aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Mkuu huyo jamaa anakupotezea muda tu, afadhali abishane na mimi hapa kuliko kujadiliana na nyie.Sasa mimi nauliza nataka kujua kama nawewe ni miongoni mwa hao watu wanao amini mungu bila dini au la ili niweze kujua na dili na mtu wa namna gani
Kwa hiyo wewe una kiri kwamba hauna dini?