Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

  • maandiko matakatifu (scriptures) yanasimlia kuwepo kwake na uumbaji wake na jamii yeyote ya watu inaamini (trust/certainty) kuwepo kwa Mungu ambaye anatajwa kwa majina mbalimbali - Mungu, Allah, Dieu, God, Namalenga, Nyamuanga, Lesa, Ngai, Mulungu etc. Hakuna 'traditional society' duniani ambayo haimini kuwepo kwa Mungu, ambaye kwa nyakati tofauti tofauti amehubiriwa na mababu na manabii mbalimbali (Musa, Ibrahimu, Isaya, Yesu, Mohamed etc) na watu mbalimbali wameshuhudia matendo makuu ya Mungu katika maisha yao tangu enzi na enzi na hadi leo. Haiwezekani wote hawa waseme uwongo as if walisemezana kabla simply kwa sababu sayansi haiwezi kuthibitisha walichoamini au wanachoamini na kukiishi.
Holy texts ndio uthibitisho?

Hoja hii au uthibitisho wa namna hiyo haukubaliki na watu wenye fikra huru na wala sio hoja ya kibusara kusimama kama uthibitisho

Hoja hii huanza kwa ku assume kwa kile ambacho inajaribu kukithibitisha, hii ni moja ya hoja dhaifu zilizowahi kutolewa katika kuthibitisha Mungu yupo.

Madai yenu ni kua Mungu lazima aweko kwa sababu maandiko yanasema hivyo. (Bibilia, Korani, Vedas, Avestas, n.k.)

2. Maandiko ni ya kweli kwa sababu yaliandikwa na Mungu au na watu walioongozwa kwa msaada wa mungu

3. Nani aliongoza watu hawa? (Mungu alifanya)

Swali

Kwa hivyo ni andiko lipi takatifu lililo takatifu zaidi au takatifu zaidi au la kweli zaidi: Biblia, Agano Jipya, Korani, Vedas, Avestas ????

Ni matoleo gani ya maandiko haya matakatifu yanayopaswa kuchukuliwa kama RASMI na matoleo ya kweli?

Katika tamaduni zote tatu za Magharibi: Uyahudi, Ukristo na Uislamu, kuna rekodi zinazoonyesha kwamba kulikuwa na tofauti juu ya maandishi hayo matakatifu Katika tamaduni zote tatu

Je wakati ukifika wakati jamii ikihitaji kuamua toleo rasmi itakuwa nini?
 
).
  • Kutokana na imani hii kwa Mungu kama response kwake waumini wa dini mbalimbali wanaonyesha moyo wa upendo utokao kwa Mungu na wanauishi upendo huo katika maisha yao ya kila siku kwa kuwasaidia wengine hasa wenye shida mbalimbali za maisha na mara nyingi wanafanya hivyo kwa aijili ya Mungu kwa sababu ndiye anayewaongoza kuishi maisha hayo ya mfano. Sayansi haiwezi kum’inspire’ mtu aishi maisha ya mfano kwa wengine.
Inafaa kunukuu aya za maandiko kama msingi unaojaribu kuthibitisha. Haifai kuinukuu kama ushahidi wa madai (kwa sababu ni madai).

Unaweza kuthibitisha hayo maandishi yamesema ukweli?
 
Iwe wamethibitisha au hawajathibitisha,, it doesn't affect the fact kwamba methodolojia ya sayansi haiwezi kuProve kuwa Mungu yupo au hayupo...
Unajuaje kwamba sayansi haiwezi kuthibitisha mungu yupo au hayupo kwasababu ya udhaifu wa njia zake na sio kwamba haiwezi kwasababu mungu hayupo kihalisia??
Hzo ni claims zako ww ,,, Mungu anaongelewa duniani kote!!
Hata wewe hizi ni claims na ndio maana huwezi kuzithibitisha kua fact ambazo ni verifiable

Thibitisha mungu yupo?
Vp kama vimethibitishwa kuwa vipo kwenye sources zingine apart from science ?
Vimethibitishwaje? Na unathibitisha vipi kua source hiyo ni ya kweli yakuaminika na sio uzushi tu?

Kupitia Ngano za dini mnaziita holy texts?

Kwasababu Muumba huyo ameweza kuthibitishwa katika sources nyingine..
Thibitisha
 
Kwanini usikubalike na watu wenye fikra huru ?
Nimeelezea kwa upana humo makinika vizuri jibu lipo hapo hapo usiniambie hujaliona nitakupuuza tena

Kwani maandiko yameandikwa na nani ?
Hili nilikujibu kupitia link ya muumini mwezako anaitwa mokaze ambaye alifafanua zaidi. Sitegemei kuliona swali hili tena likijirudia hapa maana ndio sababu ambayo nikakupuuza
Ebu tuambie ww hawa watu waliongozwa na nani ?
Watu gani?

Hilo swali kwangu lina apply vipi?

Hayo ni madai ya vitabu vyenu, namimi sitaki madai nataka uthibitisho.

Wewe ulivyosoma hayo madai ulithibitishaje kua watu hao wanaodaiwa kuandika hivyo vitabu waliongozwa na mungu na sio uzushi tu?
 
Kwasababu anathibitishwa yupo kwenye sources zingine
Huo uthibitisho kutoka hizo source unaupimaje?

Unahakika gani na hizo sources kua zimethibitisha kitu cha kweli?

Na hizo source zimetumia njia gani kujua mungu yupo?
Unajuaje siwezi kuthibitisha.?
Kwasababu umeshindwa kifanya hivyo na sio mara moja. Kama unabisha thibitisha hilo leo hapa
Thibitisha ww kwanza kwamba hayupo
Tayari.

Umeukubali uthibitisho niliokupa?
Kwani vitu huwa vinathibitishwaje ?
Ulijuaje kua vimethibitishwa ikiwa hujui vitu vilivyothibitishwa vinathibitishwaje?
Unajuaje kama ni uzushi tu na sio source ya kuaminika ?
Circular reasoning

Wapi zimeitwa holy texts ?
Zinakotumiwa
 
Unajuaje kwamba yale maelezo ulotoa ni ya kweli na sio kwamba fikra zako zinakupotosha ?
Kwanza unanihakikishiaje kua yale maelezo umeyasoma ukayaelewa ili nijue kua umefikia qualification za kiwango cha kuona yamepotosha??
kwani huwezi kuweka hayo maelezo hapa kwa faida ya wote ?
Unaweza kuthibitisha sijaweka?
Usinitishe mkuu,, Hii ni JF... Here is where we dare to talk openly...
Sikutishi nakuelezea namna ulivyo. Unatatizo la macho huoni hoja
Kwani wewe ulikuwa unaongelea watu gani ?
Ndio nilikua naongelea watu gani
Kwanini lisiApply kwako wakati umetaja "watu" ?
Pointless

Kwani madai hayawezi kuwa uthibitisho ?
Yes hayawezi, unaweza kuniambia kwanini madai yawe uthibitisho?

Uthibitisho ni nini?


Wewe umejuaje kuwa ni uzushi na sio kwamba watu hao waliongozwa na Mungu ?
Kwasababu hayupo
 
Kwani uthibitisho huwa unapimwaje ?
Kama nilivyoeleza kwenye post ambayo haionekani
We una hakika kuwa hizo hazijathibitisha ukweli ?
Uhakika ni nini?
Kwani njia gani zinatumika kujua Mungu yupo ?
Mungu ni nini?
Wapi hapo ambapo nilishindwa kuthibitisha ?
Humu humu
Huo ndo unaita uthibitisho ?
Uthibitisho gani?
Wapi nimesema sijui vilivyothibitishwa vinathibitishwaje ?
Kwani mimi najadiliana na wewe ukiwa wapi?
The same applies to you

Wapi huko ?
Zinakotumiwa
 
Hakuna mtu anayezaliwa akiwa atheist, elimu dunia iliyopitiliza ndo chanzo cha maatheist wote ulimwenguni.
Mimi sina elimu yoyote na siamini habari za mungu. Nimezaliwa kwenye familia ya kikristo na nimekulia huko. Nimesali na kubatizwa kwa maji mengi
 
Umejuaje kuwa ni hadithi za watu wa kale mkuu ?
Nataka nikupe historia yangu kwa ufupi.

Nimezaliwa mkoa wa Mbeya. Huko asilimia kubwa ni wakristo kiimani.
Hiyo ndiyo iliyokua sababu ya mimi kuwa mkristo. Nilikua sijui kama kuna dini nyingine ukizingatia na masuala ya teknolojia miaka hiyo.

Nilipotoka sasa kwenda kukutana na jamii nyingine, nikakutana na aina nyingine ya dini. Nao wanaabudu wakiwa seious. Ikabidi nianze kufuatilia aina hii mpya ya dini ambayo sijawahi isikia.

Nikakuta wanaabudu Mungu. Ila namna wanavyoabudu ni tofauti na nilivyozoea.
Siku, muda, jinsi wanavyo mwendea Mungu ni tofauti na mimi nilikokulia.

Ikabidi nianze kuhoji akilini mwangu. Kwanini sisi sote ni wanadamu alafu tunaabudu kwa njia tofauti? Nikiangalia kwenye mafundisho ni kwamba, ukimwendea Mungu pasipo kupitia kwa Yesu, basi hautauona ufalme wa mbinguni. Na hata Mungu hawezi kukusikiliza. Lakini hii dini mpya wanaabudu kupitia mtu wao na wanaishi kama sisi.??????

Ikabidi niingie kiundani kutaka kujua wanaishije kwenye jamii yao. Nikakuta wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja, wanaruhusiwaa kuachana...

Hapa nikaanza kupata mashaka
 
Baada ya kuanza kupata mashaka ikabidi sasa nianze kufanya uchunguzi wangu juu ya huyu Mungu.
Nikataka kujua historia ya yeye kuwepo mpaka sisi kujua kuwa yupo.

Nikagundua kuwa ni mawazo ya watu waliokua na lengo maalumu.
Lengo la hao watu lilikua ni sawa na lengo la mtu aliyetengeneza herufi na aliyetengeneza namba na kuamua kutufundisha kwa lengo maalumu.

Nikagundua kwamba, lengo la aliyeanzisha habari za Mungu ni sawa sawa na aliyetengeneza mipaka na kuwagawa watu mpaka leo hii tunatumia nguvu nyingi kujiita sisi watanzania pasipo kujua kuwa utanzania wetu umetokana na watu kugawa mipaka.......


Ni fact ambazo huwezi kuzielewa kwa juu juu mpaka uingie mwenyewe kichwani mwako
 
Naam mkuu,, bila shaka nitaelewa
Utapata shida kunielewa kwakua mimi sio mwandishi mzuri ili ukisoma kwa makini utajua sababu na sababu nzito. Mimi sijapitia vitabu vya watu wenye strong fact ila nimezitengeneza mwenyewe kwa kuhoji.

Naweza nikakuuliza swali ambalo nataka unijibu..

Hivi uwepo wa shetani kwenye ufalme wa Mungu ni mpango wa Mungu mwenyewe au ni kufeli kwa Mungu?
 
Kwanini usingefanya uchunguzi wa dini, huenda dini mojawapo ikawa sio ya kweli ?

Uko sahihi kbs

Watu gani hao ?
Lengo maalumu lao ni lipi ?

Sio kwamba ww ulifanya uchunguzi kupitia vyanzo visivyo vya kweli ndo ikapelekea hilo hitimisho lako ?

Ok
Hivi unafahamu kuwa huwezi kuamini wala kujua habari za uwepo wa Mungu pasipo kufundishwa?
 
Back
Top Bottom