Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unaelewa kwamba tatizo langu na suala zima la kuwepo kwa Mungu si kuamini?Kiranga ni mtu smart sana,ila katika haya mambo yake ya kutoamini kama Mungu yupo si m support.
Nina imani siku moja takuja kuamini kama Mungu yupo.
Ni swala la muda tu.
Unaelewa kwamba kwenye kuamini naweza kuamini Mungu yupo na akawa hayupo?
Unaelewa kwamba ninachoamini mimi si muhimu sana, muhimu zaidi ni ukweli wa mambo?
Kwa nini unajikita kwenye ninachoamini au nisichoamini mimi, badala ya kujikita katika ukweli ulivyo?