Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Itakuwaje maana kila mungu amesema ametuumba wote na kama tusipowafuata tunaenda motoni sasa kama mimi natakiwa kngia motoni kwa imani ya kiislamu ila imani ya yehova natakiwa ingia mbinguni itakuwaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kitaumana hapo.
 
Una uhakika upi kuwa kila mtu anaamini kitu? Mimi siamini kwenye chochote sasa na hapa napata jibu la kuwa wewe ni muongo.

All in all sina tatizo na wanaoamini, we ukitaka amini tu hata punda kuwa ndiye Mungu wako.

Ambacho tunakikataa na hiki cha kutuambia eti huyo punda wenu mnayemuabudu ndiye kaumba kila kitu.
Asipoelewa hapa, hatoelewa tena.
 
Umesoma lakini nilivyokwambia na muktadha wa coment ya muhusika?

Hilo la mara zote ni mjadala mwingine nasi kiini cha jibu hili kwenye comment ile.

Otherwise naona unaanza kupuyanga tu kama kawaida yenu waabudu Mungu.

Nimesoma vizuri tu na hebu tizama alichokiandika: "Uwe unaamin MUNGU YESU, uwe unaamin mababu, uwe unaamini kismati, uwe unaamini kila jumayatu mbaya, sijui nikiwa na demu au mume wa flani dili zinanyoka hamna asiyeamini"

Sasa katika muktadha huo wewe unasema hauamini chochote.
 
Sasa ktk hayo yote yaliyotajwa unaona ni lipi ninaloamini na kwa nini?
 
Kwa Quote hii.

"Ambacho tunakikataa"
Kwenye quote hii, mpaka unakataa inaonekana unajua.

Mimi naomba kujua vitu vyote vimetokeaje? (formation).
Kwani wewe kuamini kuwa Diamond Platinumz ndiye Baba Mzazi wa Mzee Mwinyi kunafanya kweli Diamond awe ndiye Baba Mzazi wa huyo Rais Mstaafu?

Kuhusu formation ya vitu bado hujathibitisha kama vina formation.

Na kwa sababu ya ujinga wako unalazimisha kila kitu kiwe na formation bila kwanza hata kuleta huo uthibitisho kama vina formation.
 
Unaponiuliza nina uhakika upi kwamba vilitokea je hivyo vitu vilitokea tu gafla?
Huoni unathibitisha haujui hivyo vitu vilitokeaje.

Wewe ndie nimekuuliza unijibu vimetokeaje? Wewe si unasema hakuna uwepo wa Mungu. Mimi ndio naomba unifahamishe hivyo vitu vimetokeaje.

Au wewe hujui hivyo vitu vimetokeaje?
Una uhakika upi kuwa vina formation?
 
Kwa Quote hii.

"Ambacho tunakikataa"
Kwenye quote hii, mpaka unakataa inaonekana unajua.

Mimi naomba kujua vitu vyote vimetokeaje? (formation).
Viumbe hai - Evolution

Ulimwengu (universe) - bado utafiti wa chanzo halisi unaendelea mpaka sasa hivi tuna maelezo ya Big bang ( inaelezea the origin of time, space and matter) tuishi humo kwa mda maana utafiti wa kisayansi unaendelea
 
Kwa Quote hii.

"Ambacho tunakikataa"
Kwenye quote hii, mpaka unakataa inaonekana unajua.

Mimi naomba kujua vitu vyote vimetokeaje? (formation).
Umeuliza hili swali ukiwa na Imani kwamba kila kitu kina chanzo si ndo maana ake

Haya tueleze chanzo cha mungu yeye alitokea wapi

Na kama alikuwepo tu na unakubali bila wasiwasi wowote usione shida pia ukiambiwa na dunia ilikuwepo tu haina chanzo
 
Una uhakika upi kuwa kila mtu anaamini kitu? Mimi siamini kwenye chochote sasa na hapa napata jibu la kuwa wewe ni muongo.

All in all sina tatizo na wanaoamini, we ukitaka amini tu hata punda kuwa ndiye Mungu wako.

Ambacho tunakikataa na hiki cha kutuambia eti huyo punda wenu mnayemuabudu ndiye kaumba kila kitu.
Hamna asiyeamini kuwa kuna nguvu isiyoonekanika itendayo.
Ni swala la muda tu
 
Umeuliza hili swali ukiwa na Imani kwamba kila kitu kina chanzo si ndo maana ake

Haya tueleze chanzo cha mungu yeye alitokea wapi

Na kama alikuwepo tu na unakubali bila wasiwasi wowote usione shida pia ukiambiwa na dunia ilikuwepo tu haina chanzo
Eeeh Mkuu kila kilichopo katika ulimwengu huu tunaoishi kipo limited to time, space and matter, lazima kina formation yake na kiwe kimeundwa na muundaji.

Unaposema nisione shida nikiambiwa dunia ilikuwepo tu haina chanzo, nitakua na wasiwasi nauwezo wako wa kufikiri

Kwanini?
Kwasababu vitu vyote hivi vinawezaje kuwepo bila kuwa na formation? Tena iliyo proved scientifically

Ukiniambia vilikuwepo tu, how? Vilikuwepo tu kwa kifikirika ama kimiujiza?

Sasa ukisema hivi vitu vilikuwepo tu, unatofauti gani na anaeamini Mungu ndie muumbaji.

Wewe si unajiita ni Atheist, thibitisha hivi vitu vimetokeaje (formation) kwa uthibitisho wa kisayansi, na si kwa majibu ya kufikirika.
 
Viumbe hai - Evolution

Ulimwengu (universe) - bado utafiti wa chanzo halisi unaendelea mpaka sasa hivi tuna maelezo ya Big bang ( inaelezea the origin of time, space and matter) tuishi humo kwa mda maana utafiti wa kisayansi unaendelea
Kama bado utafiti wa chanzo halisi unaendelea, sasa nakuuliza swali mpaka muda huu unathibitisha kwamba chanzo halisi cha vitu vyote bado hakijulikani?
 
Back
Top Bottom