UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Ok na yule mtu ambaye anadai hakuna huyo Mungu je huyo anaitwaje?Mtu ambae hana Imani na uwepo wa mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok na yule mtu ambaye anadai hakuna huyo Mungu je huyo anaitwaje?Mtu ambae hana Imani na uwepo wa mungu
Nimeelezea hapo nyumauchawi Ni Nini?
Si ndio wale wale tu kama hauamini kuwa mungu yupo maana yake uko upande wa wale wanaosema hayupoOk na yule mtu ambaye anadai hakuna huyo Mungu je huyo anaitwaje?
Hapana, mfano Agnostic haamini Mungu(hasemi yupo) ila pia hadai kuwa hayupo.Si ndio wale wale tu kama hauamini kuwa mungu yupo maana yake uko upande wa wale wanaosema hayupo
Kuna agnostic wa aina tofautiHapana, mfano Agnostic haamini Mungu(hasemi yupo) ila pia hadai kuwa hayupo.
Hatukuwa tukijadili kuhusu Agnostic hadi niende kutafuta kitabu ili nijue aina tofauti za Agnostic, labda uniambie hakuna Agnostic wa aina niliyoieleza.Kuna agnostic wa aina tofauti
Tafuta kitabu Cha Richard Dawkins kinaitwa The God Delusion usome Dawkins Scale of religiosity utaelewa vizuri
Agnostic sio kwamba ni lazima awe anatoa 50/50 chance kweny existence and non -existence of GodHapana, mfano Agnostic haamini Mungu(hasemi yupo) ila pia hadai kuwa hayupo.
Sasa mtoto mdogo ambaye hata hajapata ufahamu unamuweka kundi gani hapo?Agnostic sio kwamba ni lazima awe anatoa 50/50 chance kweny existence and non -existence of God
Kwenye hio scale hata weak theist na weak atheist naweza kuwa consider kama agnostics View attachment 2005517
Ukweli ni kwamba mtoto mdogo hawezi kupew kundi kwa hapo hatuwezi kusema kama ni theist au atheist. Japo wengi wanaishiaga kuwa theists kwasababu ya kupandikizwa dini na wazaziSasa mtoto mdogo ambaye hata hajapata ufahamu unamuweka kundi gani hapo?
Ila at a point where mtu hafahamu chochote kuhusu uwepo wa mungu awe mtu mzima au mtoto tunaweza kufany assumption kuwa ni atheist sababu hajui chochote kuhusu uwepo wa munguSasa mtoto mdogo ambaye hata hajapata ufahamu unamuweka kundi gani hapo?
Exactly Bora ukahmini mungu yupo ata usipo mkuta nisawa tu Ila ukipinga ayupo alafu ukamkuta sijui utasemaje .. kwakua ata ukisema hayupo unakua huna uwakika wa asilimia 100 .. utajipa facts ambazo utaisi ndio sahii wakati unaambiwa elim Aina mwisho utais umefika kumbe Bado .. kila kitu duniani kinammiliki aidha Ni wew mwenyew , wazazi wako, babu Zako, ukoo wako , serikali au muumba dunia mahna ukisema mungu ayupo nilazima utuambie dunia imetoka wapi au imetokana na Nini ..Bora niamini yupo niende nimkose kuliko kinyume chake.
Kuna watu wengine wana mungu wao wanaomwamini ni wa kweli tofauti na wako. Je ukifika mbinguni ukakuta yale ma mungu ya wahindi ndo yapo (Brahma, Shiva, Vishnu) na wewe ulikomaa na ukristo au uislamu sio ndio umeisha ndugu yanguExactly Bora ukahmini mungu yupo ata usipo mkuta nisawa tu Ila ukipinga ayupo alafu ukamkuta sijui utasemaje .. kwakua ata ukisema hayupo unakua huna uwakika wa asilimia 100 .. utajipa facts ambazo utaisi ndio sahii wakati unaambiwa elim Aina mwisho utais umefika kumbe Bado .. kila kitu duniani kinammiliki aidha Ni wew mwenyew , wazazi wako, babu Zako, ukoo wako , serikali au muumba dunia mahna ukisema mungu ayupo nilazima utuambie dunia imetoka wapi au imetokana na Nini ..
Wasomi walikuepo na watazidi kuepo na watakuja wasomi zaidi ya hawa tulionao
Me nitashawishika endapo atatokea msomi atakae kua na uwezo wakujua kitakachotokea mbeleni nakuzuia matukio mabaya yasitokee na iyo elimu awe na uwezo wakuifundisha kwa watu wengine nao pia wafanye Yale Yale anayo yafanya
Siyo tu unakuja kutangaza kua mungu ayupo wakati ujui Apo ulipo unauwezo wakuuliwa na mtu unae cheka nae toka asubui adi jioni ..
Jamani elimu Aina mwisho ivyo vitabu mnavyovisoma vimeandikwa pia nawatu Kama nyie Tena usikute wengine niwalevi , wavuta bangi , nk ambao mnawaona ndo Wana akili kuliko mitume na manabii na wahndishi walio tumiwa na mungu mwenyew ili kufikisha ujumbe kwa wanadamu kupitia vitabu takatifu Kama Bibilia , koroani, nk..
NB: watu wengi awajui vitu vyakumuomba mungu mungu uombwa vitu ambavyo kibinadamu siyo raisi kuvipata vitu Kama HEKIMA , KIBALI ivyo ndo vitu muimu kwenye maombi yenu lazima mvipe kipaumbele ... Ila siyo pesa pesa hutafutwa .. yani ukitafuta pesa na ukaipata akuna siku utafunga nakuomba ili upate gari utazama mfukoni tu nakununua .. ila HEKIMA, KIBALI, AFYA,,NGUVU ivi ndo vitu vyakumuomba mungu ..
NAMWENYE MASIKIO NA ASIKIE .
Aijalishi nimungu gani ila Ni lazima ukiri mungu yupo kuliko kusema ayupo Kama kunamiungu zaidi ya 1000 nisawa ila kila mtu anajua nimungu gani anamuabudu .. full stop ...Kuna watu wengine wana mungu wao tofauti na wako. Je ukifika mbinguni ma Mungu ya wahindi ndo ya yapo (Brahma, Shiva, Vishnu) na wewe ulikomaa na ukristo au uislamu sio ndio umeisha ndugu yangu
Kwa hiyo hata nikisema mama angu ndo mungu wangu hamna tatizoAijalishi nimungu gani ila Ni lazima ukiri mungu yupo kuliko kusema ayupo Kama kunamiungu zaidi ya 1000 nisawa ila kila mtu anajua nimungu gani anamuabudu .. full stop ...
Swala la kuamini Mungu au Miungu ni Human nature Leo hata utenge kisiwa ukawaweka hao watoto waliozaliwa bila dini wala kumjua mungu nakuhakikishia baada ya miaka kadhaa ukirudi utawakuta wanaabudu iwe miti, jua, mwezi, au moto. Tangu karne na karne hakuna jamii iliyokuwa haina imani ya kuabudu chochote kama miunguHakuna mtoto anaezaliwa anajua dini mpaka afundishwe alafu aambiwe haya tunayokufundisha hayapingiki na ukipinga tu utatupwa kwenye ziwa la moto . Every child is born an atheist then the religious imbeciles start brainwashing him/her
Ni kweli point nzuri sana mkuu shukran kwa kunielimishaSwala la kuamini Mungu au Miungu ni Human nature Leo hata utenge kisiwa ukawaweka hao watoto waliozaliwa bila dini wala kumjua mungu nakuhakikishia baada ya miaka kadhaa ukirudi utawakuta wanaabudu iwe miti, jua, mwezi, au moto. Tangu karne na karne hakuna jamii iliyokuwa haina imani ya kuabudu chochote kama miungu
Jamii nzima za dunia hii kuwa na idea ya Mungu si uthibitisho wa Mungu huyo kuwepo ama idea hiyo kuwa kweli.Ni wa kufikirika kwa sababu ni wewe tu umemuibuia. Hakuna mtu mwingine duniani, kama ambavyo nimesema jamii zote duniani, zina idea ya Mungu however remotely it is. Lakini kwa huyo mwenye kichwa kikubwa tena kuwa Mkapa Stadium ambayo inajulikana ilijengwa lini, then huyo mwenye kichwa kikubwa chako ni finite, wakati Mungu ni infinite na huwezi kumweka mahali. He's beyond space and time and cannot be limited by laws of nature. Huyo kichwa kikubwa wako is limited by space and time na ndiyo maana unaweza kumkuta huko Mkapa Stadium (akiwa stationary) and he's under the laws of nature. Nimeshasema mara nyingi kuwepo kwa Mungu hakuhitaji mtu athibitishe au ashindwe kuthibitisha - whether uthibitishe au usithibitishe - Mungu yupo. Mfano, mimi siwezi kuthibitisha kama yupo, lakini pia kushindwa kwangu siyo ushahidi kuwa hayupo. Mimi nikishindwa kuthibitisha jinsia yako (kwa mfano) siyo ushahidi kuwa wewe huna jinsia.
Unatuhakikishiaje wakati umeongea maneno matupu?Swala la kuamini Mungu au Miungu ni Human nature Leo hata utenge kisiwa ukawaweka hao watoto waliozaliwa bila dini wala kumjua mungu nakuhakikishia baada ya miaka kadhaa ukirudi utawakuta wanaabudu iwe miti, jua, mwezi, au moto. Tangu karne na karne hakuna jamii iliyokuwa haina imani ya kuabudu chochote kama miungu
Unatuhakikishiaje wakati umeongea maneno matupu?
Unaweza kuweka hapa ushahidi wa wazi juu ya hayo ya watoto kuwaweka kisiwani?