Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Hahaha..lazima unikimbie kama mwenzio Kiranga, mimi nakaa pembeni ulivyosema halafu tuone.
Huna hoja za kunikimbiza, kuna vingi ambavyo huvijui kuhusiana na dini yako ambavyo nataka tujadili, umeonesha uchanga kwenye hili kiasi kwamba hata basic tu ya kujua mungu ni nini imekua mtihani kwako
 
Sawa dogo mimi nakaa pembeni nawaangali mkijadili Mungu wa waislamu.
 
Mkuu nilimuuliza swali huyo kiumbe binadamu mpaka sasa hajatoa jibu, wanajizungusha tu.
 
Mkuu nilimuuliza swali huyo kiumbe binadamu mpaka sasa hajatoa jibu, wanajizungusha tu.
Yani saivi nipo tight tuu ila hawa atheists kwangu mm hawafurukuti hao ila by j3 nitapta nafuu kidogo kwaio tutaendeleza mjadala
 
TAMKO RASMI

Kwenu mnaojiita Atheist.
Nyie mnasema hakuna uwepo wa Mungu.

Kama hakuna uwepo wa Mungu lazima mtakua mnajua formation of the universe (ulimwengu) ulivyoanza na formation ya vitu vyote hivi vifiatavyo:-

1. Sayari zote
2. Jua, mwezi na nyota zote
3. Bahari, mito na maziwa yote katika sayari dunia.
4. Gesi, mafuta na madini ardhini katika sayari dunia.
5. Samaki wa aina zote katika bahari, mito na maziwa.
6. Ndege wa aina zote
7. Wanyama wa aina zote
8. Binadamu
9. Miti, mimea na mbogamboga za aina zote

NB: Mtuambie hivyo vitu vimetokeaje, msikimbie hili swali.

KAMA HAMNA MAJIBU YA HILI SWALI HAMFAI MJIITE ATHEIST, NA HAMTAKIWI KUSEMA HAKUNA UWEPO WA MUNGU IKIWA HAMNA MAJIBU YA HILO SWALI.

Ajitokeze Atheist yoyote atoe majibu, msipotoa majibu. Hamna mandate ya kujiita Atheist na mtakuwa ni watu mliopotoka tu.

NAWASILISHA KWENYU MNAOJIITA ATHEIST.
 
Waache wanaojua vingi nifanye nao mjadala we ukae pembeni ukijifunza kupitia kwao
Akae pembeni vipi ikiwa mmeshindwa kumjibu hoja zake? Ndo mbinu yenu hii mkiona mmepata mtu anaewachallenge mnakimbilia kumuweka ignore list ili msiendelee kubanwa na hoja husika.
 
Hahaha..lazima unikimbie kama mwenzio Kiranga, mimi nakaa pembeni ulivyosema halafu tuone.
Ndio tabia zao Mkuu wakishakujua una wachallenge lazima wakukimbie kwa mbinu zao hizi mbili

1. Kukupa maneno ya kukuudhi(kukejeli n.k)

2. Watajifanya wanakuweka ignore list yaan ila ndio wanakukimbia hivyo
 
Hiki ulichokiandika ni pumba, ukiwa open minded nistue tufanye mjadala kibusara
 
Kama utafatilia vizuri huu mjadala utagundua unachokisema kipo opposite na reality
 
Akae pembeni vipi ikiwa mmeshindwa kumjibu hoja zake? Ndo mbinu yenu hii mkiona mmepata mtu anaewachallenge mnakimbilia kumuweka ignore list ili msiendelee kubanwa na hoja husika.
Usifate meza yenye bia nyingi, hivi hata nikikuuliza swali ambalo kauliza nimrlikimbia unaweza kunitajia?
 
Hiki ulichokiandika ni pumba, ukiwa open minded nistue tufanye mjadala kibusara
Sijaandika pumba yoyote hapo swali limenyooka hilo, na najua unalikwepa mnoo.

Kama hulikwepi nipe majibu, na kama hauna majibu pia niambie.
 
Sijaandika pumba yoyote hapo swali limenyooka hilo, na najua unalikwepa mnoo.

Kama hulikwepi nipe majibu, na kama hauna majibu pia niambie.
Ni pumba kwasababu ya premise uliyo itengeneza, na nikisema nijibu rhetorical nitakuambia vyote hivyo vimesababishwa na ulimwengu, hivyo ulimwengu hauna chanzo isipokua vile vilivyomo ndani yake

Hiyo ni ridiculous kama ambavyo swali lako lilivyo jengeka
 
Wewe ni binadamu kweli?
 
Swali lake limeeleweka vizuri na mtu yeyote mwenye akili, wewe ni mhuni unayetaka kuvuruga mjadala tu usiende mbele.
 
Bado haujatoa majibu, tafadhali kama unayo majibu yaseme pia kama haujui/hauna majibu pia sema
 
Swali lake limeeleweka vizuri na mtu yeyote mwenye akili, wewe ni mhuni unayetaka kuvuruga mjadala tu usiende mbele.
Nilivyomuelewa Mimi ni kwamba anataka aelezwe mungu ni nini kupitia maelezo ya kwenye uislamu, si ndivyo?
 
Akili ndogo tu ya kibinadamu

Mbona wanafunzi wanafundishwa na mwalimu mmoja lakini matokeo ni tofauti? kwamba wale walofeli walikua hawamsikilizi mwalimu au walitolewa nje ya darasa wakati mwalimu anafundisha?

Ivi wewe hujawahi kukosana na mke wako hlf unajidai unampenda mno?
Jengine ata kwenye kazi tuu mtu hawezi kupata cheo kikubwa mpk apitie majaribu na matatizo mengi tu sasa kwnn sisi binadamu asitujaribu imani zetu kma ata cc wenyewe tuu tunapitia majaribu mengi tu ktka maisha yetu.

Ata iyo simu unotumia saivi ina jina la kampuni iliyotengeneza kwanini sasa asiwepo Muumba wa mbingu na Ardhi na vyote vilivyomo.Acha kutetea imani yako potofu iyo utaenda kuchomwa wewe shauri yako

Mungu anatupa majaribu ili kuzithibitisha imani zetu kua kweli tumemuamini yeye au tumepotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…