Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Akili ni nini?

Nikishindwa kuthibitisha ninayo akili, hilo linathibitisha vipi Mungu yupo?
Kiongozi usibishane na watu ambao wamesoma shule za kata Tanzania

They know nothing about reasoning and logic

Wanashindwa kuchangia hoja za mjadala wao wanaongelea imani

Story za imani ni za mtu binafsi wala hakuna anayejua
 
Jibu swali Una akili au huna ?
 
Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.

Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters

My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr
Huyo itakuwa mapadri na makasisi walimfanyia ule mchezo maarufu wa kanisani.
 
Kiongozi usibishane na watu ambao wamesoma shule za kata Tanzania

They know nothing about reasoning and logic

Wanashindwa kuchangia hoja za mjadala wao wanaongelea imani

Story za imani ni za mtu binafsi wala hakuna anayejua
Naam.

Nakuelewa mkuu.

Mtu anauliza logical non sequitur, halafu hata hajui logical non sequitur ni nini.

Kujadiliana naye ni kushusha chini viwango vya mjadala.

Naomba kujiondoa hapa nisiendelee kujadiliana na watu ambao hawajafikia viwango vya kufanya nao mjadala.

Amateur hour is over.
 
Huyo itakuwa mapadri na makasisi walimfanyia ule mchezo maarufu wa kanisani.
Ahaaa wazee wa Mecca naona mnajitokeza sasa

Mtume alijua kusoma au kuandika?

Abu Bakr, Abu Bakr

Abu Bakr huyu ndie aliyeunganisha story za quran
 
A lost soul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…