Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Namaanisha wewe ulipokua unataja habari za mungu ilikua ni hoja inayo apply universal au personal?
Namaanisha nilichokieleza mimi hivyo ndivyo navyoamini au ndio mtazamo wangu, nasema hivyo kwa sababu wapo wenye mitazamo tofauti na hivyo au wenye kuamini tofauti na hivyo.
 
Nipe majibu ya nilichouliza hapo kama unayo majibu, kama hauna/haujui pia niambie.
Acha kumuuliza maswali ambayo nimejibu, uliza maswali mapya ujibiwe usipende kujaza server kizembe eti kwakua hulipii JF
 
We jamaa khaa bora ukajisomee mwenyewe huwezi mlazimisha mtu aanzw kukupa somo la evolution , cosmology nuclear physics, organic and inorganic chemstry . Hayo maswali si umeshajiuliza anza kufanyia uchunguzi kuwa kitu gani kimesababisha nebula mtu hawezi kukujibu ukaridhika hapa unapewa idea. Anza na geology on how gas and fossil fuel happened hapo ita involve chemistry ya olevel tuu kuelewa hizo chemical reactions
Kwanini nisipewe majibu hapa, kwanini mimi nikajisomee? Nimewauliza swali kama mna majibu mnipe na kama hamna/hamjui mniambie.

Mnipe majibu ya formation ya hivyo vitu kisayansi, msinipe majibu ya kufikirika na kimiujiza noo. Nahitaji majibu ambayo ni scientifically proved.

Usiniambie maji yamesababishwa na miamba, bila kuniambia miamba kwanza imetokea wapi? Je miamba imetokea kimiujiza tu?

Kama mlikaririshwa leo nawafumbua macho mlipotoshwa. Kama hamkupotoshwa basi mnipe majibu.
 
Mbona sikuwa na wazo hilo kabisa,mimi nilitaka kujua tu dalili za uungu wako basi.
Kwanini hutimizi maagizo ya mungu?

Afu na hizo dalili umeshindwa kuzijua kwasababu ulikua unanifanyia comparison kwa miungu ya quran ambayo ni ya uwongo

Hivi unajua kwamba mimi ni mungu sichunguziki kwa akili ya kawaida?
 
Umeshaniambia siwezi kuelewa post zako ndio maana sijaona sababu ya kuendelea kujadili.
 
Kwasababu haya yanafundishwa kuanzia primary level 6 kama sikosei, sasa huenda uli skip au uli drop kabisa
Kama yalifundishwa kuanzia level 6, Basi naomba unipe majibu mkuu ambayo ni scietifically proved. Usinipe majibu ya kufikirika na ya kimiujiza.

Kama unaniambia kitu "A" kimesababishwa na kitu "B", basi niambie kwanza hicho kitu "B" kimetokea wapi kwanza(formation) then uniambie kimewezaje kusababisha kitu "A" Scientifically.

Usiniambie tu kitu "A" kimesababishwa na kitu "B" kwa kimiujiza au kufikirika tu
 
Kwanini nisipewe majibu hapa, kwanini mimi nikajisomee? Nimewauliza swali kama mna majibu mnipe na kama hamna/hamjui mniambie.

Mnipe majibu ya formation ya hivyo vitu kisayansi, msinipe majibu ya kufikirika na kimiujiza noo. Nahitaji majibu ambayo ni scientifically proved.

Usiniambie maji yamesababishwa na miamba, bila kuniambia miamba kwanza imetokea wapi? Je miamba imetokea kimiujiza tu?

Kama mlikaririshwa leo nawafumbua macho mlipotoshwa. Kama hamkupotoshwa basi mnipe majibu.
Miujiza kwako ni kitu gani?
 
Acha kumuuliza maswali ambayo nimejibu, uliza maswali mapya ujibiwe usipende kujaza server kizembe eti kwakua hulipii JF
Hakuna ulichonijibu mpaka sasa, umenipa majibu ya kufikirika ambayo sio scientifically proved, majibu yako ni ya vitu vimesababishwa kimiujiza na kufikirika

Majibu yako unayotoa ni una assume tu, ni majibu ambayo hayana proof. Alafu unajiita Atheist. How?
 
Miujiza ni nini?

Tunaweza tukawa tunabishana kwasababu ya tafsiri ya neno muujiza
 
Kama yalifundishwa kuanzia level 6, Basi naomba unipe majibu mkuu ambayo ni scietifically proved. Usinipe majibu ya kufikirika na ya kimiujiza.

Kama unaniambia kitu "A" kimesababishwa na kitu "B", basi niambie kwanza hicho kitu "B" kimetokea wapi kwanza(formation) then uniambie kimewezaje kusababisha kitu "A" Scientifically.

Usiniambie tu kitu "A" kimesababishwa na kitu "B" kwa kimiujiza au kufikirika tu
Nimekupa majibu tena nimekupangia kwa namba kama ulivyouliza.

Ukitaka mimi niku:afanulie zaidi ya pale maana yake ni kwamba hauna basic knoweledge ya elimu hiyo, hivyo ili uelewe itanibidi nikufundishe hayo masomo ambayo hukuwahi kuyasoma

Lakini kwa condition moja, itabidi unilipe sababu huo hautakua mjadala tena itakua ni online course
 
Miujiza ni nini?

Tunaweza tukawa tunabishana kwasababu ya tafsiri ya neno muujiza
Miujiza ni hali ya ajabu zaidi ya uwezo wa kawaida wa kiasili au kuhakikiwa na kuthibitishwa kisayansi. (extraordinary situation or event that is not explicable by natural or scientific laws)

Mfano ukiniambia samaki wamesababishwa na mizoga ya wanyama wa zamani, bila kuniambia hao wanyama ambao wamekua mizoga walitokea wapi kwanza? (formation) yao, alafu ndio uniambie wamesababishaje samaki. (Hii ni miujiza)

Kwanini miujiza?
Kwasababu hao wanyama wametokea wapi? Science imeprove vipi kutokea na formation ya hao wanyama kwanza? Wametokea tu kimiujiza?
 
Uwezo wa kawaida wa kiasili ni upi?

Unaelewa maana ya asili?
 
Wewe ndiye hutaondoka na kuyaacha?

Acha ujinga.

Na wanaokupamba mara umesoma wapi mara sijui una PhD, mbona mimi sioni kiini cha hizo sifa! Au kiini ni kuwa Atheist! Damn them! Hakuna kitu hapo!
 
Sasa kwa nini hujawauliza wao unanisumbua mimi?

Nilikwambia nataka sifa zako mimi?
 
Nimekupa majibu tena nimekupangia kwa namba kama ulivyouliza.

Ukitaka mimi niku:afanulie zaidi ya pale maana yake ni kwamba hauna basic knoweledge ya elimu hiyo, hivyo ili uelewe itanibidi nikufundishe hayo masomo ambayo hukuwahi kuyasoma

Lakini kwa condition moja, itabidi unilipe sababu huo hautakua mjadala tena itakua ni online course
Kwanini nikulipe kwenye mjadala? Kwanini unitake nikulipe ikiwa tupo kwenye mjadala wa wazi kabisa.

Haujatoa majibu mpaka sasa yaliyo proved acientifically. Ulichofanya ni kutoa majibu ya kufikirika na ya kimiujiza kitu ambacho kinakuvua na kukuondolea mandate ya wewe kujiita Atheist.

Kwanini?
Kwasababu huwezi kujiita Atheist ikiwa wewe mwenyewe haujui hivyo vitu vyote vimetokeaje (formation) ya hivyo vitu vyote.

Na kama unatoa majibu ya kufikirika na ya vitu kutokea kimiujiza, sasa unatofauti gani na wanaoamini Mungu ndie aliyeumba vitu vyote kwa miujiza yake?
 
Haya mambo bana yani sometime natulia tu kimyaaa, nikiangalia unyama wanao fanya ISIS, CCM, sijui boko haram, najiuliza hivi Mungu haoni hizi takataka zinavyo umiza watu wake? Huruma yake iko wapi? Upendo je? Haoni raia wanateseka? Mungu anaangalia watu wanakaa njaa mpaka wanakufa? Kwanini hazuii majanga makubwa yanayo ua watu wake kikatili? Biblia mbona kama hainihusu mimi mtu mweusi?
 
watu kama kiranga wakifa utaona ndugu zao wanaomba huduma ya kuzikwa na padri,wakikataliwa hawaelewi ,wanaona kama hawatendewi haki.mashemasi tu ndo tutawafanyia ibada za mazishi

Kama ivyokuwa kwa Kingunge Ngombare Mwiru! Aliombewa na mapadre!
 
Back
Top Bottom