Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Unaposema viko limited kwenye "time" wakati time yenyewe fundamentally siyo real nakushangaa.

Kuna sehemu nyingi tu ndani ya huu Ulimwengu na nje yake "muda" haupo.
Time pia inaathiriwa na speed pamoja na relative movements.

Kwa kigezo hiki cha muda hoja yako inajifia na hivyo bado haujanipa uhakika wa kwamba vitu hivyo lazima viliumbwa,

Ukinipa huo uhakika/uthibitisho ndipo nitapata uhalali wa swali lako.

Bado hujanipa uthibitisho wa Mwl Nyerere kupeleka mlima Kilimanjaro kule Moshi ili na mimi nisake jibu la swali lako kwamba aliupelekaje kule.

Unachokifanya hapa ni kunilazimisha nikwambie aliupelekaje Mlima bila kwanza wewe kutoa ufafanuzi wa msingi ktk swali lako kuwa ni yeye kweli ndiye kauweka pale.

Thibitisha kwanza vitu hivyo viliundwa ili na mimi nimsake muundaji huyo kisha nikwambie!.
 
Kuna kitu chochote ambacho kipo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho kinachoweza kuwepo bila kuwa na muundaji?
 
Wanasayansi wote wanakubali uhai ulianza katika kipindi fulani cha uwepo dunia.
 
Dini gani imeyajibu hayo maswali tata?
Ukristo haujibu maswali tata kuhuusu MUNGU. Ndio maana wengi wao wanakuwa hawana dini.kama saiz ulaya wengi hawasali wameonani ujinga
 
Kuna kitu chochote ambacho kipo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho kinachoweza kuwepo bila kuwa na muundaji?
Mimi sijui,

Wewe unayesema kila kitu kina muundaji ndiyo naomba unipe kwanza huo uthibitisho kisha tumsake huyo muundaji.

Halafu huu Ulimwengu si wote unaonekana kwa macho,ni vyema ukalifahamu pia hilo.

Unaweza kuthibitisha kuwa kila kitu lazima kiliundwa?
 
Mimi sijui,
Umejibu vizuri kwamba haujui kitu chochote kilichopo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho ni lazima kiwe na muudaji.

Sasa nakuuliza tena hivi:-

Unaweza kuniambia vitu vifuatavyo vilitokeaje tokeaje(formation)?
1. Jua na nyota zote angani
2. Vimondo vyote angani
3. Sayari zote
4. Madini yote katika ardhi ya sayari dunia
5. Gas katika ardhi ya sayari dunia
6. Mafuta katika ardhi ya sayari dunia
7. Upepo/hali ya hewa na majira ya mvua
8. Bahari, mito na maziwa katika sayari dunia
9. Milima na mabonde katika sayari dunia
10. Miti na mimea ya aina zote katika sayari dunia
11. Ndege wa aina zote katika sayari dunia
12. Samaki wa aina zote kwenye mito, maziwa na bahari
13. Wanyama wa aina zote wa kufungwa na mwituni
14. Binadamu

NB: Nasubiri uniambie vilitokeaje tokeaje(formation)
 

Yeye kutokujua hivyo vitu vilikotokea haimaanishi kua unachosema wewe ni sahihi!. ndio maana anomba uthibitishe kua usemacho ni sahihi!.

Tangu mwanzo amekwambia msimamo wake kua yeye yuko njia panda, ila wewe ulie tayari una njia yako uliyochukua ni muhimu ukamjibu/kumuonesha na kumhakikishia kua njia yako ni sahihi.
 
😍
 
Haya maswali uliyouliza inaonekana jinsi gani huelewi mambo, au ndio tuseme umejiona umeuliza maswali magumu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maswali yote uliyouliza yanamajibu tena mengine yameshajibiwa karne nyingi zilizopita. Ningetamani nikujibu ila kwasasa nakuacha uendelee kuishi kwenye ujinga wako.
NB: kama sayansi imeshindwa toa jibu basi hamna dini yoyote humu duniani inaweza leta hilo jibu
 
😍
 
Dini ni utapeli na ufisadi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi umekisoma ulichoandika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wala simshangai!!!Pale unapozama kwenye imani fulani ghafla ukagundua hiyo taasisi unayosali ni Idara ya kijasusi inayojitahidi kuitawala Dunia kijamii,kisiasa na kiuchumi!!Hapo Lazima utadata tena sana!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…