UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kiranga akikwambie uthibitishe sijui utafanyaje?Ndiyo mimi ndimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiranga akikwambie uthibitishe sijui utafanyaje?Ndiyo mimi ndimi
Unamzungumzia kiranga ambaye naye amedai ni mungu?Kiranga akikwambie uthibitishe sijui utafanyaje?
Ndio namzungumzia Kiranga huyo huyo,akikwambia uthibitishe kwamba kweli wewe ni mungu utafanyaje?Unamzungumzia kiranga ambaye naye amedai ni mungu?
ikitokea akauliza hivyo, nitakuteua wewe mfuasi wangu ujibuNdio namzungumzia Kiranga huyo huyo,akikwambia uthibitishe kwamba kweli wewe ni mungu utafanyaje?
Lini mimi nilisema kuwa ni mfuasi wa Scars?ikitokea akauliza hivyo, nitakuteua wewe mfuasi wangu ujibu
Utashindwa?
Kwa hiyo wewe unabisha mimi sio mungu?Lini mimi nilisema kuwa ni mfuasi wa Scars?
Mimi naona tu unajiita mungu ila sijajua kwa sifa zipi wala ni mungu jua au beyonce,kifupi sielewi lolote.Kwa hiyo wewe unabisha mimi sio mungu?
Kwasababu umechagua njia potofu, nimekuambia kunielewa mimi kuna hitaji ukiri kwanza kua mimi ni mungu wa kweli na ukane hiyo miungu yako ya quran kua ni potofuMimi naona tu unajiita mungu ila sijajua kwa sifa zipi wala ni mungu jua au beyonce,kifupi sielewi lolote.
Alivyoombewa na mapadre mungu alitokea watu wakathibitisha yupo?
Hivi unadhani kingunge ni mtu smart sana kuliko kina izack newton na eistein?
Enhee tumalizie story, kingunge alivyoombewa mungu alishuka na watu wakathibitisha?Mimi nazungumzia mtu ninayemfahamu siyo ninayehadithiwa kama Sir Isaac Newton, Albert Einstein, Nikola Tesla, Max Planck, Schrodinger, Erwin Kreyszig etc!
Bart Ehrman nimemsoma, ukiwa na upeo wa kusoma waandishi kama huyu ukawaelewa bila kuleta figisu zile za ushabiki haya mambo ya imani za kidini utayaangalia kwa jicho la uelewa wa juu sana.
Tatizo hapa utataka mjadala na watu wengi ambao hawajasoma vitu kama hivi na jina kama la Bart Ehrman ndiyo kwanza wanalisikia.
Mimi mtu akinitajia kwamba kasoma waandishi kama hawa namuheshimu sana upeo wake, yani si lazima tukubaliane kila kitu, hata kama anatetea uwepo wa Mungu na Ukristo/Uislamu, akitetea kwa level ya kuweza kukanusha hoja zilizomo kwenye vitabu kama vya Ehrman anakuwa level tofauti na wafia dini wa kawaida wa JF ambao wamekaririshwa aya wanazipigania kwa identity tu hata kuzitetea kwa mantiki hawawezi.
Umenifurahisha sana kunitajia Bart Ehrman. Jamaa kasoma Princeton Theleogical Seminary, anaichambua Biblia kwa umakini wa mtu aliyesoma Priceton Theological Seminary, halafu anaikosoa.
Huyo Lawrence Brown sijamsoma nitamtafuta.
Unaweza kuthibitisha kimantiki kwamba Mungu yupo?
Sina sababu ya kufanya hivyo na hakuna kinachonishawishi kufanya hivyo.Kwasababu umechagua njia potofu, nimekuambia kunielewa mimi kuna hitaji ukiri kwanza kua mimi ni mungu wa kweli na ukane hiyo miungu yako ya quran kua ni potofu
Mungu gani?Wewe umefanya experiment wapi iliyokuthibitishia kuwa Mungu hayupo! Au ndiyo yale ya ‘ armchair reasoning’!
Vitabu gani? Vinathibitisha Mungu yupo?Kama umevisoma wewe hivyo vitabu si vinatosha kwako? Kuna vitabu vingi sana vingine wewe hujavisoma pia lakini wengine wamevisoma! Kwa hivo hatuwezi wote kujikita katika vitabu hivyo peke yake!
Hicho ni kiburi cha uhaiSina sababu ya kufanya hivyo na hakuna kinachonishawishi kufanya hivyo.
Hoja yangu ninayokuambia umeshaielewa ila unajaribu kuzungusha maneno. AnywayUnanichanganya sababu unasema miujiza ni mambo ambayo hayawezi kuthibitishwa kisayansi at the same time nikikuambia habari za bingbang, evolution zilizo tafitiwa na sayansi unasema ni miujiza
Mi nadhani tungeanza na kupeana tafsiri ya haya maneno
uwezo wa kawaida wa kiasili ni upi? Unatofautishaje kujua huu ni uwezo wa kiasili na huu sio?
Na una upimaje kujua ni wa kawaida?
Asili ni nini?
Na kwasababu umeonesha mkanganyiko kwenye maswala ya sayansi, pia ni vyema ungenipa maana ya sayansi ambayo unaijua wewe ambayo haihusiani na bingbang, evolution kwasababu hivyo ni vitu vya kimiujiza
Unasema Sayari zimetokana na Nebula,1. Sayari zimetokana na nebula
Niambie hilo wingu kubwa lenye dust na miamba imetokea wapi? (formation) zake au zilitokea tu kimiujiza? Ukiniambia bahari imetokana na wingu kubwa lenye dust na miamba bila kuniambia hiyo miamba na wingu lenye dust vimetokeaje (formation) scientifically huo utakua ni muujiza kitu ambacho nyie hamuamini katika muujiza.2. Swala la bahari limetokana na wingu kubwa lenye dust na miamba
Kama gesi na mafuta husababishwa na mabaki ya mimea na wanyama waliokufa miaka mingi, nipe kwanza formation ya mimea na hao wanyama walitokea vipi?(formation) na wameform vipi gesi na mafuta kisayansi.3. Ina maana haujui gesi na mafuta husababishwa na mabaki ya mimea na wanyama waliokufa miaka mingi?. Sikutegemea utauliza swali la namna hii
Kama samaki wametokana na maji, niambie hayo maji yametokeaje(formation) yake na yameform vipi samaki wa aina zote? Hayo maji yalikuwepo tu kimiujiza?4. Samaki wametokana na maji, maji nimeelezea hapo juu
Uniambie theropods imetokeaje vipi(formation), au imetokea tu kimiujiza? Niambie kisayansi theropods imetokea vipi na imeform vipi Ndege wa aina zote?5. Ndege wame evolve kutoka kwa theropods
Kama wanyama wame evolve kutoka tiktaalik, niambie tiktaalik imetokea vipi(formation) au imetokea tu kimiujiza? Kusikojulikana. Imeform vipi wanyama wa aina zote kisayansi.6. Wanyama wame evolved kutoka tiktaalik
Niambie formation ya binadamu wametokea vipi?7. Binadamu, hili swali ni uzembe kuuliza
Uniambie hayo maji yametokea vipi(formation) yake na yameform vipi miti na mimea ya aina zote yalio baharini, mito maziwa na nchi kavu. Usiniambie miti imetokana na maji bila kuniambia maji kwanza yalitokeaje? na yameform vipi miti na mimea kisayansi.8. Miti na mimea imekuja baada ya mechanism ya maji kufanyika na tayari nimeelezea hapo juu
Mkuu, ukiniambia "A" imesababishwa na "B", nitahitaji uniambia kwanza "B" imetokea wapi(formation) yake, alafu imeform vipi "A" (Scientifically)Hata northern lights kabla ya wanadamu kuelewa electromagnetism walikua wanaona ni miujiza pia