UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Nimeeleza kuhusu imani kwamba hatutumii uthibitisho kukubali jambo la imani ila naona hukubalini nami katika hilo ndio maana nimekuomba unitajie kitu kimoja tu ambacho unakiamini baada ya kupata uthibitisho.Irrelevant, mi ndo nimekuuliza unaweza ku verify imani
Na haya maswali hujayajibu
Kulingana na hoja yako ni kwamba kila kilichopo lazima kiwe na chanzo, na wewe umedai mungu yupo. Chanzo cha mungu ni nini?
Au tuseme hujui chanzi cha mungu ni jini ila unajua haiwezekani akawepo bila chanzo?