Pamoja na maendeleo ya sayansi
Biologist wamefanya research za kutosha kwenye genetics na evolutionary biology na wametoa maelezo ya kutosha yenye evidence za kutosha na laboratory experiments zimefanywa zinazohakikisha ukweli wa mambo wanayoyaeleza lakini bado Kuna watu wanakomaa tulitokea kwa Adam na Hawa
Physicists wamefanya cosmological research wametuelezea mambo yenye evidence za kutosha kuhusu the origin of the universe lakini kuna watu bado wanakomaa dunia iliumbwa kwa siku sita
Kila siku wanatupigia kelele na mispika yao eti tumrudie mungu alie mbinguni ni muweza wa yote atakusaidia .Unatumia akili kweli wewe mungu alieshindwa kuzuia mauaji wakati kuna watu wanne duniani Leo aje akusaidie wewe kwenye dunia yenye watu bilion saba
HAWA NDIO WAPUMBAVU
Kama unaamini Dunia iliumbwa basi Aina haja yaku doubt iliumbwa kwa siku ngapi nisawa umuulize designer wanguo fulani akwambie ame design kwa mda gani afu akwambie nime design kwa lisaa then ubishe utakua umechanganyikiwa ..
Mungu kukusaidia au kuto kusaidia ni matakwa yake binafsi .. kwasababu wew unadhan duniani ndiyo sehem yako yakuishi .. wakati MUNGU anajua ata ukifa utaishi .. uwe hai usiwe hai mungu Hana hasara yoyote kwakua mwili wako amaeupandikiza roho ambayo ukifa Bado ataendelea kuimiliki ..
Hao wana sayansi wameshindwa kutambua asili ya moyo .. wameshindwa kutambua akiwazacho mtu .. ndio ume waamini nakukwambia mungu ayupo na ukakubali ?
Anachoangalia mungu nikuona umeishi duniani kwa kufwata taratibu na ambri zake full stop aijalishi umeishi miaka mingapi duniani midogo au mingi
Mahdam unazijua ambri 12 za mungu na ukazieshim ilo kwake inatosha..
Niraisi Sana kumpata kiongozi wa nchi ila ningumu Sana kumpata mtu mwenye mausiano mazuri na mungu kwakua Ni issue ambayo ipo kiroho zaidi na hakuna mtu anauwezo wakuyapima mausiyano ya mtu na Mungu .. Bali Ni mungu mwenyew .. MAWAZO yamungu ayachunguziki ..
Wanasayansi Awana uwezo wowote waku mchallange MUNGU Kama mungu alitumia mifumo mi 4 kumuumba mwanadamu .. wakati wanasayansi wameshindwa kutengeza ata spare za binadam ndo Leo waniaminishie UPUMBAVU wao ..
Njia ya kwanza (1) Mungu alimuumba Adam kwa UDONGO
(2)Akaja kamuumba Eva kutokana na ubavu wa Adam
(3) Akaja akawaacha Adam na Eva watumie mfumo wa wanyama kumleta binadam wa 3 ambae Ni KAINI mfumo ambao adi sasa ndo unao tumika waku jamiiyana
(4) akasema natoa mpya nyingne Akamtuma MALAIKA kwa mwanamke BIKIRA mariamu .. yan NENO na MWANAMKE kumleta binadam mwengine ambae Ni YESU ..
Na hakuishia Apo aliendelea kuumba watu wengine wamataifa kwakua KAINI alipo muua ndugu yake ABELI alikimbilia sehem nyingine na alipoenda akahnzisha familia kwakuoa .kwaiyo mke wake nimtu mwengine ambae aijulikani ni mtu wawapi .
Kwaiyo mambo yenu yasayansi amuwezi battle na MUNGU .. na log off
Have a great life y'all..