Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kama ameweka machaguo,kwanini Sasa aweke adhabu? Wakati ametaka watu wachague wanachokitaka?
You can choose what to do but you can't choose what happens after.You can choose to put your hand on the fire or not to but you can't choose not to burn.Kitu kizuri ni kuwa Mungu alisema what will happen if you choose to eat from that tree.He didn't suprise them with punishment they knew first hand what they were getting into. Machaguo yana maana gani kama hakuna consequences za machaguo hayo?
 
Una uhakika gani Kama alisema hivo?
 
Lengo la Mungu kuweka mti wa mabaya as well lilikuwa ni kumruhusu mwanadamu ku-exercise freewill,Mungu anataka kuabudiwa,kupendwa kusifiwa lakini iwe ni choice.Mungu hakutaka binadamu awe Robot na sifa kubwa zaidi ya Binadamu ni kuwa na free will.Sasa kama pasingekuwa na choice tungesemaje tunampenda Mungu?Na upendo wake unajidhihirisha pale kati ya option nyingi sana zisizokuwepo mti wa mabaya ulikuwa mmoja tu kati ya mingi ya mema but still binadamu tukayeyusha.
Kama Mungu anawapa free will watu wewe alikupa nafasi ya kuchagua uzaliwe lini,wapi,jinsia gani na wazazi wa aina ipi ya maisha?
Na kama ana huo uchaguzi kwa nini awaandalie Moto wale wote wanaotumia hiari hiyo kuchagua kutofuata usanii wake?
Nikikwambia hizi ulizoziandika ni hekaya za kufikirika tu na wala hazina uhalisia utakataa?

Bado hujajibu swali la kwa nini Mungu aweke chaguo baya pia wakati uwezo wa kuweka machaguo yote mema alikuwa nao,

Sababu unaweza muwekea mwanao machaguo yote mema kama vile mkate na vitumbua akachagua na ukajua free will yake kuliko kumuwekea mkate na sumu kali ya kumuua!.
 
So your point ni kwamba huelewi kwanini Mungu kaweka adhabu au hutaki kukubali kuwa Mungu yupo?
 
Mkuu Emmanuel J. Buyamba

Ukiweza kunipa majibu ya swali la formation ya vitu kwenye post #584, nililomuuliza Kiranga na Atheist wengine ambao wameshindwa kutoa majibu mpaka muda huu, Basi utanishawishi kujadiliana na wewe vinginevyo utaishia kunikashifu na kukimbia majadiliano kama Kiranga na Atheist wengine.
 
Ahsante sana mkuu kwa kutunza kumbukumbu.

Nilipata miito miwili kwa wakati mmoja, kuchagua kuwa Buddhist Monk milima ya Himalaya, au kwenda Wall St. kupiga dola.

Hapo nilikuwa natafsiri "The Dhammapada" na rafiki yangu Andy Nyerere kwenda Kiswahili.

Nikamuachia mikoba Andy mimi nikakwea pipa.

Mpaka leo sijui kama Andy alimaliza ile kazi, maana nilipotezea mawasiliano na Africa kwa muda fulani.

Kwa waliopenda kujua kwa nini niliamua kuacha kuamini uwepo wa Mungu, nitaweka kitabu kilichonishawishi mara ya mwisho kabisa, kinaitwa "The Philosophy of Religion: An Anthology".

Hususan kuna sehemu wanaongelea "the problem of evil".

Ni kitabu kizuri sana kina arguments nzuri na nyingi za kutetea uwepo wa Mungu na kupinga uwepo wa Mungu, ni falsafa pana sana.
Andy Nyerere alikamilisha hiyo kazi mkuu na kitabu ninacho.
 
Andy Nyerere alikamilisha hiyo kazi mkuu na kitabu ninacho.
Daah, for real?

Nimefurahi sana kusikia hilo.

Na mimi nakitafuta sana hicho kitabu.

Andrew nafikiri yupo Butiama sana siku hizi.

If there is one thing I will remember Andrew for, it will be this book.
 
Usijifunge katika dini, Mungu hakuumba dini aliumba binadamu watawale vitu vyote alivyoviumba duniani na wamwabudu yeye Mungu.

Binadamu wakaasi, wakatawanyika kwa namna tofauti na kufuata upotevu wao
Hayo maelekezo kwamba Aliumba binadamu wewe umeyatoa wapi? Mungu mwenyewe aliweka wapi hayo maelekezo ili nianze kuyafuatilia? Anampa maelekezo kila anayezaliwa? au kuna mahali ameweka maelekezo ili watu wayafuate? je huko alikoweka maelekezo ni wapi? Utakuwa umesaidia sana ili nasi sote tumuelewe.
 
Nipe maelekezo kwamba Mungu hakuumba binadamu, na kama unayo hayo maelekezo unipe maelezo binadamu alitokeaje (Formation of human being). Uniambie pia umeyatoa wapi hayo maelekezo?

Ndipo nami nitakupa hayo maelekezo unayoyataka.
 
Mara nyingi nimekuwa nikiwaza huyu member hapa JF atakuwa alikutana na incident iliyomfanya akamchukia Mungu.

Hapa anaeleza namna alivyokuwa anasali na Nyerere pale St Peters

My take, huyu anahitaji kuombewa ili amrudie muumba wake.
Mshana Jr

Hivi unajua leo , sisi tulimstukia kitambo sana kuwa ana cheo kule kanisani
 
Mkuu Emmanuel J. Buyamba

Ukiweza kunipa majibu ya swali la formation ya vitu kwenye post #584, nililomuuliza Kiranga na Atheist wengine ambao wameshindwa kutoa majibu mpaka muda huu, Basi utanishawishi kujadiliana na wewe vinginevyo utaishia kunikashifu na kukimbia majadiliano kama Kiranga na Atheist wengine.
Nipe uhakika kwanza kuwa vina formation.

Mbona unalazimisha nikueleze namna Nyerere alivyopeleka mlima Kilimanjaro Moshi bila kwanza kunihakikishia kuwa ni Nyerere kweli ndiye aliupeleka Moshi?

Una uhakika upi kwamba vina mtengenezaji ili nikutafutie jibu la huyo mtengenezaji?
 
Unaandika ujinga mpaka najiuliza inakuwake unajadili jambo hili na mimi.

Unaamini uwepo wa watu hawa :
1. Isaac Newton ?
2. Galileo Galilei ?
3. Albert Einstein ?
4. George Washington ?

Uliwahi kuwashuhudia ? Kwahiyo habari zao nao ni Hadithi ?

Unaamini vipi habari za watu ambao hukuwahi kuwashuhudia ?

Hili huwezi kulithibitisha sababu hukijui hicho unachokijadili.

Kwahiyo umejuaje kama vizazi vijavyo hawata yaona ? Je kutokuuaona kwao ndiyo uthibitisho kwamba ni hadithi ?

Hii mada imekuzidi uwezo.
Kwahiyo wewe unaamini Mungu yupo kwakua hajawahi kuonekana?
 
Unaandika ujinga mpaka najiuliza inakuwake unajadili jambo hili na mimi.

Unaamini uwepo wa watu hawa :
1. Isaac Newton ?
2. Galileo Galilei ?
3. Albert Einstein ?
4. George Washington ?

Uliwahi kuwashuhudia ? Kwahiyo habari zao nao ni Hadithi ?

Unaamini vipi habari za watu ambao hukuwahi kuwashuhudia ?

Hili huwezi kulithibitisha sababu hukijui hicho unachokijadili.

Kwahiyo umejuaje kama vizazi vijavyo hawata yaona ? Je kutokuuaona kwao ndiyo uthibitisho kwamba ni hadithi ?

Hii mada imekuzidi uwezo.
Wewe unaamini Hawa watu walishawahi kuwepo duniani?
 
Nipe uhakika kwanza kuwa vina formation.

Mbona unalazimisha nikueleze namna Nyerere alivyopeleka mlima Kilimanjaro Moshi bila kwanza kunihakikishia kuwa ni Nyerere kweli ndiye aliupeleka Moshi?

Una uhakika upi kwamba vina mtengenezaji ili nikutafutie jibu la huyo mtengenezaji?
Chochote kilichopo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter) lazima kiwe kimeundwa na muundaji.

Hivyo ninakuuliza vitu vilivyo katika ulimwengu ulio limited to time, space and matter na vipo katika ulimwengu huu tunaoishi viumbe hai ulimwengu unaoonekana kwa macho, hivyo ni lazima viwe na formation na ni lazima viwe vimeundwa na muundaji.

Wewe Emmanuel J. Buyamba upo katika ulimwengu unaoonekana kwa macho (limited to time, space and matter)

Wewe Emmanuel ni Matter (una formation/ingredients zinazokufanya uwe kamili) una muda ulioundwa (time) pia upo katika sehemu/nafasi (space) ambayo ni hii dunia. UNA MUUNDAJI AMBAE ALIEKUUNDA. Maana wewe ni matter na huwezi kuwa matter bila kuundwa na muundaji.

NB: Nasubiri majibu ya swali nililokuuliza.
 
Back
Top Bottom