Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Aliyekwambia Nzi anaumbwa badala ya kuzaliwa nani? Mbona unauliza maswali yaleyale yasiyo na maana?

Kuhusu kufa ili nijue,wewe ulishawahi kufa ukajua huo unaouita ukweli?

Acha kuleta hadithi za uongo hapa, thibitisha uwepo wa huyo Mungu wenu.
inaonesha jinsi gani ulivo mbumbumbu
 
Mungu hayupo si kwa sababu hawezi kuthibitishwa tu, bali ana contractions kibao zinazofanya uwezekano wa yeye kuwepo usiwepo.

Kitendo cha wewe kuoa ama kuolewa hakina contradictions yoyote kiasi kwamba hata mtu asipothibitisha bado una uwezekano wa kuwa umeoa/olewa.

Mungu huwezi kumthibitsha kwa kuwa hayupo, kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake.
Kwani kukiwa na contradictions ndiyo msingi wa jambo au kitu kutokuwepo? Mbona watu wanaji'contradict' kila siku na wapo? Na hizo contradictions unazozisema ni kwa mujibu wa nani? Who establishes those contradictions and on what criteria?
 
wewe idea unayo?
Mimi sijadai uthibitisho ila kama ningedai uthibitisho basi ningekuwa na idea ila siwezi tu kudai uthibitisho hali ya kuwa sina hata idea huo uthibitisho unatakiwa ufananaje kutokana na nature ya hicho kitu husika.
 
Kwani kukiwa na contradictions ndiyo msingi wa jambo au kitu kutokuwepo? Mbona watu wanaji'contradict' kila siku na wapo? Na hizo contradictions unazozisema ni kwa mujibu wa nani? Who establishes those contradictions and on what criteria?
Yani hata tukikubali kuwa kuna hizo contradictions kama watakavyo ila bado hilo la kwamba hakuna Mungu kisa hizo contradictions sijui wamepata wapi hilo hitimisho.

Kama ulivyosema watu wanajicontradict ila huwezi kuondoa uwepo wao, wao wanafanya kuwa kuwepo kwa contradiction kwenye jambo fulani ni jibu ni moja tu kuwa hicho kitu hakipo na ndio maana wanalazimisha kuwepo contradiction.
 
Kwani kukiwa na contradictions ndiyo msingi wa jambo au kitu kutokuwepo? Mbona watu wanaji'contradict' kila siku na wapo? Na hizo contradictions unazozisema ni kwa mujibu wa nani? Who establishes those contradictions and on what criteria?
Ukiambiwa kuwa ndani ya uwanja wa taifa pale Mkapa stadium anaishi mtu ambae ana kichwa kikubwa kuzidi ukubwa wa dunia utakubali?

Unaelewa ya kwamba mtu kuwa na kichwa kikubwa kuzidi dunia Ila akawa na uwezo wa kuishi ndani ya uwanja wa taifa ni contradictions?

Kwa akili zako mtu wa hivyo anaweza kuwa kweli yupo ndani ya uwanja huo pale DSM?

Mimi nikisema mtu wa hivyo humo hayupo, sababu kwa ukubwa wake kuizidi dunia halafu eti awe anaishi uwanja wa Mkapa haiwezekani nitakuwa nakosea?
 
Sasa kwnn mnasema Ardhi na Mbingu havijaumbwa wkt simu yko tuu imetengenezwa?
Ufahamu wako ni mdogo sana.

Unaelewa ya kwamba wewe mtu kuzaliwa baada ya mke na mume kujamiiana si hitimisho la kwamba viumbe wote lazima wajamiiane ili kutengeneza mtoto?

Unaelewa wapo viumbe ambao mzazi mmoja tu anapata mtoto bila dume na mfano wake ni Amoeba?

Kwa mfano huo wa mtu kutofautiana anavyopatikana na viumbe kama Amoeba ikupeleke sasa kwenye dhana ya kwamba si kila kilichopo lazima kiwe na mtengenezaji kisa tu eti simu ilitengenezwa na kampuni.

Kiufupi, mpaka sasa hakuna jibu sahihi la kuwa dunia aidha ilianza, iliumbwa, ilikuwepo tu, haina mwanzo ama imetokea mahala fulani.

Kama una uhakika na pia uthibitisho wa kwamba iliumbwa tunaomba huo uhakika!.
 
Ukiambiwa kuwa ndani ya uwanja wa taifa pale Mkapa stadium anaishi mtu ambae ana kichwa kikubwa kuzidi ukubwa wa dunia utakubali?

Unaelewa ya kwamba mtu kuwa na kichwa kikubwa kuzidi dunia Ila akawa na uwezo wa kuishi ndani ya uwanja wa taifa ni contradictions?

Kwa akili zako mtu wa hivyo anaweza kuwa kweli yupo ndani ya uwanja huo pale DSM?

Mimi nikisema mtu wa hivyo humo hayupo, sababu kwa ukubwa wake kuizidi dunia halafu eti awe anaishi uwanja wa Mkapa haiwezekani nitakuwa nakosea?
Unaongelea kitu ambacho hakipo kwa sababu ni jambo la kufikirika tu. Huwezi kulinganisha uwepo wa Mungu na mtu mwenye kichwa kikubwa (wa kufikirika) Mkapa Stadium. Ni tofauti kabisa! Tunapozungumzia Mungu, tunazungumzia origin na tamati yetu (tumetoka wapi na tunaenda wapi, kwa nini na nani kaweka huu utaratibu katika maisha yetu) pamoja na utaratibu ulio katika vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana? Tunazungumzia ulimwengu huu na jinsi ulivyo na umetoka wapi. Tunazungumzia kwa nini jamii zote duniani zina 'idea of God' tangu enzi na enzi, lakini hazijawahi kukutana na kumwongelea Mungu. Tunazungumzia kwa nini jamii zote duniani zina 'idea' ya wrong and right na pia kwa nini katika jamii zote kuua ni vibaya, kuoana ndugu kwa ndugu ni vibaya, kuchukua mke au mume wa ndugu au mtu mwingine ni vibaya, kutowaheshimu wazazi au wakubwa ni vibaya, kuiba, kusema uwongo, kutamani mali ya mtu mwingine ni vibaya etc. Lakini katika jamii zote pia: kupendana, kushirikiana, kuheshimiana, kusaidiana, kuishi pamoja na wengine kwa amani etc ni vizuri. Katika jamii zote - dhamiri ya mtu ndiyo inayomwongoza mtu kutenda au kuacha kutenda jambo fulani - kwa nini? Na haya yote hayawezi kuwekwa na mtu isipokuwa Mungu tu.
 
Mkuu unaedai uthibitisho wa uwepo wa Mungu, mbona wewe haujatuthibitishia vitu vyote vimetokea wapi? Kisayansi. Kama unasema hakuna uwepo wa Mungu lazima utakua unajua vitu vyote vimetokea wapi. Tuthibitishie
Una uhakika upi kwanza kwamba vilitokea mahala na si pengine vilikuwepo tu?
 
Unaongelea kitu ambacho hakipo kwa sababu ni jambo la kufikirika tu. Huwezi kulinganisha uwepo wa Mungu na mtu mwenye kichwa kikubwa (wa kufikirika) Mkapa Stadium. Ni tofauti kabisa! Tunapozungumzia Mungu, tunazungumzia origin na tamati yetu (tumetoka wapi na tunaenda wapi, kwa nini na nani kaweka huu utaratibu katika maisha yetu) pamoja na utaratibu ulio katika vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana? Tunazungumzia ulimwengu huu na jinsi ulivyo na umetoka wapi. Tunazungumzia kwa nini jamii zote duniani zina 'idea of God' tangu enzi na enzi, lakini hazijawahi kukutana na kumwongelea Mungu. Tunazungumzia kwa nini jamii zote duniani zina 'idea' ya wrong and right na pia kwa nini katika jamii zote kuua ni vibaya, kuoana ndugu kwa ndugu ni vibaya, kuchukua mke au mume wa ndugu au mtu mwingine ni vibaya, kutowaheshimu wazazi au wakubwa ni vibaya, kuiba, kusema uwongo, kutamani mali ya mtu mwingine ni vibaya etc. Lakini katika jamii zote pia: kupendana, kushirikiana, kuheshimiana, kusaidiana, kuishi pamoja na wengine kwa amani etc ni vizuri. Katika jamii zote - dhamiri ya mtu ndiyo inayomwongoza mtu kutenda au kuacha kutenda jambo fulani - kwa nini? Na haya yote hayawezi kuwekwa na mtu isipokuwa Mungu tu.
Kwa nini unasema ni wa kufikirika? Basi mimi nasema mtu huyu mwenye kichwa kikubwa kuzidi ukubwa wa dunia yupo mle ndani ya uwanja wa Mkapa anaishi.

Sababu kitu hiki hakina tofauti na Mungu wenu alivyo wa kufikirika tu.

Kama ambavyo inaleta contradictions kwenye suala la mtu huyo kuwa ndani ya uwanja ndivyo ambavyo inaleta contradictions kwa Mungu muweza yote,mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kuwa yupo with respect to this incomplete universe.

Ni aidha uwanja wa Mkapa uwepo bila mtu huyo kuwepo ama mtu huyu awepo bila uwanja wa Mkapa kuwepo,maana anaweza enea huko nje ya dunia hii.

Vivyo hivyo ni aidha Ulimwengu huu uwepo bila uwepo wa huyo Mungu ama Mungu huyo awepo bila Ulimwengu huu kuwepo.

Na kwa kuwa uwanja wa Mkapa upo basi mtu huyo hayumo mle ndani, kadhalika kwa kuwa Ulimwengu huu upo basi Mungu huyo mnayemsema kaumba huu Ulimwengu hayupo.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake!.
 
Kwa nini unasema ni wa kufikirika? Basi mimi nasema mtu huyu mwenye kichwa kikubwa kuzidi ukubwa wa dunia yupo mle ndani ya uwanja wa Mkapa anaishi.

Kama ambavyo inaleta contradictions kwenye suala la mtu huyo kuwa ndani ya uwanja ndivyo ambavyo inaleta contradictions kwa Mungu muweza yote,mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kuwa yupo with respect to this incomplete universe.

Ni aidha uwanja wa Mkapa uwepo bila mtu huyo kuwepo ama mtu huyu awepo bila uwanja wa Mkapa kuwepo,maana anaweza enea huko nje ya dunia hii.

Vivyo hivyo ni aidha Ulimwengu huu uwepo bila uwepo wa huyo Mungu ama Mungu huyo awepo bila Ulimwengu huu kuwepo,

Na kwa uwanja wa Mkapa upo basi mtu huyo hayumo mle ndani, kadhalika kwa kuwa Ulimwengu huu upo basi Mungu huyo mnayemsema kaumba huu Ulimwengu hayupo.

Kama unadhani yupo thibitisha uwepo wake!.
Wewe ni mjinga zaidi ya wajinga Ata kma ungekua rafiki yangu ningekwambia tuu we ni jinga lakutupwa
 
Mjinga ni wewe uliyeshindwa kujibu hoja na kukimbilia kumtukana mtoa hoja.

Na mimi siwezi kuwa rafiki wa mtu anayeshikiwa akili na watu wa dini kama wewe.

Nakuuliza tena,wewe ulishawahi kufa ukathibitisha kuwa kuna kitu nitakiona siku nikifa kama ulivyosema?
 
watu kama kiranga wakifa utaona ndugu zao wanaomba huduma ya kuzikwa na padri,wakikataliwa hawaelewi ,wanaona kama hawatendewi haki.mashemasi tu ndo tutawafanyia ibada za mazishi
Yaani mtu ufanye dhambi alafu ukifa watu wakufanyie ibada kwamba uendako utakuwa salama 😅😅achane kujidanganya ,ata wakutupe polini nafsi imeacha mwili sio lazima wakuzike
 
Back
Top Bottom