Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
😩😩😩
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaniuliza hayo maswali wakati wewe ni atheist,si ujinga huo.Mungu ni nini na unajuaje yupo kweli na habari za kuwapo kwake si hadithi za kutungwa na watu tu?
Kuuliza maswali ni ujinga? Au kuuliza maswali wakati ni atheist ni ujinga?Unaniuliza hayo maswali wakati wewe ni atheist,si ujinga huo.
Ukisema muundaji una kusudia nini?Kuna kitu chochote ambacho kipo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho kinachoweza kuwepo bila kuwa na muundaji?
Hivi Kirang'a bado anavita na Mwenyezi Mungu?Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.
Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters
My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr
Tunaweza kujifunza vyanzo vya vitu ndani ya ulimwengu wetu kupitia uchunguzi,Umejibu vizuri kwamba haujui kitu chochote kilichopo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho ni lazima kiwe na muudaji.
Sasa nakuuliza tena hivi:-
Unaweza kuniambia vitu vifuatavyo vilitokeaje tokeaje(formation)?
1. Jua na nyota zote angani
2. Vimondo vyote angani
3. Sayari zote
4. Madini yote katika ardhi ya sayari dunia
5. Gas katika ardhi ya sayari dunia
6. Mafuta katika ardhi ya sayari dunia
7. Upepo/hali ya hewa na majira ya mvua
8. Bahari, mito na maziwa katika sayari dunia
9. Milima na mabonde katika sayari dunia
10. Miti na mimea ya aina zote katika sayari dunia
11. Ndege wa aina zote katika sayari dunia
12. Samaki wa aina zote kwenye mito, maziwa na bahari
13. Wanyama wa aina zote wa kufungwa na mwituni
14. Binadamu
NB: Nasubiri uniambie vilitokeaje tokeaje(formation)
Weka hizo calculations zinazoonesha kivyovyote vile ni lazima kuwepo na muundaji, nioneshe muundaji wa bahari ni nani, weka uthibitisho ambao unapimikaNina uhakika chochote(Matter) kilichopo kwenye ulimwengu(Space) huu tunaoishi unaoonekana kwa macho ni lazima kiwe na muda(Time) kilichoundwa na muundaji.
Hakuna chochote kinachoweza kuwepo bila kuundwa na muundaji katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho. Nakupa mfano tena wewe Emmanuel ni (Matter) una muda ulioundwa(Time) na aliekuunda amekuandalia mazingira rafiki uishi katika sayari hii dunia(Space). Vivyo hivyo na vitu vingine vyote (living and non living things)
Hivyo ninachokuuliza nina uhakika nacho, naomba unipe majibu niliyokuuliza kama haufahamu au hauna majibu pia niambie.
NB:Naendelea kusubiri majibu niliyokuuliza.
Kwani kila kilichopo lazima kiwe na chanzo?Haya maelezo haukunipa Mkuu, hukuniambia kama haujui formation ya hivyo vitu ndio maana nimeendelea kutaka majibu. Hivyo kwa maelezo yako haya itoshe kusema umekiri kwamba haujui hivyo vitu vimetokeaje?(formation) si ndio?
Ili tuendelee na mada.
Kwa maelezo yenu believer, Mungu sio matter?Nina uhakika hakuna chochote(Matter) kinachoweza kutokea katika muda(Time) husika na kuwepo katika ulimwengu(Space) unaoonekana kwa macho bila kuwa kimeundwa na muundaji.
Hakuna gari/pikipiki/juice/baiskeli n.k(Matter) linaloweza kutokea katika muda(Time) husika na kuwepo sehemu(Space) bila ya gari/pikipiki/juice/baiskeli n.k hiyo kuundwa na muundaji
Ndio maana nikakutaja kabisa kuwa wewe atheist kuuliza maswali kama hayo ni ujinga, wewe ambaye ni mpingaji wa uwepo wa Mungu utaondoaje ujinga kwa kuuliza Mungu ni nini?Kuuliza maswali ni ujinga? Au kuuliza maswali wakati ni atheist ni ujinga?
Swali litakuwaje ujinga wakati swali ndilo kitu cha kuondoa ujinga?
Kwa maelezo yenu believer, Mungu sio matter?
Maana tunajua alivyielezewa kwenye vitabu vyenu, ana mikono yakushika upanga ukatao kuwili, ana macho yanayoangalia dhambi zenu, ana masikio ya kusikia shida zenu, pia ana matako ya kukalia kiti cha enzi
So Mungu naye unayemuamini anahitaji muumba maana ana sifa kama zetu (matter) hivyo hawezi kutokea bila chanzo, nani aliyemuumba?
Kwani wewe akili yako inakupa jibu gani au wewe unaonaje?Kwani kila kilichopo lazima kiwe na chanzo?
Umeelewa kilichoandikwa?Wewe huyo Mungu umemuona hadi useme ana sifa kama zetu? mfano ni binaadamu gani mwenye macho ya kuona kila kitu kama ambavyo huyo Mungu anaona dhambi zetu?
Hilo ni swali kwa yeyote anayedai kilichopo kina chanzo, nawewe ni miongoni mwa hao watu wanaosema kila kilichopo kina chanzo?Kwani wewe akili yako inakupa jibu gani au wewe unaonaje?
Wewe ndio uliyesema ana sifa kama zetu kitu ambacho ni kinyume na hivyo vitabu vinavyosema, hayo macho au mikono ya Mungu inayosemwa je we unayo idea inafananaje hadi ulinganishe na sisi binaadamu?Umeelewa kilichoandikwa?
Hapo zimezungumziwa sifa za mungu kwa speculations zangu au holy scriptures?
Nimekuuliza swali ningependa kujua jibu lako kwanza?Hilo ni swali kwa yeyote anayedai kilichopo kina chanzo, nawewe ni miongoni mwa hao watu wanaosema kila kilichopo kina chanzo?
Ndio maana nikakutaja kabisa kuwa wewe atheist kuuliza maswali kama hayo ni ujinga, wewe ambaye ni mpingaji wa uwepo wa Mungu utaondoaje ujinga kwa kuuliza Mungu ni nini?
Ndio maana hii mijadala huwa haisogei inazunguka palepale tu kwa sababu kama hizo za kuulizana maswali yaleyale kila siku.
Kwani ukisikia neno jicho unapata taswira gani nje ya sense organ inayo husisha na kuona?Wewe ndio uliyesema ana sifa kama zetu kitu ambacho ni kinyume na hivyo vitabu vinavyosema, hayo macho au mikono ya Mungu inayosemwa je we unayo idea inafananaje hadi ulinganishe na sisi binaadamu?
Jibu linategemeana na wewe unavyo amini hizi dhana mbiliNimekuuliza swali ningependa kujua jibu lako kwanza?
Ndio maana nauliza ni jicho gani la binaadamu lenye kuweza kuona mambo ya watu wote? kwa sababu jicho la binaadamu wote tunalijua lilivyo sasa kama huyo Mungu nae ana jicho kama hili letu iweje tuambiwe aweze kuona kila jambo la binaadamu kwa macho kama haya yetu?Kwani ukisikia neno jicho unapata taswira gani nje ya sense organ inayo husisha na kuona?
Au unataka kusema umeelewa tofauti kua jicho lililokusudiwa hapo ni some sort of sex?