Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

This kind of shit does not make sense here

Kuna idadi nyingi ya miungu na dini zao unazipinga licha ya kua zina holy sriptures, nini kinachofanya maandiko ya dini yako yawe special?
 
This kind of shit does not make sense here

Kuna idadi nyingi ya miungu na dini zao unazipinga licha ya kua zina holy sriptures, nini kinachofanya maandiko ya dini yako yawe special?
Sawaaa we endelea kuamini unavoamini tu sisi hatumlazimishi mtu kusilimu ila Imani ikishamuingia mtu moyoni atakuja mwenyewe kuutaka Uislamu
 
Binadamu ni mjinga sana amini hivyo kuna watu humtafuta Mungu wakiwa na shida wakifanikiwa hawamjui ,ukuaji wa technology na maisha bora ya ulaya,wazungu wengi hawashiki dini,kila wanachohitaji duniani wanaweza kukipata bila kutegemea miujiza ya kimungu
 
Uislamu umem-define vipi Allah?
Allah الله
Ni kiarabu cha maneno mawili 'Al' na Llah
AL kwa kiarabu ina maana ya neno 'The' ambalo halina tafsiri moja kwa moja kwa kiswahili, na llah ni ina maana ya mungu
Hivyo Allah mana yake ni 'The God'

Kwa kiswahili ni Mungu mmoja,
Na Allah halitumiwi na waislamu tu, waarabu wa dini zote humuita mungu Allah (the God)
Kumbuka Allah ni jina General la mungu kwa kiarabu, ila mungu ana majina yake mengine ya sifa zake
 
Somehow umejaribu

Lakini ulichokijibu hapa naona ni kama umetafsiri neno allah kwa kiswahili na sio kwamba umefafanua kwa definition allah ni nini.

Kwasababu basically najua kua allah ni neno linalowakilisha mungu (wa kiislamu), so point ni kujuma definition yw mungu, mungu ni nini?
 
Sawaaa we endelea kuamini unavoamini tu sisi hatumlazimishi mtu kusilimu ila Imani ikishamuingia mtu moyoni atakuja mwenyewe kuutaka Uislamu
We inaonekana mgeni kwenye hizi mada, hapa mahubiri sio sehemu yake ebu jifunze kwa wenzako
 
Kwenye uislamu Allah (the God) amedifainiwa kama Mungu mmoja, hakuna mungu mwengine zaidi yake. Kuamini mungu mwengine zaidi yake ni ushirikina
 
Kwahiyo watu wanaamini Mungu kwa sababu ya Miujiza au kwamba Mungu ni miujiza?
 

Unaona sasa? Unataka definition ya mungu kwa kutumia maelezo ya Allah.
 
We kaa pembeni waache wakusaidie wenzako, unaonekana ni vingi kwenye uislamu huvijui
Point sio kujua vingi bali ni hiki unachokiuliza, hata mtu akijua vyote bado utaona anashindwa kujibu swali lako na ni kwa sababu tatizo ni swali lako mwenyewe. Tatizo una uelewa mdogo ila unataka kujitutumua humu, huku kuzunguka kwako kote naona unataka kwenda wapi.
 
Nenda kwa mwamposa utaamini
Watu kwenda kwa Mwamposa kwa sababu ya Miujiza haina maana kwamba Mungu ni miujiza, hao wanaoenda kwa Mwamposa na wasioenda kwa Mwamposa wote wanaamini Mungu huyohuyo mmoja. Kwahiyo usichanganye mambo ya watu kupenda miujiza na kuamini Mungu.
 
Waache wanaojua vingi nifanye nao mjadala we ukae pembeni ukijifunza kupitia kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…