Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

kutothibitisha kwangu kutafanya wewe uthibitishe ?
Wewe unayesema kuwa Mungu hayupo pia una wajibu wa kuthibitisha...kwa nini unasema hayupo? Una ushahidi gani kuwa hayupo?

Uthibitisho nilioutoa wewe umeona ni vitu vya kufikirika tu na havithibitishi uwepo wa Mungu.
 
nathibitishaje kisichokwepo, Imani Ni kuamini uwepo wa ktu bila uthibitisho, si ndio? Unakubaliana na mimi hapa!?
 
Hakuna atheist yoyote anayeweza kukupa majibu ya chanzo sahihi cha uhai na viumbe visivyo hai. Wanarukaruka ila mwishowe hawana answers. Kazi yao kubwa ni kukana uwepo wa Mungu.

How did we get in this planet? Why are we here?

Ukiangalia dunia na vyote vilivyomo utagundua kuwa kila kitu kiko carefully planned...na viliandaliwa ili ku support life. Kwa nini uhai uwepo hapa tu na si sayari kama Mars au jupiter?

Ili viumbe viendelee kuishi vinahitaji nishati itokayo kwenye vyakula...na vyakula vipo. Maana yake whoever aliyekusudia kutengeneza vyakula ndiye aliyetu design pia ili tuvitumie.

Wajiulize tena kwa nini tunakunywa maji? Je imagine tungekuwa tunahisi kiu na maji hayapo duniani..ingekuwaje? Nani aliye tu design tutumie maji? Is it by mere chance au we were designed by a super intelligent being?

Ukikaa chini na kutafakari kwa kina upo ushahidi wa uwepo wa Mungu all around us. Mungu yupo.
Sawa,kama kila kitu lazima kiwe na dizaina tuambie sasa na dizaina wa Mungu ni nani?
Sitaki majibu ya kwamba yeye hana dizaina,maana kama Mungu hana dizaina basi hata dunia pamoja na vilivyomo si lazima vyote viwe na dizaina,sijui unayaelewa haya?
 
Hakuna atheist yoyote anayeweza kukupa majibu ya chanzo sahihi cha uhai na viumbe visivyo hai. Wanarukaruka ila mwishowe hawana answers. Kazi yao kubwa ni kukana uwepo wa Mungu.

How did we get in this planet? Why are we here?

Ukiangalia dunia na vyote vilivyomo utagundua kuwa kila kitu kiko carefully planned...na viliandaliwa ili ku support life. Kwa nini uhai uwepo hapa tu na si sayari kama Mars au jupiter?

Ili viumbe viendelee kuishi vinahitaji nishati itokayo kwenye vyakula...na vyakula vipo. Maana yake whoever aliyekusudia kutengeneza vyakula ndiye aliyetu design pia ili tuvitumie.

Wajiulize tena kwa nini tunakunywa maji? Je imagine tungekuwa tunahisi kiu na maji hayapo duniani..ingekuwaje? Nani aliye tu design tutumie maji? Is it by mere chance au we were designed by a super intelligent being?

Ukikaa chini na kutafakari kwa kina upo ushahidi wa uwepo wa Mungu all around us. Mungu yupo.
Kabisa Mkuu, uwezo wako wa akili upo vizuri. Huo ulioongea ndio ukweli wenyewe.
 
Aliyekwambia vimetokea tokea nani? Kwa nini usimuulize huyo iwapo alikwambia vimetokea tokea?
Kama havikutokea, kwani havipo mkuu? Tafadhali sana mimi nataka kujua source ya hivyo vitu naomba usinichenge nijuze tu. Kama majibu unayajua nijuze kama hujui nijuze pia. Usijaribu kulikwepa hilo swali kwa namna yoyote maana hutoweza kulikwepa.
 
Nilichokuuliza umekijibu?

Na unapoulizwa swalj lenye makosa unaweza kulijibu?
 
Kwani wewe unafanyaje? ninachouliza haujibu unauliza swali ili iweje pia?
Nimeshakwambia hicho unachokiita swali hakijafikia kiwango cha kuwa swali sababu kina makosa, wewe hutaki kuelewa halafu unatakaje?

Kama kila unachoona unadhani kinafaa kuitwa swali hata kama kina makosa wewe nikikulazimisha unitajie rangi ya wimbo wa taifa unaweza kuitaja?
 
Inaonekana Kiranga ni mtu mmoja ambaye hakuwa na hatia yoyote, Lakini alipitia mambo Fulani magumu, Wakristo mnayaita majaribu, Kuanzia hiyo siku hadi sasa kapoteza Imani kwa mungu,, Unajua duniani watu wanapitia shida tofauti tofauti, Anyway sio kosa la Kiranga kutokumuamini Mungu Ila ni mazingira aliyopitia
 
Mali na watoto + Elimu yake aliyonayo yakidunia haitamsadia chochote. Ataondoka atayaacha yote hayo, so Acha aendelee na kaubishi kake na kujiona yuko sawa, Very sad.
Huyu kapitia mambo magumu sana ukimsoma,,
 
Back
Top Bottom