Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Nikuulize kitu ba mimi Mungu ametokea wapi

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hivyo vyote ulivyo vitaja vimetokana kwenye chanzo kimoja ULIMWENGU
 
Kama umevisoma wewe hivyo vitabu si vinatosha kwako? Kuna vitabu vingi sana vingine wewe hujavisoma pia lakini wengine wamevisoma! Kwa hivo hatuwezi wote kujikita katika vitabu hivyo peke yake!

Nashukuru umejijibu mwenyewe! Usituletee paradox hapa! Kuna watu werevu kuliko wewe watakuwa wanakushangaa!
 
Kwanza thibitisha shetani yupo na si hadithi za watu tu.

Mimi siamini katika uwepo wa shetani na hivyo siwezi kuwa jasusi wa kitu ambacho siamini kipo.

Huko ndiko kuchanganyikiwa of the highest order! Msameheni huyu mwenzetu jamani kwani hajui kuwa hajui, full stop!
 
Huyu Atheist hana tofauti na wale wapiga manyanga!
 
Mtu kutoweza kuthibitisha au kushindwa kuthibitisha kuwa Mungu yupo siyo ushahidi kwamba hayupo. Mfano, wewe ukishindwa kuthibitisha kuwa nimeoa siyo ushahidi kuwa sijaoa.
Mungu hayupo si kwa sababu hawezi kuthibitishwa tu, bali ana contractions kibao zinazofanya uwezekano wa yeye kuwepo usiwepo.

Kitendo cha wewe kuoa ama kuolewa hakina contradictions yoyote kiasi kwamba hata mtu asipothibitisha bado una uwezekano wa kuwa umeoa/olewa.

Mungu huwezi kumthibitsha kwa kuwa hayupo, kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
 
Aliyekwambia Nzi anaumbwa badala ya kuzaliwa nani? Mbona unauliza maswali yaleyale yasiyo na maana?

Kuhusu kufa ili nijue,wewe ulishawahi kufa ukajua huo unaouita ukweli?

Acha kuleta hadithi za uongo hapa, thibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu.
 
Hivyo vyote ulivyo vitaja vimetokana kwenye chanzo kimoja ULIMWENGU
Thibitisha kisayansi. (Science Methodology) kwamba ulimwengu umesababishaje hivyo vitu vyote.

Ukiniambia hivyo vitu vimesababishwa na ulimwengu bila uhakikisho wa kisayansi. Jibu lako linakua la kufikirika (without science proof)
 
Aliyekwambia Nzi anaumbwa badala ya kuzaliwa nani? Mbona unauliza maswali yaleyale yasiyo na maana?

Kuhusu kufa ili nijue,wewe ulishawahi kufa ukajua huo unaouita ukweli?

Acha kuleta hadithi za uongo hapa, thibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu.
Mkuu unaedai uthibitisho wa uwepo wa Mungu, mbona wewe haujatuthibitishia vitu vyote vimetokea wapi? Kisayansi. Kama unasema hakuna uwepo wa Mungu lazima utakua unajua vitu vyote vimetokea wapi. Tuthibitishie
 
Thibitisha kisayansi. (Science Methodology) kwamba ulimwengu umesababishaje hivyo vitu vyote.

Ukiniambia hivyo vitu vimesababishwa na ulimwengu bila uhakikisho wa kisayansi. Jibu lako linakua la kufikirika (without science proof)
Kupitia bingbang
 
Yani mtu anataka athibitishiwe kitu hali ya kuwa hana hata idea huo uthibitisho unatakiwa ufananaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…