Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Jibu linategemeana na wewe unavyo amini hizi dhana mbili

Kila kilichopo ni lazima kiwe na chanzo, au sio lazima kuwa na chanzo?

Ukijibu hapo nitakupa jibu
Sijaweka dhana yangu yeyote hapo,n imetaka kuja tu akili yako inakwambia vp katika hilo.
 
Naweza kuondoa ujinga kwa wanaofuatilia mjadala kwa kuuliza Mungu ni nini, wakafuatilia majibu kimantiki na kuona wenyewe kama Mungu yupo kutokana na majibu na mjadala.

Mpaka sasa hujajibu Mungu ni nini na kwa nini ni lazima Mungu yupo na habari za kuwapo kwake si hadithi za uongo tu.

Kwa nini unaogopa au unashindwa kujibu swali hili?

Mungu ni nini?

Kwa nini ni lazima yupo na habari za kuwapo kwake si hadithi za uongo tu?

Kama ni hivyo basi hata wewe unaweza ukajibu kwa faida ya wafuatiliaji kutokana na nia yako nzuri ya kuwatoa ujinga, unaweza kujibu Mungu ni nini? maana wewe unapinga kuwa hayupo hivyo unajua unachokipinga.

Kama kweli nia yako ni kutaka wengine waelewe na kutoa ujinga basi nakupa nafasi wewe mwenyewe uweze kuwaelewesha watu kwamba Mungu ni nini(ambaye wewe unajua hayupo/hakipo/haipo) na umejiridhisha vp kuwa hayupo/hakipo/haipo na habari za uwepo wake ni hadithi za uongo tu?
 
Kama ni hivyo basi hata wewe unaweza ukajibu kwa faida ya wafuatiliaji kutokana na nia yako nzuri ya kuwatoa ujinga, unaweza kujibu Mungu ni nini? maana wewe unapinga kuwa hayupo hivyo unajua unachokipinga.

Kama kweli nia yako ni kutaka wengine waelewe na kutoa ujinga basi nakupa nafasi wewe mwenyewe uweze kuwaelewesha watu kwamba Mungu ni nini(ambaye wewe unajua hayupo/hakipo/haipo) na umejiridhisha vp kuwa hayupo/hakipo/haipo habari za uwepo wake ni hadithi za uongo tu?

Mungu yupi? Hujamtaja.

Tuchukue mfano wa Mungu wa Wakristo, Waislamu na Wayahudi kwa kuanzia.

Mungu huyu ni dhana tu katika hadithi ikiyotungwa na watu kujibu maswali wasiyo na majibu yake.

Kiuhalisia hayupo. Dhana ya kuwapo kwake inajipinga yenyewe (contradiction) kwenye problem of evil na matatizo mengine mengi ya kifalsafa.

Kama unasema yupo, tuambie Mungu ni nini na kwa nini yupo na si hadithi za kutungwa na watu tu.
 
Nimekupa nafasi ya kutoa watu ujinga kwa kueleza Mungu ni nini ambaye unayedai hayupo sasa naona umeishia tu kutaja Mungu wa wakristo wayahudi na waislamu kuwa hayupo ila hujatueleza Mungu ni nini na umejiridhisha vp kuwa kweli hayupo? Tueleze huyo Mungu unayesema hayupo tueleze ni nini au kitu gani hicho?
 
Nimekuuliza Mungu gani? Taja Mungu mmoja tumchambue.

Hujataja Mungu yeyote.

Inawezekana nikakukubalia yupo.

Kuna watu wanaamini Beyonce Mungu wao, hao sijawabishia kwamba Mungu wao Beyonce yupo.

Mungu ni nini? Hujajibu swali.
 
Dictionary yangu hapa inaniambia hivi kuhusu atheist 😛erson who does not believe in the existence of a god or any gods : one who subscribes to or advocates atheism.

Sasa mtu akisema Beyonce ni Mungu wake bado hapo hatujajua Mungu ni nini? sasa tueleze Mungu ni nini ili na wengine wawe na uwezo wa kubisha au kutokubisha kuhusu Mungu Beyonce.

Mimi nimeshaeleza Mungu ni nini hapo juu, unajua kusoma?

Kukusaidia kama una matatizo kusoma, narudia hapa.

Mungu ni dhana tu katika hadithi ikiyotungwa na watu kujibu maswali wasiyo na majibu yake.

Wewe hujajibu Mungu ni nini.

Mungu ni nini? Na unajuaje kwamba yupo kweli na si hadithi za watu tu?
 
Mimi nimeshaeleza Mungu ni nini hapo juu, unajua kusoma?

Wewe hujajibu Mungu ni nini.

Mungu ni nini? Na unajuaje kwamba yupo kweli na si hadithi za watu tu?
Ni post namba ngapi ambapo umeeleza Mungu ni nini?
 
Nimerudia tena.

Mungu ni dhana tu katika hadithi ikiyotungwa na watu kujibu maswali wasiyo na majibu yake.

Wewe hujajibu Mungu ni nini na kwa nini yupo kweli nje ya dhana na hadithi tu.
 
Ndio maana nauliza ni jicho gani la binaadamu lenye kuweza kuona mambo ya watu wote? kwa sababu jicho la binaadamu wote tunalijua lilivyo sasa kama huyo Mungu nae ana jicho kama hili letu iweje tuambiwe aweze kuona kila jambo la binaadamu kwa macho kama haya yetu?
Kwa hiyo hapo unakubali ni jicho ila unachobisha ni uwezo wa jicho kuto afikiana na uhalisia kua ndio sababu ioneshe mungu sio mada (matter)?

Simba ana macho yenye uwezo wa kuona usiku clear kuliko binadamu, hiyo inafanya simba asiwe mada (matter)?

Eagles wana uwezo wa kuona mara nane zaidi ya binadamu, kwa maana hiyo jicho la eagle unaweza kulielezea tofauti na sense ya kuona kwasababu limezidi uwezo wa jicho la binadamu?

Na mungu wenu si mmedai ameketi kwenye kiti cha enzi, unaweza kuniambia unapata idea gani ya kiungo alichotumia kukalia tofauti na matako?
 
Nimerudia tena.

Mungu ni dhana tu katika hadithi ikiyotungwa na watu kujibu maswali wasiyo na majibu yake.

Wewe hujajibu Mungu ni nini na kwa nini yupo kweli nje ya dhana na hadithi tu.
Nadhani nahitaji kukuelewa ili tuweze kuendelea maana hapa tunajadiliana na si kwamba tunashindana kuulizana maswali.

Unasema Mungu ni dhana tu katika hadithi iliyotungwa na watu, fafanua ni dhana ipi hiyo? maana pia wewe unasema hubishi mtu akisema Beyonce ni Mungu, eleza Mungu Beyonce(dhana) anajibu maswali gani ambayo watu hawayajui?

Hebu tuwekana sawa.
 
Unaweza kumtaja Mungu ambaye si dhana tu?

Huyo Beyonce sijabisha kwamba yupo, sijabisha kwamba ni Mungu kwa baadhi ya watu, naweza kubisha kwamba ni Mungu aliye nje ya dhana tu.

Wewe Mungu unayemsema yupo ni yupi? Mtaje tumjadili.

Mbona unaogopa kumtaja?
 
Kwa hiyo hapo unakubali ni jicho ila unachobisha ni uwezo wa jicho kuto afikiana na uhalisia kua ndio sababu ioneshe mungu sio mada (matter)?

Simba ana macho yenye uwezo wa kuona usiku clear kuliko binadamu, hiyo inafanya simba asiwe mada (matter)?

Eagles wana uwezo wa kuona mara nane zaidi binadamu, kwa maana hiyo jicho la eagle unaweza kulielezea tofauti na sense ya kuona kwasababu limezidi uwezo wa jicho la binadamu?

Na mungu wenu si mmedai ameketi kwenye kiti cha enzi, unaweza kuniambia unapata idea gani ya kiungo alichotumia kukalia zaidi ya matako?

Mimi sina idea hayo macho ya Mungu yapoje, siwezi kuyafananisha na ya simba wala Eagle wala binaadamu.
 
Nimerudia tena.

Mungu ni dhana tu katika hadithi ikiyotungwa na watu kujibu maswali wasiyo na majibu yake.

Wewe hujajibu Mungu ni nini na kwa nini yupo kweli nje ya dhana na hadithi tu.
je? unaamini shetani yupo na uchawi upo?
 
Unaweza kumtaja Mungu ambaye si dhana tu?

Huyo Beyonce sijabisha kwamba yupo, naweza kubisha kwamba ni Mungu.

Wewe Mungu unayemsema yupo ni yupi? Mtaje tumjadili.

Mbona unaogopa kumtaja?
Nimekuuliza hiyo dhana Ni ipi? ili tuweze kubisha au kukubali kuhusu Mungu Beyonce ni lazima tuijue hiyo dhana ni ipi ili tuweze kujenga hoja kwamba hapana haiwezekani Beyonce kuwa Mungu au inawezekana.
 
Dhana ni kwamba kuna Mungu.

Wewe nawe Beyonce ni Mungu kwako?
 
Wewe huyo Mungu umemuona hadi useme ana sifa kama zetu? mfano ni binaadamu gani mwenye macho ya kuona kila kitu kama ambavyo huyo Mungu anaona dhambi zetu?
hujaelewa, ama tuseme umedandia gari kwa mbele hivyo lazima ugongwe tu hakuna namna
 
Dhana ni kwamba kuna Mungu.

Wewe nawe Beyonce ni Mungu kwako?
Nimekuuliza Mungu ni nini? unasema ni dhana tu, nakuuliza ni dhana ipi hiyo? unajibu kuwa ni dhana kwamba kuna Mungu.

Kama kuna mtu kaelewa anieleweshe maana tunatofautiana uelewa.
 
Nimekuuliza Mungu ni nini.

Hujajibu.

Kwa nini unaogopa kujibu?
 
Back
Top Bottom