UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Ni dhana ipi hiyo? ile ya kuamini ukifa utazaliwa upya na kuja kuishi tena duniani au ya kuamini ukimfanyia mtu ubaya na wewe utakuja kutokewa na jambo baya? au unzungumzia zile dhana za kuhusu Freemason na Alien?mi najua, na nimekujibu kua Mungu ni dhana ya kufikirika, niambie wewe maana ya mungu ni nini?
Mungu ni dhana ipi sasa mbona haiweki wazi ili nijue unazungumzia dhana gani?