Mungu ni dhana tu, kama ilivyo "pembetatu duara".Mimi nataka ueleze Mungu ni nini? iwe dhana ama isiwe dhana kwanza uniambie ni nini Mungu.
Mungu ni dhana tu, kama ilivyo "pembetatu duara".
Sasa nakwambia "pembetatu duara" ni dhana tu, haipo nje ya ulimwengu wa kufikirika kwenye dhana, bado unaniuliza "pembetatu duara ni nini"?
Kama unabisha, nioneshe kwamba Mungu yupo nje ya dhana tu.
Hujaonesha hilo.
Mimi huwa swali langu napenda kuwauliza hawa watu hii dunia ina miungu mingi yupi sasa sahihi na nani ataitisha hiyo siku ya mwisho kama wanavyosema maana yehova , yesu na allah ni miungu tofauti na kila mmoja anajudgement day yake sasa itakuwaje hiyo siku mmoja akawahi kuitisha parapanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]watazichapa auWatoto wana uwezo wa kuuliza maswali magumu sana ya msingi kutokana na kutolishwa ujinga mwingi.
Unavyoandika "unafikiria kama mtoto" derisively unaonesha bias yako dhidi ya watoto.
xyzwnss ni herufi.
Wewe hujaweza kusema Mungu wako ni nini.
Hivyo siwezi kujadiliana nawe kuhusu Mungu ambaye hata wewe mwenyewe hujaweza hata kututajia ni nini au yupi.
Inaonekana hata wewe mwenyewe huamini katika uthabiti wa kuwepo kwa huyo Mungu.
Ndiyo maana unashindwa hata kutueleza Mungu huyo ni nini, ni yupi.
Kwahiyo mungu ametengenezwa na akili za binadamu si ndio... hapo kale mtu alimuumba mungu kwa mfano wakeHivi utaacha lini kufikiri kitoto hivi? unakwama wapi kuelewa?
Tunajua hata Superman ni dhana lakini pia tunaweza kumuelezea huyo Superman ni nani kwa mfano:
Superman is a superhero who first appeared in American comic books published by DC Comics. The character was created by writer Jerry Siegel and artist Joe Shuster, and debuted in the comic book Action Comics #1 (cover-dated June 1938 and published April 18, 1938).[1] Superman has been adapted to a number of other media which includes radio serials, novels, movies, television shows and theatre.
Sasa kwa mtu asiyemjua Superman ataweza kumjua ila ukimwambia Superman ni dhana tu atakuelewa?
Sijaelewa hilo swali ama vpKwahiyo mungu ametengenezwa na akili za binadamu si ndio... hapo kale mtu alimuumba mungu kwa mfano wake
Sasa Mungu wako wewe unataka nimtaje mimi?Hivi utaacha lini kufikiri kitoto hivi? unakwama wapi kuelewa?
Tunajua hata Superman ni dhana lakini pia tunaweza kumuelezea huyo Superman ni nani kwa mfano:
Superman is a superhero who first appeared in American comic books published by DC Comics. The character was created by writer Jerry Siegel and artist Joe Shuster, and debuted in the comic book Action Comics #1 (cover-dated June 1938 and published April 18, 1938).[1] Superman has been adapted to a number of other media which includes radio serials, novels, movies, television shows and theatre.
Sasa kwa mtu asiyemjua Superman ataweza kumjua ila ukimwambia Superman ni dhana tu atakuelewa?
Unauliza Mungu ni nini.Mimi nataka ueleze Mungu ni nini? iwe dhana ama isiwe dhana kwanza uniambie ni nini Mungu.
Nimemuuliza UHURU JR Mungu wake ni yupi, amtaje na kutuhabarisha vizuri.Mimi huwa swali langu napenda kuwauliza hawa watu hii dunia ina miungu mingi yupi sasa sahihi na nani ataitisha hiyo siku ya mwisho kama wanavyosema maana yehova , yesu na allah ni miungu tofauti na kila mmoja anajudgement day yake sasa itakuwaje hiyo siku mmoja akawahi kuitisha parapanda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]watazichapa au
Unauliza Mungu ni nini.
Nakujibu ni dhana tu.
Unauliza tena Mungu ni nini.
Kwa nini hutaki jibu langu kwamba Mungu ni dhana tu?
Unataka kunilazimisha nitoe jibu unalotaka wewe badala ya jibu langu?
Unaweza kukanusha kwamba Mungu ninzaidi ya dhana tu?
Mungu gani huyo ambaye ni zaidi ya dhana tu?
Unaweza kumtaja kwa jina na kutuambia tabia zake?
Unauliza Mungu yupi tena wakati ushasema Mungu ni dhana? ushasema Mungu ni dhana sasa nikutajie yupi tena?Nimemuuliza UHURU JR Mungu wake ni yupi, amtaje na kutuhabarisha vizuri.
Kashindwa.
Inaonekana hata yeye mwenyewe hamuamini huyo anayemsema kuwa ni Mungu wake.
Nitajie unayemuamini wewe.Unauliza Mungu yupi tena wakati ushasema Mungu ni dhana? ushasema Mungu ni dhana sasa nikutajie yupi tena?
Mungu unayemuamini wewe ni yupi?Si kwamba nakataa jibu lako bali hujatoa kabisa jibu, ulichofanya ni kusema tu kuwa Mungu ni dhana tu ila hujaeleza huyo Mungu ni kitu gani ambacho ndio unadai ni dhana tu? Nikatoa mfano kuwa hata uwepo wa Superman ni dhana lakini naweza kukuelezea Superman ni nini ukamuelewa huyo Superman ni nani pamoja na kuwa uwepo wake ni dhana.
(1)Mungu
(2)Dhana
Hivi hauoni hata unavyojichanganya unaponiambie nikutajie Mungu ambaye ni zaidi ya dhana? kwa sababu dhana ni fikra au wazo tu la jambo lisilokuwa na hakika ndio maana unaniambie nikutajie Mungu(hujaeleza ni kitu gani) ambaye si dhana.
Tufanye kuwa Mungu ni dhana, lakini huyo Mungu ndio kitu gani hicho ambacho wewe unadai hicho kitu ni dhana tu?
Ushasema Mungu ni dhana na ndio umetaka tuelewe hivyo sasa ukianza tena habari za sijui Mungu huyu na wale unakuwa unanichanganya, mimi naelewa Mungu ni dhana basi sielewi lengine zaidi ya hapo.Mungu unayemuamini wewe ni yupi?
Mtaje tumchambue kama ni dhana tu ama la.
Mbona swali hili linakuwa gumu sana kwako kujibu?
Umeshakubali kwamba Mungu ni dhana na huelewi kingine zaidi ya hapo.Ushasema Mungu ni dhana na ndio umetaka tuelewe hivyo sasa ukianza tena habari za sijui Mungu huyu na wale unakuwa unanichanganya, mimi naelewa Mungu ni dhana basi sielewi lengine zaidi ya hapo.
Laana ya Mungu itakuandama mkuuUmeshakubali kwamba Mungu ni dhana na huelewi kingine zaidi ya hapo.
Umekubaliana nami kwamba nje ya dhana, huelewi uwapo wa huyu Mungu.
Kwamba huyo Mungu ni dhana ya kufikirika tu, zaidi ya hapo huelewi.
Hujakanusha nilichosema, umekubaliana nami.
Mungu gani?
Siku ukipata majanga ya kidunia ndo utamkumbuka Mungu huku ukiwa umepiga magoti ukimlilia lakini itakuwa too late....Mungu gani?
Unaweza kuthibitisha yupo kweli na habari za uwepo wake si dhana tu?
Tokea tuanze kujadiliana we umeshikilia tu kuwa Mungu ni dhana tu basi,sawa nikakwambia eleza basi hiyo dhana yenyewe ipi? hauelezi umeshikilia neno dhana, nikakwambia sawa basi tuambie Mungu ndio kitu gani hicho ambacho unadai uwepo wake ni dhana? bado ukaendelea kushikilia kusema Mungu ni dhana na ukawa mkali ukaanza kuniambia kuwa nakataa jibu lako.Umeshakubali kwamba Mungu ni dhana na huelewi kingine zaidi ya hapo.
Umekubaliana nami kwamba nje ya dhana, huelewi uwapo wa huyu Mungu.
Kwamba huyo Mungu ni dhana ya kufikirika tu, zaidi ya hapo huelewi.
Hujakanusha nilichosema, umekubaliana nami.
Dhana ni kitu cha kufikirika, kilicho kwenye mawazo, kinachodhanika.Tokea tuanze kujadiliana we umeshikilia tu kuwa Mungu ni dhana tu basi,sawa nikakwambia eleza basi hiyo dhana yenyewe ipi? hauelezi umeshikilia neno dhana, nikakwambia sawa basi tuambie Mungu ndio kitu gani hicho ambacho unadai uwepo wake ni dhana? bado ukaendelea kushikilia kusema Mungu ni dhana na ukawa mkali ukaanza kuniambia kuwa nakataa jibu lako.
Nilijaribu kukuelezea ni nini maana neno "dhana" ila hukutaka hata kujadili maana ya hilo neno dhana, wewe umekazana tu kusema Mungu ni dhana na hukutaki kuambiwa chengine.
Sasa inawezekana mimi sielewi hilo neno dhana lina maana gani katika lugha unayoikusudia wewe, kwahiyo kwa kifupi tumeishia hivyo tu kwa wewe kushikilia kusema Mungu ni dhana ...Mungu ni dhana.
Kwahiyo sio kwamba nimekuelewa bali nimeamua tu yaishe maana hakuna kinachoendelea zaidi ya wewe kuendelea kurudia tu Mungu ni dhana basi.
Dhana ni kitu cha kufikirika, kilicho kwenye mawazo, kinachodhanika.
Habari ya kuwepo kwa Mungu, ni kitu cha kufikirika tu, kisicho na uhalisia nje ya kufikirika.
Kama unabisha, toa mfano wa Mungu ambaye anathibitishika kuwepo nje ya dhana za kufikirika tu.
Mpaka sasa hujaweza kunipa mfano wa Mungu ambaye anathibitishika kuwepo nje ya dhana za kufikirika tu.