Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kazi yangu mimi ni kujadiliana hoja za mjadala na niliisha fanya hivyo kwa kujibu maswali yako kimpangilio,Kwanini nikulipe kwenye mjadala? Kwanini unitake nikulipe ikiwa tupo kwenye mjadala wa wazi kabisa.
Haujatoa majibu mpaka sasa yaliyo proved acientifically. Ulichofanya ni kutoa majibu ya kufikirika na ya kimiujiza kitu ambacho kinakuvua na kukuondolea mandate ya wewe kujiita Atheist.
Kwanini?
Kwasababu huwezi kujiita Atheist ikiwa wewe mwenyewe haujui hivyo vitu vyote vimetokeaje (formation) ya hivyo vitu vyote.
Na kama unatoa majibu ya kufikirika na ya vitu kutokea kimiujiza, sasa unatofauti gani na wanaoamini Mungu ndie aliyeumba vitu vyote kwa miujiza yake?
Sasa unachokifanya wewe sio, kwasababu unaniweka kwenye majukumu ambayo yalitakiwa yafanywe na walimu wako mashuleni
Ukifanya hivyo lazima unilipe sababu hiyo ni course, nami natumia energy yangu.
Otherwise rudi shuleni ukasome