Tempus Fugit
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 850
- 2,212
Thibitisha basi wewe kuwa huyo Mungu hayupo.ushahidi upi Sasa, thibitisha. Kuishia tu kusema "ukifikiria sana" hapana usifikirie sana thibitisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thibitisha basi wewe kuwa huyo Mungu hayupo.ushahidi upi Sasa, thibitisha. Kuishia tu kusema "ukifikiria sana" hapana usifikirie sana thibitisha.
kutothibitisha kwangu kutafanya wewe uthibitishe ?Thibitisha basi wewe kuwa huyo Mungu hayupo.
Wewe unayesema kuwa Mungu hayupo pia una wajibu wa kuthibitisha...kwa nini unasema hayupo? Una ushahidi gani kuwa hayupo?kutothibitisha kwangu kutafanya wewe uthibitishe ?
nathibitishaje kisichokwepo, Imani Ni kuamini uwepo wa ktu bila uthibitisho, si ndio? Unakubaliana na mimi hapa!?Wewe unayesema kuwa Mungu hayupo pia una wajibu wa kuthibitisha...kwa nini unasema hayupo? Una ushahidi gani kuwa hayupo?
Uthibitisho nilioutoa wewe umeona ni vitu vya kufikirika tu na havithibitishi uwepo wa Mungu.
Sawa,kama kila kitu lazima kiwe na dizaina tuambie sasa na dizaina wa Mungu ni nani?Hakuna atheist yoyote anayeweza kukupa majibu ya chanzo sahihi cha uhai na viumbe visivyo hai. Wanarukaruka ila mwishowe hawana answers. Kazi yao kubwa ni kukana uwepo wa Mungu.
How did we get in this planet? Why are we here?
Ukiangalia dunia na vyote vilivyomo utagundua kuwa kila kitu kiko carefully planned...na viliandaliwa ili ku support life. Kwa nini uhai uwepo hapa tu na si sayari kama Mars au jupiter?
Ili viumbe viendelee kuishi vinahitaji nishati itokayo kwenye vyakula...na vyakula vipo. Maana yake whoever aliyekusudia kutengeneza vyakula ndiye aliyetu design pia ili tuvitumie.
Wajiulize tena kwa nini tunakunywa maji? Je imagine tungekuwa tunahisi kiu na maji hayapo duniani..ingekuwaje? Nani aliye tu design tutumie maji? Is it by mere chance au we were designed by a super intelligent being?
Ukikaa chini na kutafakari kwa kina upo ushahidi wa uwepo wa Mungu all around us. Mungu yupo.
Utathibitishaje kitu ambacho hakipo?Thibitisha basi wewe kuwa huyo Mungu hayupo.
Umejuaje kama hakipo?Utathibitishaje kitu ambacho hakipo?
Hivi tukiwa kwenye giza totoro ukaniambia kivuli changu hakipo, na mimi nikakwambia uthibitishe kutokuwepo kwake, utathibitishaje?
kwa sabab hakipo, thibitisha kwamba kipo sasaUmejuaje kama hakipo?
Kwa kuwa taarifa za uwepo wake zimejaa contradictions na hivyo kufanya kusiwezekana kuwepo,Umejuaje kama hakipo?
kisichopo hakithibitishiki kua hakipo, kwasababu hakipo kuthibitishika kua hakipo, ila uthibitisho wa uwepo ni lazima uwepo, na unapokosekana maana yake huo uwepo umekosa sifa ya kuwepo hivyo haupo!,Thibitisha basi wewe kuwa huyo Mungu hayupo.
Kabisa Mkuu, uwezo wako wa akili upo vizuri. Huo ulioongea ndio ukweli wenyewe.Hakuna atheist yoyote anayeweza kukupa majibu ya chanzo sahihi cha uhai na viumbe visivyo hai. Wanarukaruka ila mwishowe hawana answers. Kazi yao kubwa ni kukana uwepo wa Mungu.
How did we get in this planet? Why are we here?
Ukiangalia dunia na vyote vilivyomo utagundua kuwa kila kitu kiko carefully planned...na viliandaliwa ili ku support life. Kwa nini uhai uwepo hapa tu na si sayari kama Mars au jupiter?
Ili viumbe viendelee kuishi vinahitaji nishati itokayo kwenye vyakula...na vyakula vipo. Maana yake whoever aliyekusudia kutengeneza vyakula ndiye aliyetu design pia ili tuvitumie.
Wajiulize tena kwa nini tunakunywa maji? Je imagine tungekuwa tunahisi kiu na maji hayapo duniani..ingekuwaje? Nani aliye tu design tutumie maji? Is it by mere chance au we were designed by a super intelligent being?
Ukikaa chini na kutafakari kwa kina upo ushahidi wa uwepo wa Mungu all around us. Mungu yupo.
Kwani wewe unafanyaje? ninachouliza haujibu unauliza swali ili iweje pia?Mi nakuuliza swali halafu kabla hujajibu umeuliza swali na wewe ili iweje?
Hata wewe pia haujajibu nilichouliza mkuuHujajibu nilichokuuliza,unalielewa hilo?
Kama havikutokea, kwani havipo mkuu? Tafadhali sana mimi nataka kujua source ya hivyo vitu naomba usinichenge nijuze tu. Kama majibu unayajua nijuze kama hujui nijuze pia. Usijaribu kulikwepa hilo swali kwa namna yoyote maana hutoweza kulikwepa.Aliyekwambia vimetokea tokea nani? Kwa nini usimuulize huyo iwapo alikwambia vimetokea tokea?
Nilichokuuliza umekijibu?Kama havikutokea, kwani havipo mkuu? Tafadhali sana mimi nataka kujua source ya hivyo vitu naomba usinichenge nijuze tu. Kama majibu unayajua nijuze kama hujui nijuze pia. Usijaribu kulikwepa hilo swali kwa namna yoyote maana hutoweza kulikwepa.
Basi tuendelee hivyohivyo.Hata wewe pia haujajibu nilichouliza mkuu
Nimeshakwambia hicho unachokiita swali hakijafikia kiwango cha kuwa swali sababu kina makosa, wewe hutaki kuelewa halafu unatakaje?Kwani wewe unafanyaje? ninachouliza haujibu unauliza swali ili iweje pia?
Huyu kapitia mambo magumu sana ukimsoma,,Mali na watoto + Elimu yake aliyonayo yakidunia haitamsadia chochote. Ataondoka atayaacha yote hayo, so Acha aendelee na kaubishi kake na kujiona yuko sawa, Very sad.