Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Hapana, mfano Agnostic haamini Mungu(hasemi yupo) ila pia hadai kuwa hayupo.
Kuna agnostic wa aina tofauti

Tafuta kitabu Cha Richard Dawkins kinaitwa The God Delusion usome Dawkins Scale of religiosity utaelewa vizuri
 
Hatukuwa tukijadili kuhusu Agnostic hadi niende kutafuta kitabu ili nijue aina tofauti za Agnostic, labda uniambie hakuna Agnostic wa aina niliyoieleza.
Na point ni kuonesha kuwa kuna utofauti kati ya kutokuwa na imani na kitu fulani na kudai hicho kitu hakipo.
 
Hapana, mfano Agnostic haamini Mungu(hasemi yupo) ila pia hadai kuwa hayupo.
Agnostic sio kwamba ni lazima awe anatoa 50/50 chance kweny existence and non -existence of God

Kwenye hio scale hata weak theist na weak atheist naweza kuwa consider kama agnostics
images%20(41).jpg
 
Sasa mtoto mdogo ambaye hata hajapata ufahamu unamuweka kundi gani hapo?
Ukweli ni kwamba mtoto mdogo hawezi kupew kundi kwa hapo hatuwezi kusema kama ni theist au atheist. Japo wengi wanaishiaga kuwa theists kwasababu ya kupandikizwa dini na wazazi
 
Sasa mtoto mdogo ambaye hata hajapata ufahamu unamuweka kundi gani hapo?
Ila at a point where mtu hafahamu chochote kuhusu uwepo wa mungu awe mtu mzima au mtoto tunaweza kufany assumption kuwa ni atheist sababu hajui chochote kuhusu uwepo wa mungu
 
Bora niamini yupo niende nimkose kuliko kinyume chake.
Exactly Bora ukahmini mungu yupo ata usipo mkuta nisawa tu Ila ukipinga ayupo alafu ukamkuta sijui utasemaje .. kwakua ata ukisema hayupo unakua huna uwakika wa asilimia 100 .. utajipa facts ambazo utaisi ndio sahii wakati unaambiwa elim Aina mwisho utais umefika kumbe Bado .. kila kitu duniani kinammiliki aidha Ni wew mwenyew , wazazi wako, babu Zako, ukoo wako , serikali au muumba dunia mahna ukisema mungu ayupo nilazima utuambie dunia imetoka wapi au imetokana na Nini ..

Wasomi walikuepo na watazidi kuepo na watakuja wasomi zaidi ya hawa tulionao

Me nitashawishika endapo atatokea msomi atakae kua na uwezo wakujua kitakachotokea mbeleni nakuzuia matukio mabaya yasitokee na iyo elimu awe na uwezo wakuifundisha kwa watu wengine nao pia wafanye Yale Yale anayo yafanya

Siyo tu unakuja kutangaza kua mungu ayupo wakati ujui Apo ulipo unauwezo wakuuliwa na mtu unae cheka nae toka asubui adi jioni ..

Jamani elimu Aina mwisho ivyo vitabu mnavyovisoma vimeandikwa pia nawatu Kama nyie Tena usikute wengine niwalevi , wavuta bangi , nk ambao mnawaona ndo Wana akili kuliko mitume na manabii na wahndishi walio tumiwa na mungu mwenyew ili kufikisha ujumbe kwa wanadamu kupitia vitabu takatifu Kama Bibilia , koroani, nk..

NB: watu wengi awajui vitu vyakumuomba mungu mungu uombwa vitu ambavyo kibinadamu siyo raisi kuvipata vitu Kama HEKIMA , KIBALI ivyo ndo vitu muimu kwenye maombi yenu lazima mvipe kipaumbele ... Ila siyo pesa pesa hutafutwa .. yani ukitafuta pesa na ukaipata akuna siku utafunga nakuomba ili upate gari utazama mfukoni tu nakununua .. ila HEKIMA, KIBALI, AFYA,,NGUVU ivi ndo vitu vyakumuomba mungu ..

NAMWENYE MASIKIO NA ASIKIE .
 
Kuna watu wengine wana mungu wao wanaomwamini ni wa kweli tofauti na wako. Je ukifika mbinguni ukakuta yale ma mungu ya wahindi ndo yapo (Brahma, Shiva, Vishnu) na wewe ulikomaa na ukristo au uislamu sio ndio umeisha ndugu yangu
 
Kuna watu wengine wana mungu wao tofauti na wako. Je ukifika mbinguni ma Mungu ya wahindi ndo ya yapo (Brahma, Shiva, Vishnu) na wewe ulikomaa na ukristo au uislamu sio ndio umeisha ndugu yangu
Aijalishi nimungu gani ila Ni lazima ukiri mungu yupo kuliko kusema ayupo Kama kunamiungu zaidi ya 1000 nisawa ila kila mtu anajua nimungu gani anamuabudu .. full stop ...
 
Kwa hiyo hata nikisema mama angu ndo mungu wangu hamna tatizo
 
Hakuna mtoto anaezaliwa anajua dini mpaka afundishwe alafu aambiwe haya tunayokufundisha hayapingiki na ukipinga tu utatupwa kwenye ziwa la moto . Every child is born an atheist then the religious imbeciles start brainwashing him/her
Swala la kuamini Mungu au Miungu ni Human nature Leo hata utenge kisiwa ukawaweka hao watoto waliozaliwa bila dini wala kumjua mungu nakuhakikishia baada ya miaka kadhaa ukirudi utawakuta wanaabudu iwe miti, jua, mwezi, au moto. Tangu karne na karne hakuna jamii iliyokuwa haina imani ya kuabudu chochote kama miungu
 
Ni kweli point nzuri sana mkuu shukran kwa kunielimisha
 
Ni wa kufikirika kwa sababu ni wewe tu umemuibuia. Hakuna mtu mwingine duniani, kama ambavyo nimesema jamii zote duniani, zina idea ya Mungu however remotely it is. Lakini kwa huyo mwenye kichwa kikubwa tena kuwa Mkapa Stadium ambayo inajulikana ilijengwa lini, then huyo mwenye kichwa kikubwa chako ni finite, wakati Mungu ni infinite na huwezi kumweka mahali. He's beyond space and time and cannot be limited by laws of nature. Huyo kichwa kikubwa wako is limited by space and time na ndiyo maana unaweza kumkuta huko Mkapa Stadium (akiwa stationary) and he's under the laws of nature. Nimeshasema mara nyingi kuwepo kwa Mungu hakuhitaji mtu athibitishe au ashindwe kuthibitisha - whether uthibitishe au usithibitishe - Mungu yupo. Mfano, mimi siwezi kuthibitisha kama yupo, lakini pia kushindwa kwangu siyo ushahidi kuwa hayupo. Mimi nikishindwa kuthibitisha jinsia yako (kwa mfano) siyo ushahidi kuwa wewe huna jinsia.
Jamii nzima za dunia hii kuwa na idea ya Mungu si uthibitisho wa Mungu huyo kuwepo ama idea hiyo kuwa kweli.

Kwa taarifa yako kabla ya ujio wa kina Nicholas Copernicus na Heliocentric theory jamii zote za dunia hii zilijua dunia iko stationary na jua (SUN) ndilo hulizunguka dunia,

Jamii hizo kuelewa hivyo haikufanya suala la jua kuzunguka dunia liwe kweli.

Hapa sasa upate ufahamu wa kwamba kumbe hata dunia hii kuna wakati inakuwa imekariri uongo.

Kuhusu Mungu je, unajuaje kwamba Mungu hathibitishiki si kwa sababu wewe huwezi kumthibitisha bali hathibitishiki kwa kuwa hayupo!?
 
Swala la kuamini Mungu au Miungu ni Human nature Leo hata utenge kisiwa ukawaweka hao watoto waliozaliwa bila dini wala kumjua mungu nakuhakikishia baada ya miaka kadhaa ukirudi utawakuta wanaabudu iwe miti, jua, mwezi, au moto. Tangu karne na karne hakuna jamii iliyokuwa haina imani ya kuabudu chochote kama miungu
Unatuhakikishiaje wakati umeongea maneno matupu?

Unaweza kuweka hapa ushahidi wa wazi juu ya hayo ya watoto kuwaweka kisiwani?
 
Back
Top Bottom