Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Nilishazisoma zote sijaona majibuKarudie kusoma post nilizo kunukuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishazisoma zote sijaona majibuKarudie kusoma post nilizo kunukuu
Hujaona majibu, umeona nini?Nilishazisoma zote sijaona majibu
Sio sielewi dhana ni nini bali sielewi ni dhana ipi hiyo? umesema Mungu ni dhana ok sawa ila sasa eleza hiyo dhana tuijue kwamba Mungu ni dhana fulani au dhana yenyewe ni kuhusu jambo fulani.
Simply ni kwamba ana matako ya kukalia/kuketi, labda kama kukaa kibiblia kuna maana nyingine.Kwani wewe unapata image gani ukiona neno "ameketi kwenye kiti"?
Mungu gani huyo unayemzungumzia?
Wewe unataka nimjadili Mungu ambaye hata kumtaja huwezi?
Mfano, Mungu wa Wakristo, Waislamu na Wayahudi ni dhana ya muumbaji wa ulimwengu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote.
Dhana hii ina logical contradiction katika the problem of evil. Logical contradiction hii inaonesha Mungu huyu hawezi kuwepo.
Kama una Mungu ambaye si dhana tu, mtaje hapa tumjadili.
Kama hujamtaja, hujaweza kukanusha hoja yangu.
Kuna kukaa kwa maana ya mahali unapoishi, mfano niseme Kibukuasili anakaa Buza.Simply ni kwamba ana matako ya kukalia/kuketi, labda kama kukaa kibiblia kuna maana nyingine.
Kibukuasili ameketi kwenye kiti cheusiKuna kukaa kwa maana ya mahali unapoishi, mfano niseme Kibukuasili anakaa Buza.
Kwanini sasa nifanye hivyo?Kibukuasili ameketi kwenye kiti cheusi
Unaiwekea pattern gani hapo ionekane tofauti na kuhusisha matako kukalia hicho kiti?
Nimekuuliza hiyo sentensi ina maana gani nyingine tofauti na kuhusisha makalio kukalia kiti?Kwanini sasa nifanye hivyo?
Sasa mimi nitawezaje kujua? Siwezi kujua kusudio maana pengine hicho kiti cheusi kina maana tofauti, ni sawa na kusema kukalia kuti kavu.Nimekuuliza hiyo sentensi ina maana gani nyingine tofauti na kuhusisha makalio kukalia kiti?
Sijazungumzia rangi ya kiti, nimezungumzia neno "keti" lina maana gani tofauti na kitendo cha kukaa?Sasa mimi nitawezaje kujua? siwezi kujua kusudio maana pengine hicho kiti cheusi kina maana tofauti, ni sawa na kusema kukalia kuti kavu.
Mimi nakwambia Baba ni mwanamme.Kwa maelezo kama hayo basi swali lako la kuuliza Mungu ni Nini linakuwa halina maana, nilikuuliza Mungu ni nini ukajibu Mungu ni dhana na nilipokuuliza dhana ipi? unakuja kuniuliza tena Mungu gani ?na kuanza kuzungumzia sijui Mungu wa wakristo,waislamu na wayahudi.
Mungu ni nini kwanza tuelewane hapa kabla ya kuanza kujadili huyo Mungu wa Wayahudi waislamu na wakristo.
Unafikiria kama mtoto, unasikitisha sana.Mimi nakwambia Baba ni mwanamme.
Unaniuliza mwanamme yupi?
Nakwambia kuna wanaume wengi, ila, kila baba ni mwanamme, kama unabisha, nitajie baba ambaye si mwanamme.
Unashindwa kunitajia Baba ambaye si mwanamme.
Nakwambia nitajie baba yako ni nani nikuoneshe kwamba ni mwanamme.
Unaogopa, unashindwa kumtaja baba yako ni nani.
Kwa sababu unajua, ukimtaja tu baba yako ni nani, utakuwa umeonesha kuwa baba yako ni mwanamme.
Ndiyo maana unafanya juu chini usimtaje baba yako ni nani.
Mtu akibadilisha hapo juu neno baba, akiweka Mungu, na neno mwanamme, akiweka neno dhana, ataona kwa nini hutaki kumtaja Mungu wako.
Watoto wana uwezo wa kuuliza maswali magumu sana ya msingi kutokana na kutolishwa ujinga mwingi.Unafikiria kama mtoto, unasikitisha sana.
Hivi mimi nikikuuliza kwamba unajua kuhusu xyzwnss? kisha ukasema hujui na ukaniuliza xyzwssn ndio nini? halafu nikakwambia xyzwsnn ni dhana, utakuwa umeelewa xyzwsnn ndio nini?
Watoto wana uwezo wa kuuliza maswali magumu sana ya msingi kutokana na kutolishwa ujinga mwingi.
Unavyoandika "unafikiria kama mtoto" derisively unaonesha bias yako dhidi ya watoto.
xyzwnss ni herufi.
Wewe hujaweza kusema Mungu wako ni nini.
Hivyo siwezi kujadiliana nawe kuhusu Mungu ambaye hata wewe mwenyewe hujaweza hata kututajia ni nini au yupi.
Inaonekana hata wewe mwenyewe huamini katika uthabiti wa kuwepo kwa huyo Mungu.
Ndiyo maana unashindwa hata kutueleza Mungu huyo ni nini, ni yupi.
Nitajie Mungu asiye dhana tu.Bado naendelea kusisitiza kuwa unafikiri kama mtoto.
Kiranga,gari,elimu,xylitol...hizo zote ni herufi pia na herufi ndio huunda majina au maneno mbalimbali. Sasa nikikwambia nimeonana na Ex wako utasema Ex ni herufi tu?
Nimekwambia zipo dhana mbalimbali tu kama dhana ya kuzaliwa tena baada ya kufa n.k Sasa unasema Mungu ni dhana nakuuliza ni dhana ipi hiyo unaanza kubwabwaja tu.
Mimi nataka ueleze Mungu ni nini? iwe dhana ama isiwe dhana kwanza uniambie ni nini Mungu.Nitajie Mungu asiye dhana tu.