Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Halafu leo hii m.damu anasema hakuna Mungu wakati hata iyo simu tu unotumia apo saivi yupo aloitengeneza kwanini asiwepo muumbaji wa mbingu na Ardhi ?
kwanini asiwepo anobadilisha usiku na mchana? Yni nyie sijui mna akili za wapi msoamini Mungu anyway Mungu yupo na kama huamini leo utakuja kuamini siku ambayo haitokufaidisha Imani yako mana utakua umechelewaView attachment 1991640
This kind of shit does not make sense here

Kuna idadi nyingi ya miungu na dini zao unazipinga licha ya kua zina holy sriptures, nini kinachofanya maandiko ya dini yako yawe special?
 
Uislamu umem-define vipi Allah?
Hivi Uislamu ndo unavomdefine Allah ila wewe Scars hutoweza na hutaki kuamini bcz huamini kwenye Mungu
20211030_090319.jpg
 
This kind of shit does not make sense here

Kuna idadi nyingi ya miungu na dini zao unazipinga licha ya kua zina holy sriptures, nini kinachofanya maandiko ya dini yako yawe special?
Sawaaa we endelea kuamini unavoamini tu sisi hatumlazimishi mtu kusilimu ila Imani ikishamuingia mtu moyoni atakuja mwenyewe kuutaka Uislamu
 
Unajua hata nikikuuliza hapo kwanini watu wanaamini Mungu?najua hutoweza kunijibu halafu ajabu unahusisha kusoma sana na kutoamini uwepo wa Mungu kana kwamba katika dunia hii waliyosoma sana ni atheists tu au kwamba wanasayansi wote ni wakanaji uwepo wa Mungu.
Binadamu ni mjinga sana amini hivyo kuna watu humtafuta Mungu wakiwa na shida wakifanikiwa hawamjui ,ukuaji wa technology na maisha bora ya ulaya,wazungu wengi hawashiki dini,kila wanachohitaji duniani wanaweza kukipata bila kutegemea miujiza ya kimungu
 
Uislamu umem-define vipi Allah?
Allah الله
Ni kiarabu cha maneno mawili 'Al' na Llah
AL kwa kiarabu ina maana ya neno 'The' ambalo halina tafsiri moja kwa moja kwa kiswahili, na llah ni ina maana ya mungu
Hivyo Allah mana yake ni 'The God'

Kwa kiswahili ni Mungu mmoja,
Na Allah halitumiwi na waislamu tu, waarabu wa dini zote humuita mungu Allah (the God)
Kumbuka Allah ni jina General la mungu kwa kiarabu, ila mungu ana majina yake mengine ya sifa zake
 
Allah الله
Ni kiarabu cha maneno mawili 'Al' na Llah
AL kwa kiarabu ina maana ya neno 'The' ambalo hali a tafsiri moja kwa moja kwa kiswahili, na llah ni ina maana ya mungu
Hivyo Allah mana yake ni 'The God'

Kwa kiswahili ni Mungu mmoja,
Na Allah halitumiwi na waislamu tu, waarabu wa dini zote humuita mungu Allah (the God)
Kumbuka Allah ni jina General la mungu kwa kiarabu, ila mungu ana majina yake mengine ya sifa zake
Somehow umejaribu

Lakini ulichokijibu hapa naona ni kama umetafsiri neno allah kwa kiswahili na sio kwamba umefafanua kwa definition allah ni nini.

Kwasababu basically najua kua allah ni neno linalowakilisha mungu (wa kiislamu), so point ni kujuma definition yw mungu, mungu ni nini?
 
Sawaaa we endelea kuamini unavoamini tu sisi hatumlazimishi mtu kusilimu ila Imani ikishamuingia mtu moyoni atakuja mwenyewe kuutaka Uislamu
We inaonekana mgeni kwenye hizi mada, hapa mahubiri sio sehemu yake ebu jifunze kwa wenzako
 
Somehow umejaribu

Lakini ulichokijibu hapa naona ni kama umetafsiri neno allah kwa kiswahili na sio kwamba umefafanua kwa definition allah ni nini.

Kwasababu basically najua kua allah ni neno linalowakilisha mungu (wa kiislamu), so point ni kujuma definition yw mungu, mungu ni nini?
Kwenye uislamu Allah (the God) amedifainiwa kama Mungu mmoja, hakuna mungu mwengine zaidi yake. Kuamini mungu mwengine zaidi yake ni ushirikina
 
Binadamu ni mjinga sana amini hivyo kuna watu humtafuta Mungu wakiwa na shida wakifanikiwa hawamjui ,ukuaji wa technology na maisha bora ya ulaya,wazungu wengi hawashiki dini,kila wanachohitaji duniani wanaweza kukipata bila kutegemea miujiza ya kimungu
Kwahiyo watu wanaamini Mungu kwa sababu ya Miujiza au kwamba Mungu ni miujiza?
 
Somehow umejaribu

Lakini ulichokijibu hapa naona ni kama umetafsiri neno allah kwa kiswahili na sio kwamba umefafanua kwa definition allah ni nini.

Kwasababu basically najua kua allah ni neno linalowakilisha mungu (wa kiislamu), so point ni kujuma definition yw mungu, mungu ni nini?

Unaona sasa? Unataka definition ya mungu kwa kutumia maelezo ya Allah.
 
We kaa pembeni waache wakusaidie wenzako, unaonekana ni vingi kwenye uislamu huvijui
Point sio kujua vingi bali ni hiki unachokiuliza, hata mtu akijua vyote bado utaona anashindwa kujibu swali lako na ni kwa sababu tatizo ni swali lako mwenyewe. Tatizo una uelewa mdogo ila unataka kujitutumua humu, huku kuzunguka kwako kote naona unataka kwenda wapi.
 
Nenda kwa mwamposa utaamini
Watu kwenda kwa Mwamposa kwa sababu ya Miujiza haina maana kwamba Mungu ni miujiza, hao wanaoenda kwa Mwamposa na wasioenda kwa Mwamposa wote wanaamini Mungu huyohuyo mmoja. Kwahiyo usichanganye mambo ya watu kupenda miujiza na kuamini Mungu.
 
Point sio kujua vingi bali ni hiki unachokiuliza, hata mtu akijua vyote bado utaona anashindwa kujibu swali lako na ni kwa sababu tatizo ni swali lako mwenyewe. Tatizo una uelewa mdogo ila unataka kujitutumua humu, huku kuzunguka kwako kote naona unataka kwenda wapi.
Waache wanaojua vingi nifanye nao mjadala we ukae pembeni ukijifunza kupitia kwao
 
Back
Top Bottom