Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kwa hiyo nitakua sahihi kusema huna uhakika kua mungu yupo?
Ndiyo upo sahihi, na ni kutokana na tafsiri uliyotoa kuhusu neno hakika.

Ila sina mashaka kuwa Mungu yupo.
 
Kwa hiyo umeamini mimi ni Mungu?
Siyo kwamba naamini kuwa wewe ni Mungu, bali kwamba kama unachosema kwamba wewe ni Mungu na ni kweli una hiyo sifa na hudanganyi maana sifa za Mungu zipo kadhaa: ni muumba wa vyote vinavyoonekana na visivyoonekana, yupo tangu milele, uwepo wake hauna mwisho, ni muweza wa yote, yuko beyond time and space etc na wewe unfortunately huna hizo sifa.
 
Hata mimi ni mungu pia, kama unahisi uwongo ebu jaribu kuni disprove
 
hahahaaaaahaha acha vioja Wewe jamaa eti tusome vitabu vilivyoandikwa na mwanadamu kumhusu mungu,wakati mungu mwenyewe hajawahi kuandika biography kujihusu si kioja hicho?
Nje ya fikra za mtu mungu hayupo,hajawahi kuwepo na hatakwepo binadamu ndio aliyemuumba mungu kichwani mwake!
Huo ndio ukweli mchungu ndugu zanguni!
 
Ndiyo upo sahihi, na ni kutokana na tafsiri uliyotoa kuhusu neno hakika.

Ila sina mashaka kuwa Mungu yupo.
Na wewe ukaikubali tafsiri kua ni sahihi, na ulivyokubali haukusena kua umekubali kutokana na tafsiri niliyotoa, kwa maana hiyo hoja uliyoulizwa kuhusiana na hakika ni dhahiri kua ulikubali ili itumike katika mjadala ambao tunaujadili

Unakubali ukisema imani ni kutokua na uhakika tafsiri yake madai yeyote utayosema katika angle ya imani hayatakua na hakika?
 
Hata mimi ni mungu pia, kama unahisi uwongo ebu jaribu kuni disprove
Mungu anajionyesha kwa matendo yake mwenyewe - mfano - kwa vitu alivyoviumba na yupo enzi na enzi na atendelea kuwepo enzi na enzi, lakini wewe una mwanzo na utakuwa na mwisho. Hizi tofauti tayari zinakutoa kwenye uringo.
 
Nikikuambia ili uone hivyo vitendo unapaswa kukiri na kuniamini mimi kua ndio mungu wa kweli na kukana hiyo miungu yako potofu utakubali?
 
Nikikuambia ili uone hivyo vitendo unapaswa kukiri na kuniamini mimi kua ndio mungu wa kweli na kukana hiyo miungu yako potofu utakubali?
Unajifurahisha tu, for the sake of arguing, huna!
 
Nimekujibu kuwa hana mwanzo wala mwisho na hivyo hana chanzo.
nakukumbusha tena

unakubali kua hayo ni maneno uliyoandika wewe kwenye post #1,351 ?

Baada ya hapo nikakuuliza hivi

Na hiki ndicho ulicho jibu

Nitakua sahihi nikikuambia katika maelezo yako unajipinga mwenyewe?
 
Ndiyo nakubali kwa tafsiri uliyotoa ya neno hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…