cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ni ktk kutaka kupata ukweli wa mambo.Kwahiyo mkuu unaungana na kiranga? Asee mpo wengi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ktk kutaka kupata ukweli wa mambo.Kwahiyo mkuu unaungana na kiranga? Asee mpo wengi....
Rudi kusoma tena nilichokiandika iwapo hujaelewa.Uhalisia juu ya kuabudu au nini
Mimi nimezungumzia nature na nature haiitaji maarifa bali ni msukumo wa ndani. Swala la dunia ni tufe sijui linazunguka kwenye muhimili wake hayo ni maarifa ambayo yametokana na udadisi kitu ambacho pia ni moja wapo ya asili. Nature ya binadamu ni kudadisi mambo yanayo pelekea vumbuzi mbalimbali nafikiri ukirudi kule juu utanielewa zaidi.Rudi kusoma tena nilichokiandika iwapo hujaelewa.
Mkuu, kama suala la Mungu lingekuwa ni la nature wala msingehitaji vitabu ili kumjua, mngemjua automatically.Mimi nimezungumzia nature na nature haiitaji maarifa bali ni msukumo wa ndani. Swala la dunia ni tufe sijui linazunguka kwenye muhimili wake hayo ni maarifa ambayo yametokana na udadisi kitu ambacho pia ni moja wapo ya asili. Nature ya binadamu ni kudadisi mambo yanayo pelekea vumbuzi mbalimbali nafikiri ukirudi kule juu utanielewa zaidi.
Naomba niishie hapa Maswali ya majibu yako utayapata pindi pumzi itakapo katika ndo utajua kama kuna maisha baada ya hapa au la. Uwe na siku njema bwana EmmanuelMkuu, kama suala la Mungu lingekuwa ni la nature wala msingehitaji vitabu ili kumjua, mngemjua automatically.
Lakini pia jamii nyingi kuwa na mindset za kuabudu hiyo haimaanishi kuwa ziko sawa ama kuna uhalisia wowote hapo zaidi ya kujilisha upepo tu.
Nikakwambia kuna mazoea mengine mnakuwa nayo hata kama ni naturally kama usemavyo ila ni uongo.
Ndiyo maana nikakupa mfano wa jamii nyingi kuwa na mawazo ya jua kulizunguka dunia kisa tu nature inaonesha linatoka mashariki na kuzama magharibi.
Una uhakika upi kuwa pumzi yangu ilikata ndipo nitapata majibu ya maswali yangu?Naomba niishie hapa Maswali ya majibu yako utayapata pindi pumzi itakapo katika ndo utajua kama kuna maisha baada ya hapa au la. Uwe na siku njema bwana Emmanuel
Itakuwaje maana kila mungu amesema ametuumba wote na kama tusipowafuata tunaenda motoni sasa kama mimi natakiwa kngia motoni kwa imani ya kiislamu ila imani ya yehova natakiwa ingia mbinguni itakuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu ataenda kwa Mungu wake anae muamini.
Islam for eternal lifeItakuwaje maana kila mungu amesema ametuumba wote na kama tusipowafuata tunaenda motoni sasa kama mimi natakiwa kngia motoni kwa imani ya kiislamu ila imani ya yehova natakiwa ingia mbinguni itakuwaje
Kilichowazi wazi jamii yeyote inakitu inachokiamini kuwa kinawawezesha na kuwafanya wasonge mbele.Mkuu, kama suala la Mungu lingekuwa ni la nature wala msingehitaji vitabu ili kumjua, mngemjua automatically.
Lakini pia jamii nyingi kuwa na mindset za kuabudu hiyo haimaanishi kuwa ziko sawa ama kuna uhalisia wowote hapo zaidi ya kujilisha upepo tu.
Nikakwambia kuna mazoea mengine mnakuwa nayo hata kama ni naturally kama usemavyo ila ni uongo.
Ndiyo maana nikakupa mfano wa jamii nyingi kuwa na mawazo ya jua kulizunguka dunia kisa tu nature inaonesha linatoka mashariki na kuzama magharibi.
Una uhakika upi kuwa kila mtu anaamini kitu? Mimi siamini kwenye chochote sasa na hapa napata jibu la kuwa wewe ni muongo.Kilichowazi wazi jamii yeyote inakitu inachokiamini kuwa kinawawezesha na kuwafanya wasonge mbele.
Steve Jobs wa apple alikusanya hela miaka mitatu akaenda India Himalaya ambako alikaa kwa muda akitafuta nguvu za kiroho toka maeneo hayo.
Aliporejea alibadili mavazi, na ndiyo staili hii huvaa kila kwenye tukio.
Uwe unaamin MUNGU YESU, uwe unaamin mababu, uwe unaamini kismati, uwe unaamini kila jumayatu mbaya, sijui nikiwa na demu au mume wa flani dili zinanyoka hamna asiyeamini
Kuna mama kichaa fully, shida wanayopata ndugu zake ni kuwa wanawake wanamlia timing kusagana naye wakisema anaondoa mikosi, magonjwa, na biashara.
Ila kwa wanaume wote waliowahi kumlala wamefilisika.
Nimeuliza hivi "Hivi huwa kuna mahusiano gani kati ya mtu asiyeamini Mungu na dhana ya kuonekana kuwa na akili sana?"Just imagine inawezekanaje mtu mwenye akili kwenda kukanyaga mafuta ya upako, mtu mwenye akili kunena sandandalalababbbbbbbbbb!!!
Mtu mwenye akili kuinamia misanamu, mtu mwenye akili kwenda kutoa siri zake eti anatubu na kumwambia binadamu mwenzake eti asamehewe dhambi zake,.
Wengi wenye akili wameshindwa ku a doubt huu mfumo kwasababu unatakiwa uwe mjinga sana ndio uwe kwenye hizi dini za ajabu.
Kiranga yupo sahihi
Uamini chochote ndio nini? tatizo huwa mnafikiri kuamini kunahusika na mambo ya Mungu na dini tu.Una uhakika upi kuwa kila mtu anaamini kitu? Mimi siamini kwenye chochote sasa na hapa napata jibu la kuwa wewe ni muongo.
All in all sina tatizo na wanaoamini, we ukitaka amini tu hata punda kuwa ndiye Mungu wako.
Ambacho tunakikataa na hiki cha kutuambia eti huyo punda wenu mnayemuabudu ndiye kaumba kila kitu.
Rudi usome upya post # 1,777 neno kuamini kaliongelea kwenye muktadha upi kama si wa kidini pekee.Uamini chochote ndio nini? tatizo huwa mnafikiri kuamini kunahusika na mambo ya Mungu na dini tu.
Umesema hauamini chochote, na mara zote huwa mnasema humu kuwa hamtaki kuamini mnataka kujua.Rudi usome upya post # 1,777 neno kuamini kaliongelea kwenye muktadha upi kama si wa kidini pekee.
Kama mwenye comment kaliongelea ktk upande huo ulitaka mimi nifunguke nje ya hapo kama ambavyo nyinyi watu wa dini huwa mnapuyanga?
Umesoma lakini nilivyokwambia na muktadha wa coment ya muhusika?Umesema hauamini chochote, na mara zote huwa mnasema humu kuwa hamtaki kuamini mnataka kujua.
1. Unathibitisha vipi kwamba mtoto anapozaliwa tu anakuwa ni Atheist?Hakuna mtoto anaezaliwa anaamini kwenye uwepo wa mungu mpaka awe indocrinated na wazazi utotoni. Anavyoendelea kukua na uwezo wake wa kuchanganua mambo unaongezeka na akipata scientific education vizuri akirudi kusoma vitabu vya dini atagundua ni upuuzi umo mule.
Ondoa indocrination na vitisho vya kwenda motoni mnavyowapa watoto. Mapema tu atagundua mambo ya dini ni kupotezeana mda tu
Unaponiuliza nina uhakika upi kwamba vilitokea je hivyo vitu vilitokea tu gafla?Swali lako lina mapungufu, nakuuliza una uhakika upi kuwa vilitokea?
Badala ujibu unazidi kuniuliza tena vilitokeaje, unaelewa lakini hata ninachokuomba ufafanue?
Wewe ulieisoma Bing Bang, nipe majibu hapa imeform vipi hivi vitu vyote kwa ushahidi wa kisayansi (Science Evidence)Hujaisoma bing bang?
Online fee kwa ajili ya somo hilo itahitajika, uko tayari?Wewe ulieisoma Bing Bang, nipe majibu hapa imeform vipi hivi vitu vyote kwa ushahidi wa kisayansi (Science Evidence)
Na si kwa ushahidi wa kufikirika tu.
Alafu mbona vitu ninavyokuuliza haunijibu Mkuu, mimi bado naendelea kusubiri majibu.
Unaelewa maana ya atheism?1. Unathibitisha vipi kwamba mtoto anapozaliwa tu anakuwa ni Atheist?
2. Unathibitisha vipi hakuna mtoto anaezaliwa anaamini kwenye uwepo wa Mungu?