Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Aijalishi nimungu gani ila Ni lazima ukiri mungu yupo kuliko kusema ayupo Kama kunamiungu zaidi ya 1000 nisawa ila kila mtu anajua nimungu gani anamuabudu .. full stop ...
cha ajabu Ni kwamba Mungu unaemwabudu wewe ndo unaona Mungu wa kweli Ila wa wengine sio wa kweli[emoji58]
 
Aliyekwambia Nzi anaumbwa badala ya kuzaliwa nani? Mbona unauliza maswali yaleyale yasiyo na maana?

Kuhusu kufa ili nijue,wewe ulishawahi kufa ukajua huo unaouita ukweli?

Acha kuleta hadithi za uongo hapa, thibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu.
Ilibisi wewe
 
Ukweli ni kwamba mtoto mdogo hawezi kupew kundi kwa hapo hatuwezi kusema kama ni theist au atheist. Japo wengi wanaishiaga kuwa theists kwasababu ya kupandikizwa dini na wazazi
Ni sawa na mtoto ambaye wazazi wake ni wasomi na hivyo wazazi wake wakawa wanamzingatia sana kwenye masomo ili nae aje kuwa msomi au mwengine wazazi wake ni wafanyabiashara nae anakuzwa katika mazingira hayo.
 
cha ajabu Ni kwamba Mungu unaemwabudu wewe ndo unaona Mungu wa kweli Ila wa wengine sio wa kweli[emoji58]
Mungu wakweli na mungu ambae siyo wakweli iyo nisiri ya mtu binafsi ndomana swala la kidini nila iyari zipo dini nyingi sawa ...iyo ainipi sababu yakusema ipi Ni sahii na ipi cyo sahiii wew ukiona, sanamu, milima, mito, Kama nisahii kwako kuabudu just go on .. ili mradi Neno MUNGU liwepo..

Unaposema MUNGU ayupo ujue umesema vitu vingi avipo ..

Kwamfano ukisema MUNGU ayupo nisawa umesema SHETANI , MALAIKA ,MAPEPO ,MAJINI, ayapo

Kwakua uwezi kuzungumzia mambo Kama hayo ushindwe kuweka neno MUNGU kwenye makala yako .. Sasa niku challenge leo uwende kwenye mkusanyiko wawatu alafu upaze sauti eti JAMANI mungu ayupo shetani ayupo mapepo hayapo MALAIKA awapo jehanamu aipo ..

Kila mtu atakiri nakusema uyu jamaa Ni MPUMBAVU .. bila kujali unaelimu gani cheo gani utajiri kiasi gani

Kama ilivyokua enzi izo kukawa WAFALME wapumbavu ata Sasa Kuna MARAISI wapumbavu .. Kuna wanasayansi wapumbavu Kuna wanasheria wapumbavu Kuna wanafalsafa wapumbavu .. Kuna wasomi wapumbavu Kuna wanajeshi wapumbavu .. Kama walivyo watoto wapumbavu pia wapo wazazi wapumbavu .. kuna matajiri WAPUMBAVU .. Kama zipo mila zakipumbavu pia ipo ELIMU yakipumbavu

UPUMBAVU UPO KILA KONA.. Kama yapo mavazi yakipumbavu pia ipo misosi yakipumbavu wapo wanamuziki wapumbavu. Wapo wana JF wapumbavu wapo Wana Instagram wapumbavu wapo Wana FB wapumbavu .. wapo VIONGOZI wapumbavu wapo WANANCHI wapumbavu .. wapo WACHUNGAJI wapumbavu .. wapo mashekh wapumbavu wapo ma padri wapumbavu

yani aisee .. mbingu iwepo ardhi iwepo mijusi iwepo samaki wawepo Malaya wawepo hewa iwepo maji yawepo misukule iwepo soda ziwepo chupi ziwepo nzi ziwepo m'mbu wawepo Corona iwepo afu MUNGU asiwepo ? .. jamani

Ivi MUNGU mnamchukuliaje aisee ..
 
Kwa hiyo hata nikisema mama angu ndo mungu wangu hamna tatizo
Niwewe na nafsi yako tu si binadamu kapewa iyari unauwezo wakuchagua kipi chakuamini ..

Ndomana MUNGU alisema nimeweka mbele zako MAUTI na UZIMA Sasa nakushauri chagua UZIMA .. kwakua alijua wapo watu uchagua kitu kibaya atakama kizuri kimewekwa mbele ..
 
Pamoja na maendeleo ya sayansi

Biologist wamefanya research za kutosha kwenye genetics na evolutionary biology na wametoa maelezo ya kutosha yenye evidence za kutosha na laboratory experiments zimefanywa zinazohakikisha ukweli wa mambo wanayoyaeleza lakini bado Kuna watu wanakomaa tulitokea kwa Adam na Hawa

Physicists wamefanya cosmological research wametuelezea mambo yenye evidence za kutosha kuhusu the origin of the universe lakini kuna watu bado wanakomaa dunia iliumbwa kwa siku sita

Kila siku wanatupigia kelele na mispika yao eti tumrudie mungu alie mbinguni ni muweza wa yote atakusaidia .Unatumia akili kweli wewe mungu alieshindwa kuzuia mauaji wakati kuna watu wanne duniani Leo aje akusaidie wewe kwenye dunia yenye watu bilion saba

HAWA NDIO WAPUMBAVU
 
Sasa kama ni mimi naweza kuchagua mbona mnakomaa kwamba mungu ni kiumbe fulani kipo mawinguni
 
Kama unadhani mungu nikiumbe wew ndo unamatatizo Mungu Ni spirit Kama spirit zingine .. Ni roho yenye mamlaka Kama zilivyo roho chafu kama majini mapepo mizimu ambao nao wana mamlaka yao..

Ndomana kunakitu kinaitwa ulimwengu wa roho ata binadamu wanaroho pia .. inabidi mjue sayansi namambo yakiroo nivitu viwili tofauti ..
 
Pamoja na maendeleo ya sayansi

Biologist wamefanya research za kutosha kwenye genetics na evolutionary biology na wametoa maelezo ya kutosha yenye evidence za kutosha na laboratory experiments zimefanywa zinazohakikisha ukweli wa mambo wanayoyaeleza lakini bado Kuna watu wanakomaa tulitokea kwa Adam na Hawa

Physicists wamefanya cosmological research wametuelezea mambo yenye evidence za kutosha kuhusu the origin of the universe lakini kuna watu bado wanakomaa dunia iliumbwa kwa siku sita

Kila siku wanatupigia kelele na mispika yao eti tumrudie mungu alie mbinguni ni muweza wa yote atakusaidia .Unatumia akili kweli wewe mungu alieshindwa kuzuia mauaji wakati kuna watu wanne duniani Leo aje akusaidie wewe kwenye dunia yenye watu bilion saba

HAWA NDIO WAPUMBAVU
Kama unaamini Dunia iliumbwa basi Aina haja yaku doubt iliumbwa kwa siku ngapi nisawa umuulize designer wanguo fulani akwambie ame design kwa mda gani afu akwambie nime design kwa lisaa then ubishe utakua umechanganyikiwa ..

Mungu kukusaidia au kuto kusaidia ni matakwa yake binafsi .. kwasababu wew unadhan duniani ndiyo sehem yako yakuishi .. wakati MUNGU anajua ata ukifa utaishi .. uwe hai usiwe hai mungu Hana hasara yoyote kwakua mwili wako amaeupandikiza roho ambayo ukifa Bado ataendelea kuimiliki ..

Hao wana sayansi wameshindwa kutambua asili ya moyo .. wameshindwa kutambua akiwazacho mtu .. ndio ume waamini nakukwambia mungu ayupo na ukakubali ?

Anachoangalia mungu nikuona umeishi duniani kwa kufwata taratibu na ambri zake full stop aijalishi umeishi miaka mingapi duniani midogo au mingi

Mahdam unazijua ambri 12 za mungu na ukazieshim ilo kwake inatosha..

Niraisi Sana kumpata kiongozi wa nchi ila ningumu Sana kumpata mtu mwenye mausiano mazuri na mungu kwakua Ni issue ambayo ipo kiroho zaidi na hakuna mtu anauwezo wakuyapima mausiyano ya mtu na Mungu .. Bali Ni mungu mwenyew .. MAWAZO yamungu ayachunguziki ..

Wanasayansi Awana uwezo wowote waku mchallange MUNGU Kama mungu alitumia mifumo mi 4 kumuumba mwanadamu .. wakati wanasayansi wameshindwa kutengeza ata spare za binadam ndo Leo waniaminishie UPUMBAVU wao ..

Njia ya kwanza (1) Mungu alimuumba Adam kwa UDONGO

(2)Akaja kamuumba Eva kutokana na ubavu wa Adam

(3) Akaja akawaacha Adam na Eva watumie mfumo wa wanyama kumleta binadam wa 3 ambae Ni KAINI mfumo ambao adi sasa ndo unao tumika waku jamiiyana

(4) akasema natoa mpya nyingne Akamtuma MALAIKA kwa mwanamke BIKIRA mariamu .. yan NENO na MWANAMKE kumleta binadam mwengine ambae Ni YESU ..

Na hakuishia Apo aliendelea kuumba watu wengine wamataifa kwakua KAINI alipo muua ndugu yake ABELI alikimbilia sehem nyingine na alipoenda akahnzisha familia kwakuoa .kwaiyo mke wake nimtu mwengine ambae aijulikani ni mtu wawapi .

Kwaiyo mambo yenu yasayansi amuwezi battle na MUNGU .. na log off

Have a great life y'all..
 
Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.

Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters

My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr
Kiranga Ni Genius hawezi kuwa Catholic aanze kuabudu misanamu na kuvaa misalaba.
Binafsi nimekuzwa na Catholic ila nachukia uongo walio ueneza duniani, jitu zima linapigia goti msalaba na kubusu msalaba.
 
Wewe ni shetani. Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo.
 
Unatuhakikishiaje wakati umeongea maneno matupu?

Unaweza kuweka hapa ushahidi wa wazi juu ya hayo ya watoto kuwaweka kisiwani?
Historia ina thibitisha hilo hakuna jamii iliyowahi kutokea ambayo haikuwa na imani yoyote iwe ya kichawi au miungu hayo mambo ni human nature ni sawa na kuwachukua vijana wa kike na wakiume walio balehe ambao hawajui mapenzi ni kitu gani ukawachia walale chumba kimoja alafu utarajie hawatokuja kufanya mapenzi kwa vile hawajafundishwa au kuona mapenzi yanafanyajwe.
 
Kiranga Ni Genius hawezi kuwa Catholic aanze kuabudu misanamu na kuvaa misalaba.
Binafsi nimekuzwa na Catholic ila nachukia uongo walio ueneza duniani, jitu zima linapigia goti msalaba na kubusu msalaba.
Hivi huwa kuna mahusiano gani kati ya mtu asiyeamini Mungu na dhana ya kuonekana kuwa na akili sana?
 
Just imagine inawezekanaje mtu mwenye akili kwenda kukanyaga mafuta ya upako, mtu mwenye akili kunena sandandalalababbbbbbbbbb!!!

Mtu mwenye akili kuinamia misanamu, mtu mwenye akili kwenda kutoa siri zake eti anatubu na kumwambia binadamu mwenzake eti asamehewe dhambi zake,.

Wengi wenye akili wameshindwa ku a doubt huu mfumo kwasababu unatakiwa uwe mjinga sana ndio uwe kwenye hizi dini za ajabu.
Kiranga yupo sahihi
 
Historia ina thibitisha hilo hakuna jamii iliyowahi kutokea ambayo haikuwa na imani yoyote iwe ya kichawi au miungu hayo mambo ni human nature ni sawa na kuwachukua vijana wa kike na wakiume walio balehe ambao hawajui mapenzi ni kitu gani ukawachia walale chumba kimoja alafu utarajie hawatokuja kufanya mapenzi kwa vile hawajafundishwa au kuona mapenzi yanafanyajwe.
Jamii kuwa na mtazamo huo haimaanishi kuwa huo ndiyo uhalisia.

Mpaka leo hii watoto wa jamii zote wanaozaliwa kabla ya kuanza shule ama kupata ufahamu wa kisayansi huwa wanafahamu Jua (SUN) ndilo huzunguka dunia na dunia iko stationary.

Pia, watoto wa jamii hizi zote ukiwauliza kama dunia ni bapa ama duara bila shaka jibu lao litakuwa ni bapa kama sahani.

Lakini pamoja na watoto wa jamii hizi kuwa na mtazamo huo haimaanishi kwamba JUA ndilo huzunguka dunia na dunia ni bapa na iko stationary,

Sijui unayaelewa haya!?
 
Back
Top Bottom