Nilikujibu hivi
Nimekuambia kutokua na majibu sahihi ya swali haimaanishi jibu lisilo sahihi nikipewa siwezi kulijua
Sio mungu tu ambaye nasema hayupo, kuna unicorns, Flying Spaghetti, spiderman, batman, harrypoter, teapot orbiting the sun nk. Swali lolote nitakaloshindwa kujibu kuhusiana na hao niliowataja, je itathibitisha viumbe hao wapo?
Wewe unakubali kua nicorns, Flying Spaghetti, spiderman, batman, harrypoter, teapot orbiting the sun wapo/vipo kihalisia? unaweza kuthibitisha wapo/vipo?
Bila shaka najua utapinga kua hukazaliwa jana
Lakini unathibitisha vipi kua alien mwenye super intelligent hakukuzaa jana katika umbile hilo hilo ulilonalo kisha kaku edit ubongo uwe unakumbuka kumbukizi za nyuma zinazokuonesha ulikuwepo kabla ya hiyo jana?
Kama unaweza ku disprove hayo madai (kitu ambacho najua huwezi) basi hautakiwi kupinga kua haukuzaliwa jana. Kushindwa kwako kutathibitisha kua wewe ulizaliwa jana