Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Irrelevant, mi ndo nimekuuliza unaweza ku verify imani

Na haya maswali hujayajibu

Kulingana na hoja yako ni kwamba kila kilichopo lazima kiwe na chanzo, na wewe umedai mungu yupo. Chanzo cha mungu ni nini?

Au tuseme hujui chanzi cha mungu ni jini ila unajua haiwezekani akawepo bila chanzo?
Nimeeleza kuhusu imani kwamba hatutumii uthibitisho kukubali jambo la imani ila naona hukubalini nami katika hilo ndio maana nimekuomba unitajie kitu kimoja tu ambacho unakiamini baada ya kupata uthibitisho.
 
Mbona wewe unafanya mjadala na mimi ambaye siamini mungu wako na bado umekua ukinuliza maana ya mungu, hukuona busara kukaa kimya wakati unajua sikubali kua mungu yupo?

Kama mimi kutokuamini mungu hakukuzuia wewe kuniuliza maswali yanayohusu mungu, iweje unizuie mimi kuuliza maswali yahusuyo chanzo ambapo umedai kua kila kichopo kina chanzo?

Nakuuliza wewe ambaye unakubali kila kitu kina chanzo ili namimi nipate knowledge niweze kujua

Narudia tena

Je Mungu hana chanzo au anacho?

Kama jibu litasema "sijui" maana yake utakua hujui hicho chanzo cha mungu ila hautakubali kuwa mungu hana chanzo?
Mjadala unaendelea na sijakukataza bali nimehoji point ya kuuliza hivyo ni ipi? hilo ndio swali langu
 
Nimeeleza kuhusu imani kwamba hatutumii uthibitisho kukubali jambo la imani ila naona hukubalini nami katika hilo ndio maana nimekuomba unitajie kitu kimoja tu ambacho unakiamini baada ya kupata uthibitisho.
Unaelewa kua imani sio hakika?
 
Mjadala unaendelea na sijakukataza bali nimehoji point ya kuuliza hivyo ni ipi? hilo ndio swali langu
nimekujibu nimekwambia point ya kuuliza hilo ni kwasababu nataka kujua

Narudia tena

Je Mungu hana chanzo au anacho?

Kama jibu litasema "sijui" maana yake utakua hujui hicho chanzo cha mungu ila hautakubali kuwa mungu hana chanzo?
 
Kama umeelewa nilichosema, kuwepo kwa Mungu hakutegemei mtu athibitishe, asithibitishe au ashindwe kuthibitisha. Ni kama wewe uthibitishe au usithibitishe au ushindwe kuthibitisha kuwa kwa sababu ya kuwa mbali sana kuna nyota ambazo mwanga wake bado unasafiri haujaifikia dunia. Yaani, uthibitishe au usithibitishe kama hizo nyota zipo na mwanga wake bado unasafiri utafika tu siku moja.
Hujajibu swali langu nililouliza, na swali ulilojibu sijauliza.

Nikikukublia yote uliyoandika 100%.

Halafu nikakuuliza swali langu.

Kwamba.

Nikikwambia mimi ndiye Mungu mwenyewe, una uwezo wa kuthibitisha au kutothibitisha hilo?

Utajibu vipi?

Tujibizane kwa kutaka kuelewana na kuendeleza mjadala wa kimantiki.
 
Kupitia evolution na njia zingine za ki natural ambazo zinakua facilitated na ulimwengu

Kwa hiyo thropods walivyo evolve ni miujiza?

Well hiyo itakua ni kwa mujibu wa tafsori yako au njia uliyochagua kudefine muujiza katika angle inayokuridhisha
Ziseme hapa hiyo evolution na hizo njia zingine za ki natural, maana kila ninachokuuliza haujibu unakimbia kujibu hoja.

Elezea hapa evolution na hizo njia zingine zimeform vipi hivyo vitu vyote kisayansi. Usijibu kinadharia na kufikirika tu.
 
Umeishia la ngapi?
 
nimekujibu nimekwambia point ya kuuliza hilo ni kwasababu nataka kujua

Narudia tena

Je Mungu hana chanzo au anacho?

Kama jibu litasema "sijui" maana yake utakua hujui hicho chanzo cha mungu ila hautakubali kuwa mungu hana chanzo?

Tatizo unakimbilia issue ya chanzo cha Mungu wakati hoja ya kila kitu kuwa na chanzo bado hatujaelewana, tuelewane hapo kwanza ili tufike huko unapopataka.
 
Huko tushatoka, umeniambia kila kitu kina chanzo na kusema kitu kipo bila chanzo haiingi akilini

Hayo umeyasema wewe

Umeniuliza mimi mtazamo wangu ni upi kwa hoja yako, nimekuambia mimi sijui niko hapa kujifunza na ndio maana nauliza maswali ili niweze kuelewa vyema

Maswali yangu yenyewe ni haya

Je Mungu hana chanzo au anacho?

Kama jibu litasema "sijui" maana yake utakua hujui hicho chanzo cha mungu ila hautakubali kuwa mungu hana chanzo?
 
Huko tushatoka, umeniambia kila kitu kina chanzo na kusema kitu kipo bila chanzo haiingi akilini

Hayo umeyasema wewe

Umeniuliza mimi mtazamo wangu ni upi kwa hoja yako, nimekuambia mimi sijui niko hapa kujifunza na ndio maana nauliza maswali ili niweze kuelewa vyema

Maswali yangu yenyewe ni haya

Je Mungu hana chanzo au anacho?

Kama jibu litasema "sijui" maana yake utakua hujui hicho chanzo cha mungu ila hautakubali kuwa mungu hana chanzo?

Sasa hapo utakuwa umeelewa nini? hebu niambie
 
Nitaelewaje wakati haya maswali unayakimbia

Maswali yangu yenyewe ni haya

Je Mungu hana chanzo au anacho?

Kama jibu litasema "sijui" maana yake utakua hujui hicho chanzo cha mungu ila hautakubali kuwa mungu hana chanzo?
 
Nitaelewaje wakati haya maswali unayakimbia

Maswali yangu yenyewe ni haya

Je Mungu hana chanzo au anacho?

Kama jibu litasema "sijui" maana yake utakua hujui hicho chanzo cha mungu ila hautakubali kuwa mungu hana chanzo?
Unauliza maswali na kujiwekea mwenyewe majibu, ndio maana nakuuliza hapo utakuwa umeelewa nini?
 
Back
Top Bottom