Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Ndio namzungumzia Kiranga huyo huyo,akikwambia uthibitishe kwamba kweli wewe ni mungu utafanyaje?
ikitokea akauliza hivyo, nitakuteua wewe mfuasi wangu ujibu

Utashindwa?
 
Mimi naona tu unajiita mungu ila sijajua kwa sifa zipi wala ni mungu jua au beyonce,kifupi sielewi lolote.
Kwasababu umechagua njia potofu, nimekuambia kunielewa mimi kuna hitaji ukiri kwanza kua mimi ni mungu wa kweli na ukane hiyo miungu yako ya quran kua ni potofu
 
Alivyoombewa na mapadre mungu alitokea watu wakathibitisha yupo?

Hivi unadhani kingunge ni mtu smart sana kuliko kina izack newton na eistein?

Mimi nazungumzia mtu ninayemfahamu siyo ninayehadithiwa kama Sir Isaac Newton, Albert Einstein, Nikola Tesla, Max Planck, Schrodinger, Erwin Kreyszig etc!
 
Mimi nazungumzia mtu ninayemfahamu siyo ninayehadithiwa kama Sir Isaac Newton, Albert Einstein, Nikola Tesla, Max Planck, Schrodinger, Erwin Kreyszig etc!
Enhee tumalizie story, kingunge alivyoombewa mungu alishuka na watu wakathibitisha?
 
Bart Ehrman nimemsoma, ukiwa na upeo wa kusoma waandishi kama huyu ukawaelewa bila kuleta figisu zile za ushabiki haya mambo ya imani za kidini utayaangalia kwa jicho la uelewa wa juu sana.

Tatizo hapa utataka mjadala na watu wengi ambao hawajasoma vitu kama hivi na jina kama la Bart Ehrman ndiyo kwanza wanalisikia.

Mimi mtu akinitajia kwamba kasoma waandishi kama hawa namuheshimu sana upeo wake, yani si lazima tukubaliane kila kitu, hata kama anatetea uwepo wa Mungu na Ukristo/Uislamu, akitetea kwa level ya kuweza kukanusha hoja zilizomo kwenye vitabu kama vya Ehrman anakuwa level tofauti na wafia dini wa kawaida wa JF ambao wamekaririshwa aya wanazipigania kwa identity tu hata kuzitetea kwa mantiki hawawezi.

Umenifurahisha sana kunitajia Bart Ehrman. Jamaa kasoma Princeton Theleogical Seminary, anaichambua Biblia kwa umakini wa mtu aliyesoma Priceton Theological Seminary, halafu anaikosoa.

Huyo Lawrence Brown sijamsoma nitamtafuta.

Kama umevisoma wewe hivyo vitabu si vinatosha kwako? Kuna vitabu vingi sana vingine wewe hujavisoma pia lakini wengine wamevisoma! Kwa hivo hatuwezi wote kujikita katika vitabu hivyo peke yake!
 
Kwasababu umechagua njia potofu, nimekuambia kunielewa mimi kuna hitaji ukiri kwanza kua mimi ni mungu wa kweli na ukane hiyo miungu yako ya quran kua ni potofu
Sina sababu ya kufanya hivyo na hakuna kinachonishawishi kufanya hivyo.
 
Kama umevisoma wewe hivyo vitabu si vinatosha kwako? Kuna vitabu vingi sana vingine wewe hujavisoma pia lakini wengine wamevisoma! Kwa hivo hatuwezi wote kujikita katika vitabu hivyo peke yake!
Vitabu gani? Vinathibitisha Mungu yupo?

Mungu gani?
 
Unanichanganya sababu unasema miujiza ni mambo ambayo hayawezi kuthibitishwa kisayansi at the same time nikikuambia habari za bingbang, evolution zilizo tafitiwa na sayansi unasema ni miujiza

Mi nadhani tungeanza na kupeana tafsiri ya haya maneno

uwezo wa kawaida wa kiasili ni upi? Unatofautishaje kujua huu ni uwezo wa kiasili na huu sio?

Na una upimaje kujua ni wa kawaida?

Asili ni nini?

Na kwasababu umeonesha mkanganyiko kwenye maswala ya sayansi, pia ni vyema ungenipa maana ya sayansi ambayo unaijua wewe ambayo haihusiani na bingbang, evolution kwasababu hivyo ni vitu vya kimiujiza
Hoja yangu ninayokuambia umeshaielewa ila unajaribu kuzungusha maneno. Anyway

Majibu yako unayoyatoa ni ya kufikirika yaan kwa mfano unasema "Bahari imesababishwa na miamba na wingu lenye dust"

Sasa ndo nakuuliza hii miamba na wingu lenye dust vimetokea wapi? Kwanza pia uniambie vimesababishaje Bahari.

Usiponipa ufafanuzi huo wa hiyo miamba na wingu lenye dust vimetokea wapi jibu lako hilo ni la kufikirika halina uhakikisho wa kisayansi.

Kwanini?
Kwa sababu hilo wingu lenye dust na miamba vimetokea tu gafla(bila kuniambia vimetokea wapi? Formation zake) scientifically. Hii ina maana vimetokea kimiujiza yaan hata sayansi yenyewe inashindwa kuprove vimetokeaje? Na sayansi ikishindwa kuprove vimetokeaje, ni sawa na hivyo vitu vilikua formed na Mungu kwa uwezo wake na miujiza yake.


RUDIA TENA HAPA KUSOMA (Nimeuliza kwenye majibu yako ya kufikirika)
1. Sayari zimetokana na nebula
Unasema Sayari zimetokana na Nebula,
Nebula ni Matter niambie hii Nebula imetokea wapi? Formation yake kisayansi, imeform vipi sayari zote?, Au Nebula imetokea tu kimiujiza? Ukisema Nebula imeform sayari bila kuniambia Nebula ilitokea wapi kwanza, huo utakua ni muujiza na sio sayansi.

Niambie hiyo Nebula ilitokea wapi?(formation) yake, imeform vipi Sayari zote?


2. Swala la bahari limetokana na wingu kubwa lenye dust na miamba
Niambie hilo wingu kubwa lenye dust na miamba imetokea wapi? (formation) zake au zilitokea tu kimiujiza? Ukiniambia bahari imetokana na wingu kubwa lenye dust na miamba bila kuniambia hiyo miamba na wingu lenye dust vimetokeaje (formation) scientifically huo utakua ni muujiza kitu ambacho nyie hamuamini katika muujiza.

Niambie hiyo miamba na wingu lenye dust formation yake, vimetokea vipi na vimeform vipi bahari, mito na maziwa yote? Kisayansi.


3. Ina maana haujui gesi na mafuta husababishwa na mabaki ya mimea na wanyama waliokufa miaka mingi?. Sikutegemea utauliza swali la namna hii
Kama gesi na mafuta husababishwa na mabaki ya mimea na wanyama waliokufa miaka mingi, nipe kwanza formation ya mimea na hao wanyama walitokea vipi?(formation) na wameform vipi gesi na mafuta kisayansi.


4. Samaki wametokana na maji, maji nimeelezea hapo juu
Kama samaki wametokana na maji, niambie hayo maji yametokeaje(formation) yake na yameform vipi samaki wa aina zote? Hayo maji yalikuwepo tu kimiujiza?


5. Ndege wame evolve kutoka kwa theropods
Uniambie theropods imetokeaje vipi(formation), au imetokea tu kimiujiza? Niambie kisayansi theropods imetokea vipi na imeform vipi Ndege wa aina zote?


6. Wanyama wame evolved kutoka tiktaalik
Kama wanyama wame evolve kutoka tiktaalik, niambie tiktaalik imetokea vipi(formation) au imetokea tu kimiujiza? Kusikojulikana. Imeform vipi wanyama wa aina zote kisayansi.


7. Binadamu, hili swali ni uzembe kuuliza
Niambie formation ya binadamu wametokea vipi?


8. Miti na mimea imekuja baada ya mechanism ya maji kufanyika na tayari nimeelezea hapo juu
Uniambie hayo maji yametokea vipi(formation) yake na yameform vipi miti na mimea ya aina zote yalio baharini, mito maziwa na nchi kavu. Usiniambie miti imetokana na maji bila kuniambia maji kwanza yalitokeaje? na yameform vipi miti na mimea kisayansi.


NB: Bado nasubiria majibu. Mfano:- Nakukumbusha ukiniambia JUICE YA PARACHICHI IMETOKANA NA MAJI, TUNDA PARACHICHI NA SUKARI, NITAKUOMBA UNIAMBIE KWANZA(Formation) ya PARACHICHI LIMETOKA WAPI, MAJI YAMETOKA WAPI NA SUKARI, JE VIMETOKEA TU KIMIUJIZA? Uniambie kisayansi vimetoka wapi kwanza, alafu ndio uniambie process iliyotumika kuform juice ya parachichi
 
niamepitia maandiko majibizano mengi ya Kiranga, inaonekana ni mtu aliesoma na kufuatilia mambo ya dini, unaweza kukuta jamaa ni baba paroko!
 
Hata northern lights kabla ya wanadamu kuelewa electromagnetism walikua wanaona ni miujiza pia
Mkuu, ukiniambia "A" imesababishwa na "B", nitahitaji uniambia kwanza "B" imetokea wapi(formation) yake, alafu imeform vipi "A" (Scientifically)

Kwanini?
Kwasababu bila kuniambia "B" imetokea wapi kwanza (scientifically proved) basi jibu lako ni la kufikirika ambalo halina uhakikisho wa kisayansi. Na kama halina uhakikisho wa kisayansi basi "B" imeundwa na other source beyond science methodology.
 
Back
Top Bottom