Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Waliyemtunga huyu Mungu wameungaunga mengi sana ya uongo.hakumwona hasimu wake shetwan akipanga mbinu za kumpindua Katika kiti chake Cha Enzi Mpaka akashawishi theluthi ya malaika Mpaka mwisho wanafanya jaribio la uasi Huko
Mbinguni,huyo Mungu mjuzi wa yote alizubaa wapi mbona kama mnampa sifa ambazo hazipo Katika uhalisia?
Huhitaji kufikiri sana kuona hilo.
Sasa, watu wa kale unaweza kuwasamehe kwa sababu elimu ilikuwa ndogo. Wengi sana hawakujua kusoma, hawakuwa na vitabu wala internet.
Hawa watu wa leo ambao wana teknolojia kubwa sana na habari nyingi kiganjani, ambao bado wanaamini uwepo wa huyu Mungu, excuse yao ni nini?