Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
hahaaaaaha Bwashee hiyo siku haipo Aisee acheni Hadith za kitoto na mapokeo ya wa Wayunani na Wayahudi wa kale enzi za Giza,yaani ni kama ilivyo magharibi na mashariki kutokutana na hiyo siku haipo labda useme mwisho wa human civilization maana hapa Duniani zimepata tokea spicies mbali mbali na zikatoweka mfano dinosaur hapo ndio nitakuelewa ila porojo za kiama hazina mashiko!Siku ya kiama nawasikitikia sana.