala kufata maagizo ya dini kwakuwa hamna imani kuwa dini ni za kweli yaan nyinyi mna fanya dini kama sehemu ya utamaduni wa maisha umezaliwa katk uislam au ukritso basi na ww unakuwa hivyo
Atheist wengi wanakuwa wngi wanajua umuhimu wa utu na maisha kama vile kuuwa sio jambo zuri basi nao hawatauuwa sio mpk dini iseme that's why nikakuambia kama kuna pepo Atheist wote peponi
Dini ni utapeli na ufisadi
 
Kwahiyo mkuu Kiranga anadai kwamba yeye hamuamini Mungu ( Anadai kuwa Mungu hayupo ) kisa hajawahi kumuona ?

Je, ni sahihi mtu kuhitimisha kuwa hakuna kitu flani kisa tu hujawahi kukiona ?

Kwa Maan hiyo tunaweza kusema pia Kiranga haamini uwepo wa vitu kadhaa kwa sababu havionekani mfano, hewa (Air) , umeme, upendo, huruma, etc

Pia Kiranga haamini uwepo wa Wi-Fi ( Wireless Fidelity ) kitu ambacho kipo kwenye simu yake

Huoni kwamba kiranga ndo anajiletea contradiction yeye mwenyewe ?

Ebu tupevuke wakuu,, tusidanganywe na hayo mawazo mlosoma kwenye hvo vitabu vinavodai kwamba vinaleta logic kumbe vyenyewe ndo vinaleta contradiction !!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi umekisoma ulichoandika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wala simshangai!!!Pale unapozama kwenye imani fulani ghafla ukagundua hiyo taasisi unayosali ni Idara ya kijasusi inayojitahidi kuitawala Dunia kijamii,kisiasa na kiuchumi!!Hapo Lazima utadata tena sana!!!!
 
Back
Top Bottom