Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mungu ni dhana tu, kama ilivyo "pembetatu duara".Mimi nataka ueleze Mungu ni nini? iwe dhana ama isiwe dhana kwanza uniambie ni nini Mungu.
Sasa nakwambia "pembetatu duara" ni dhana tu, haipo nje ya ulimwengu wa kufikirika kwenye dhana, bado unaniuliza "pembetatu duara ni nini"?
Kama unabisha, nioneshe kwamba Mungu yupo nje ya dhana tu.
Hujaonesha hilo.