Kwa hiyo hapo unakubali ni jicho ila unachobisha ni uwezo wa jicho kuto afikiana na uhalisia kua ndio sababu ioneshe mungu sio mada (matter)?
Simba ana macho yenye uwezo wa kuona usiku clear kuliko binadamu, hiyo inafanya simba asiwe mada (matter)?
Eagles wana uwezo wa kuona mara nane zaidi binadamu, kwa maana hiyo jicho la eagle unaweza kulielezea tofauti na sense ya kuona kwasababu limezidi uwezo wa jicho la binadamu?
Na mungu wenu si mmedai ameketi kwenye kiti cha enzi, unaweza kuniambia unapata idea gani ya kiungo alichotumia kukalia zaidi ya matako?