TAMKO RASMI
Kwenu mnaojiita Atheist.
Nyie mnasema hakuna uwepo wa Mungu.
Kama hakuna uwepo wa Mungu lazima mtakua mnajua formation of the universe (ulimwengu) ulivyoanza na formation ya vitu vyote hivi vifiatavyo:-
1. Sayari zote
2. Jua, mwezi na nyota zote
3. Bahari, mito na maziwa yote katika sayari dunia.
4. Gesi, mafuta na madini ardhini katika sayari dunia.
5. Samaki wa aina zote katika bahari, mito na maziwa.
6. Ndege wa aina zote
7. Wanyama wa aina zote
8. Binadamu
9. Miti, mimea na mbogamboga za aina zote
NB: Mtuambie hivyo vitu vimetokeaje, msikimbie hili swali.
KAMA HAMNA MAJIBU YA HILI SWALI HAMFAI MJIITE ATHEIST, NA HAMTAKIWI KUSEMA HAKUNA UWEPO WA MUNGU IKIWA HAMNA MAJIBU YA HILO SWALI.
Ajitokeze Atheist yoyote atoe majibu, msipotoa majibu. Hamna mandate ya kujiita Atheist na mtakuwa ni watu mliopotoka tu.
NAWASILISHA KWENYU MNAOJIITA ATHEIST.