Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Nimekuambia Mungu ni dhana ya kufikirika isiyo na uhalisi nje ya ulimwengu wa dhana tu.

Kama unabisha, taja Mungu yeyote ambaye yupo nje ya ulimwengu wa kufikirika tu.

Ukiniuliza dhana gani ya kufikirika, itabidi unitajie Mungu gani, kwa sababu kila Mungu ni dhana tofauti ya kufikirika, na hivyo swali la dhana gani ya kufikirika bila kumtaja Mungu halina mantiki.

Sasa jibu swali.

Taja Mungu ambaye yupo nje ya dhana ya kufikirika tu.

Ukishindwa, umeshindwa kukanusha kwamba Mungu ni dhana ya kufikirika tu.
Atasema mungu ng'ombe[emoji1787][emoji1787]
 
Halafu nikikwita dogo unaona kama nakutukana,kwani una umri gani maana kwenye upande uelewa ni shida sana.
Kwanini ujitenganishe na uislamu wakati umedai we ni muislamu?

Au unataka ukane hapa kua wewe sio muislamu?

Uislamu haujaelezea habari za mungu?
 
Atasema mungu ng'ombe[emoji1787][emoji1787]
Jamaa yenu hasemi Mungu ni nini anaishia kusema tu kuwa Mungu ni dhana ila pia haelezi hiyo dhana ni ipi, hata ukimwambia huyo mungu ng'ombe atakataa na hana sababu kwanini akatae.
 
Kwanini ujitenganishe na uislamu wakati umedai we ni muislamu?

Au unataka ukane hapa kua wewe sio muislamu?

Uislamu haujaelezea habari za mungu?
Wapi sasa nilipojitenga na uislamu? dogo unachosha mbona unauelewa mzito hivi?
 
Kama hujajitenga na uislamu kivipi udai nisikuhusishe wewe na uislamu?

Uislamu haujaelezea habari za mungu?
 
Kama hujajitenga na uislamu kivipi udai nisikuhusishe wewe na uislamu?

Uislamu haujaelezea habari za mungu?
Duh!

Mimi nimekuuliza wewe Mungu ni nini? umeshindwa kujibu,matokeo yake unaniambia kuwa uislamu umeshindwa kunieeza Mungu ni nini na ndio maana nikasema usihusishe uislamu kwa sababu aliyeulizwa na kushindwa kujibu swali ni wewe na uislamu.
 
Hakuna mahali nimekuambia uislamu umeshindwa kukuelezea mungu ni nini, nachojua na nilichokiandika ni swali nilililokuuliza wewe muumini wa dini ya kiislamu na ndio maana nikaweka kiulizo mwishoni

Unashindwa hata ku decodes ujumbe nao kuandikia napata mashaka sijui kama unaweza ku fit kwenye hoja

Ili nisihusishe uislamu unatakiwa ukane hapa kua wewe sio muislamu, kwanini hujiulizi sikuhusishi na ukristo bali uislamu?

Umedai we ni muislamu, na uislamu ni dini inayojihusisha na habari za mungu, sasa kivipi usijue maana ya mungu?

Uislamu umeshindwa kuelezea maana ya mungu?
 
Kwahiyo sitakiwi hata kushiriki humu mjadala wa kuwepo au kutokuwepo Mungu kwa sababu mimi ni muislamu na uislamu unasema Mungu yupo? kwa sababu mimi mimi nimetaka kujua maana ya Mungu kutoka kwako na nimeuliza hilo swali kama sehemu ya mjadala, sasa ajabu unataka kunizuia kuuliza kisa uislamu wangu.

Ndio maana nilikuwa sitaki tufike huku kwenye dini,haya cheki sasa naelekea kunyimwa uhuru wa kuuliza maswali humu kwa sababu ya dini yangu.
 
Wapi nimesema hutakiwi kushiriki mjadala?

Umedai we ni muislamu, na uislamu ni dini inayojihusisha na habari za mungu, sasa kivipi usijue maana ya mungu?

Uislamu umeshindwa kuelezea maana ya mungu?
 
Wapi nimesema hutakiwi kushiriki mjadala?

Umedai we ni muislamu, na uislamu ni dini inayojihusisha na habari za mungu, sasa kivipi usijue maana ya mungu?

Uislamu umeshindwa kuelezea maana ya mungu?
Mimi nimeuliza swali kwenye mjadala katika kushiriki kwangu kwenye huo mjadala na sijasema kwamba uislamu hauna jibu la hilo swali,sasa labda useme sitakiwi kuuliza maswali na nikaulize kwenye dini yangu na ikiwa hivyo maana yake siruhusiwi kushiriki huo mjadala.
 
Kwa hiyo uislamu umeeleza maana ya mungu?
 
Mkuu UHURU JR hao jamaa umewauliza maswali mpaka muda huu hawana majibu wanakimbia kujibu na wana mbinu yao ya kukujibu vibaya ili wakutoe kwenye focus ya mada. Hata mimi pale nilipotaka majibu sijapata mpaka muda huu.

Wataishia kukujibu vibaya, watajifanya kukuweka kwenye ignore list ili iwe kichaka cha uhalali kwao cha kujificha kutotoa majibu.

Nakushauri endelea kuhitaji majibu ya maswali unayowauliza japo najua hawana majibu ndio maana wanazunguka zunguka.

Wao wanauliza maswali wanapewa majibu, wakiulizwa wao maswali hawana majibu wanatumia mbinu ya kupindua hoja na kukupa maneno hasi yenye lengo la kukutoa kwenye focus ili wajifiche wasiweze kutoa majibu.
 
Back
Top Bottom