UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Nimekataa nini?Unataka kuelewa kutoka kwangu alafu ukieleweshwa unakataa, nikueleweje?
We ni atheist?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekataa nini?Unataka kuelewa kutoka kwangu alafu ukieleweshwa unakataa, nikueleweje?
We ni atheist?
Sasa hapo ndio tunarudi kwenye lile swali langu la msingi la Mungu ni nini?Nimekuuliza sifa ya Mungu ni kuwa muimbaji maarufu?
Uimbaji maarufu una uhusiano gani na kuwa Mungu?
We ni atheist?Nimekataa nini?
HapanaWe ni atheist?
Kwa hiyo una amini mungu?Hapana
NdioKwa hiyo una amini mungu?
Kupitia dini gani?Ndio
Maswali yote ya nini sasa? mbona mimi sikuulizi unapinga uwepo wa Mungu kupitia dini gani?Kupitia dini gani?
Natumia plan B kukuelekezaMaswali yote ya nini sasa? mbona mimi sikuulizi unapinga uwepo wa Mungu kupitia dini gani?
Unielekeze nini ambacho unadhani nashindwa kukuelewa?Natumia plan B kukuelekeza
We ni muumini wa dini gani?
Ngoja nikubadilishie swali naona hilo linakubana sanaUnielekeze nini ambacho unadhani nashindwa kukuelewa?
Hoja kuu ni Mungu, huko kwenye dini kila dini ina maelekezo yake sasa tukiingia huko hatutaelewana maana wewe hata dini yenyewe hauamini pia.
Mbona unazunguka sana kijana? hebu eleza unachotaka kueleza, nishakwambia hoja kuu hapa ni Mungu na unajua sio wote wanaoamini Mungu ni kwamba wanaamini na dini.Ngoja nikubadilishie swali naona hilo linakubana sana
Hiyo elimu ya uwepo wa mungu umejifunzia kupitia marejeo gani?
Nazunguka kwasababu unanizungusha kwa kutojibu maswali, jibu swali ili niweze nikueleweshe maana ya mungu ambayo huijuiMbona unazunguka sana kijana? hebu eleza unachotaka kueleza, nishakwambia hoja kuu hapa ni Mungu na unajua sio wote wanaoamini Mungu ni kwamba wanaamini na dini.
Nimekwambia habari kuu hapa ni Mungu huko kwenye dini kila dini ina maelekezo yake na wengine hawana dini, nimeweka wazi kuwa sihitaji kujibu habari za mimi na dini hivyo sio kwamba nakuzungusha.Nazunguka kwasababu unanizungusha kwa kutojibu maswali, jibu swali ili niweze nikueleweshe maana ya mungu ambayo huijui
Kwa hiyo wewe leo unakana kua huna dini?
Maarifa ya mungu umeyapata kupitia source gani?
Hata hii ni sehemu ya habari kuu, kuongelea ongelea habari kuu bila ku focus kwenye maswali nayo kuuliza yenye mlengo wa kukuelewesha kunaonesha wazi kua kuna kitu unakikwepaNimekwambia habari kuu hapa ni Mungu huko kwenye dini kila dini ina maelekezo yake na wengine hawana dini, nimeweka wazi kuwa sihitaji kujibu habari za mimi na dini hivyo sio kwamba nakuzungusha.
Nimekwambia kuna watu hawana dini ila wanaamini Mungu, sasa sijaelewa wewe ni kipi hicho ambacho unashindwa kunieleza hadi tuzungumzie masuala ya dini wakati hoja kuu hapa ni Mungu na si dini?Hata hii ni sehemu ya habari kuu, kuongelea ongelea habari kuu bila ku focus kwenye maswali nayo kuuliza yenye mlengo wa kukuelewesha kunaonesha wazi kua kuna kitu unakikwepa
Kwanini unogopa kujibu habari za wewe na dini wakati dini inafungamana na habarinza mungu?
Kwa hiyo leo unakiri kua hauna dini?
Au una dini ila hautaki kukubali kwasababu unajua kukubali kwako kutakuweka matatani kwenye mjadala?
Sasa mimi nauliza nataka kujua kama nawewe ni miongoni mwa hao watu wanao amini mungu bila dini au la ili niweze kujua na dili na mtu wa namna ganiNimekwambia kuna watu hawana dini ila wanaamini Mungu, sasa sijaelewa wewe ni kipi hicho ambacho unashindwa kunieleza hadi tuzungumzie masuala ya dini wakati hoja kuu hapa ni Mungu na si dini?
Swali la Mungu ni nini umeshindwa kulielewa ndio maana uliishia kusema Mungu ni dhana kitu ambacho si jibu la swali lililoulizwa, sasa hatujaelewana hapo unataka kuingiza mjadala wa dini. Wewe kama hilo swali la Mungu ni nini limekushinda ni bora ukasema tu kuliko kutaka kujizungusha huko kwenye dini.
Hiyo ni mada mpya kabisa, kama unakubali tujadili masuala ya dini ambayo ni mada mpya sawa mi nipo radhi.Sasa mimi nauliza nataka kujua kama nawewe ni miongoni mwa hao watu wanao amini mungu bila dini au la ili niweze kujua na dili na mtu wa namna gani
Kwa hiyo wewe una kiri kwamba hauna dini?
Mada ya huu uzi ni "Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?"Hiyo ni mada mpya kabisa, kama unakubali tujadili masuala ya dini ambayo ni mada mpya sawa mi nipo radhi.
Kwamba hili neno la kiswahili "Mungu" lina maana ya dhana ya kufikirika? kwamba mfano naweza kusema kuwa uwepo wa Superman ni mungu?