rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
cha ajabu Ni kwamba Mungu unaemwabudu wewe ndo unaona Mungu wa kweli Ila wa wengine sio wa kweli[emoji58]Aijalishi nimungu gani ila Ni lazima ukiri mungu yupo kuliko kusema ayupo Kama kunamiungu zaidi ya 1000 nisawa ila kila mtu anajua nimungu gani anamuabudu .. full stop ...
umeiskiliza album ya mashogaNyie ma atheist mnaijua Album ya Lil nas X- Montero?
Ngoma za lil nas ni kali hasa hasa industry baby kamshirikisha jack harlow, Holiday pamoja na Montero kaimba mwenyw ngoma Kali sanaNyie ma atheist mnaijua Album ya Lil nas X- Montero?
Ngoma zake kali Ila vedio daahumeiskiliza album ya mashoga
Unaposema kubishana kitoto una maana gani mkuu?Ahhhhh. Mkuuu. Kuna empirical facts Kuna induction na Kuna deduction. Acheni kubishana kitoto.
Ilibisi weweAliyekwambia Nzi anaumbwa badala ya kuzaliwa nani? Mbona unauliza maswali yaleyale yasiyo na maana?
Kuhusu kufa ili nijue,wewe ulishawahi kufa ukajua huo unaouita ukweli?
Acha kuleta hadithi za uongo hapa, thibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu.
Ni sawa na mtoto ambaye wazazi wake ni wasomi na hivyo wazazi wake wakawa wanamzingatia sana kwenye masomo ili nae aje kuwa msomi au mwengine wazazi wake ni wafanyabiashara nae anakuzwa katika mazingira hayo.Ukweli ni kwamba mtoto mdogo hawezi kupew kundi kwa hapo hatuwezi kusema kama ni theist au atheist. Japo wengi wanaishiaga kuwa theists kwasababu ya kupandikizwa dini na wazazi
Mungu wakweli na mungu ambae siyo wakweli iyo nisiri ya mtu binafsi ndomana swala la kidini nila iyari zipo dini nyingi sawa ...iyo ainipi sababu yakusema ipi Ni sahii na ipi cyo sahiii wew ukiona, sanamu, milima, mito, Kama nisahii kwako kuabudu just go on .. ili mradi Neno MUNGU liwepo..cha ajabu Ni kwamba Mungu unaemwabudu wewe ndo unaona Mungu wa kweli Ila wa wengine sio wa kweli[emoji58]
Niwewe na nafsi yako tu si binadamu kapewa iyari unauwezo wakuchagua kipi chakuamini ..Kwa hiyo hata nikisema mama angu ndo mungu wangu hamna tatizo
Pamoja na maendeleo ya sayansiMungu wakweli na mungu ambae siyo wakweli iyo nisiri ya mtu binafsi ndomana swala la kidini nila iyari zipo dini nyingi sawa ...iyo ainipi sababu yakusema ipi Ni sahii na ipi cyo sahiii wew ukiona, sanamu, milima, mito, Kama nisahii kwako kuabudu just go on .. ili mradi Neno MUNGU liwepo..
Unaposema MUNGU ayupo ujue umesema vitu vingi avipo ..
Kwamfano ukisema MUNGU ayupo nisawa umesema SHETANI , MALAIKA ,MAPEPO ,MAJINI, ayapo
Kwakua uwezi kuzungumzia mambo Kama hayo ushindwe kuweka neno MUNGU kwenye makala yako .. Sasa niku challenge leo uwende kwenye mkusanyiko wawatu alafu upaze sauti eti JAMANI mungu ayupo shetani ayupo mapepo hayapo MALAIKA awapo jehanamu aipo ..
Kila mtu atakiri nakusema uyu jamaa Ni MPUMBAVU .. bila kujali unaelimu gani cheo gani utajiri kiasi gani
Kama ilivyokua enzi izo kukawa WAFALME wapumbavu ata Sasa Kuna MARAISI wapumbavu .. Kuna wanasayansi wapumbavu Kuna wanasheria wapumbavu Kuna wanafalsafa wapumbavu .. Kuna wasomi wapumbavu Kuna wanajeshi wapumbavu .. Kama walivyo watoto wapumbavu pia wapo wazazi wapumbavu .. kuna matajiri WAPUMBAVU .. Kama zipo mila zakipumbavu pia ipo ELIMU yakipumbavu
UPUMBAVU UPO KILA KONA.. Kama yapo mavazi yakipumbavu pia ipo misosi yakipumbavu wapo wanamuziki wapumbavu. Wapo wana JF wapumbavu wapo Wana Instagram wapumbavu wapo Wana FB wapumbavu .. wapo VIONGOZI wapumbavu wapo WANANCHI wapumbavu .. wapo WACHUNGAJI wapumbavu .. wapo mashekh wapumbavu wapo ma padri wapumbavu
yani aisee .. mbingu iwepo ardhi iwepo mijusi iwepo samaki wawepo Malaya wawepo hewa iwepo maji yawepo misukule iwepo soda ziwepo chupi ziwepo nzi ziwepo m'mbu wawepo Corona iwepo afu MUNGU asiwepo ? .. jamani
Ivi MUNGU mnamchukuliaje aisee ..
Sasa kama ni mimi naweza kuchagua mbona mnakomaa kwamba mungu ni kiumbe fulani kipo mawinguniNiwewe na nafsi yako tu si binadamu kapewa iyari unauwezo wakuchagua kipi chakuamini ..
Ndomana MUNGU alisema nimeweka mbele zako MAUTI na UZIMA Sasa nakushauri chagua UZIMA .. kwakua alijua wapo watu uchagua kitu kibaya atakama kizuri kimewekwa mbele ..
Kama unadhani mungu nikiumbe wew ndo unamatatizo Mungu Ni spirit Kama spirit zingine .. Ni roho yenye mamlaka Kama zilivyo roho chafu kama majini mapepo mizimu ambao nao wana mamlaka yao..Sasa kama ni mimi naweza kuchagua mbona mnakomaa kwamba mungu ni kiumbe fulani kipo mawinguni
Kama unaamini Dunia iliumbwa basi Aina haja yaku doubt iliumbwa kwa siku ngapi nisawa umuulize designer wanguo fulani akwambie ame design kwa mda gani afu akwambie nime design kwa lisaa then ubishe utakua umechanganyikiwa ..Pamoja na maendeleo ya sayansi
Biologist wamefanya research za kutosha kwenye genetics na evolutionary biology na wametoa maelezo ya kutosha yenye evidence za kutosha na laboratory experiments zimefanywa zinazohakikisha ukweli wa mambo wanayoyaeleza lakini bado Kuna watu wanakomaa tulitokea kwa Adam na Hawa
Physicists wamefanya cosmological research wametuelezea mambo yenye evidence za kutosha kuhusu the origin of the universe lakini kuna watu bado wanakomaa dunia iliumbwa kwa siku sita
Kila siku wanatupigia kelele na mispika yao eti tumrudie mungu alie mbinguni ni muweza wa yote atakusaidia .Unatumia akili kweli wewe mungu alieshindwa kuzuia mauaji wakati kuna watu wanne duniani Leo aje akusaidie wewe kwenye dunia yenye watu bilion saba
HAWA NDIO WAPUMBAVU
Kiranga Ni Genius hawezi kuwa Catholic aanze kuabudu misanamu na kuvaa misalaba.Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.
Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters
My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr
Wewe ni shetani. Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.Kiranga Ni Genius hawezi kuwa Catholic aanze kuabudu misanamu na kuvaa misalaba.
Binafsi nimekuzwa na Catholic ila nachukia uongo walio ueneza duniani, jitu zima linapigia goti msalaba na kubusu msalaba.
Historia ina thibitisha hilo hakuna jamii iliyowahi kutokea ambayo haikuwa na imani yoyote iwe ya kichawi au miungu hayo mambo ni human nature ni sawa na kuwachukua vijana wa kike na wakiume walio balehe ambao hawajui mapenzi ni kitu gani ukawachia walale chumba kimoja alafu utarajie hawatokuja kufanya mapenzi kwa vile hawajafundishwa au kuona mapenzi yanafanyajwe.Unatuhakikishiaje wakati umeongea maneno matupu?
Unaweza kuweka hapa ushahidi wa wazi juu ya hayo ya watoto kuwaweka kisiwani?
Hivi huwa kuna mahusiano gani kati ya mtu asiyeamini Mungu na dhana ya kuonekana kuwa na akili sana?Kiranga Ni Genius hawezi kuwa Catholic aanze kuabudu misanamu na kuvaa misalaba.
Binafsi nimekuzwa na Catholic ila nachukia uongo walio ueneza duniani, jitu zima linapigia goti msalaba na kubusu msalaba.
Just imagine inawezekanaje mtu mwenye akili kwenda kukanyaga mafuta ya upako, mtu mwenye akili kunena sandandalalababbbbbbbbbb!!!Hivi huwa kuna mahusiano gani kati ya mtu asiyeamini Mungu na dhana ya kuonekana kuwa na akili sana?
SawaWewe ni shetani. Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.
Jamii kuwa na mtazamo huo haimaanishi kuwa huo ndiyo uhalisia.Historia ina thibitisha hilo hakuna jamii iliyowahi kutokea ambayo haikuwa na imani yoyote iwe ya kichawi au miungu hayo mambo ni human nature ni sawa na kuwachukua vijana wa kike na wakiume walio balehe ambao hawajui mapenzi ni kitu gani ukawachia walale chumba kimoja alafu utarajie hawatokuja kufanya mapenzi kwa vile hawajafundishwa au kuona mapenzi yanafanyajwe.