Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

hakumwona hasimu wake shetwan akipanga mbinu za kumpindua Katika kiti chake Cha Enzi Mpaka akashawishi theluthi ya malaika Mpaka mwisho wanafanya jaribio la uasi Huko
Mbinguni,huyo Mungu mjuzi wa yote alizubaa wapi mbona kama mnampa sifa ambazo hazipo Katika uhalisia?
Waliyemtunga huyu Mungu wameungaunga mengi sana ya uongo.

Huhitaji kufikiri sana kuona hilo.

Sasa, watu wa kale unaweza kuwasamehe kwa sababu elimu ilikuwa ndogo. Wengi sana hawakujua kusoma, hawakuwa na vitabu wala internet.

Hawa watu wa leo ambao wana teknolojia kubwa sana na habari nyingi kiganjani, ambao bado wanaamini uwepo wa huyu Mungu, excuse yao ni nini?
 
location ya kuzimu please nikamfanyie research na kumhoji maswali yenye ukakasi maana hua analaumiwa Kwa mambo mengi na Watu wa upande wa Mungu kwamba yeye ni mbaya na chanzo Cha matatizo yenu,hivyo kutokana na yeye kutokusikilizwa upande wake nipe location niende nikahoji tuone utetezi wake Ili tubalance story!
Inaelezwa kwamba Siberia upo mlango wa kuingilia kuzimu. Jaribu kufika pande hizo.
 
hakumwona hasimu wake shetwan akipanga mbinu za kumpindua Katika kiti chake Cha Enzi Mpaka akashawishi theluthi ya malaika Mpaka mwisho wanafanya jaribio la uasi Huko
Mbinguni,huyo Mungu mjuzi wa yote alizubaa wapi mbona kama mnampa sifa ambazo hazipo Katika uhalisia?
Alimwona akifanya mipango na ameweka siku ya yeye kuvuna matokeo ya uamuzi wake.
 
Waliyemtunga huyu Mungu wameungaunga mengi sana ya uongo.

Huhutaji kufikiri sana kuona hilo.

Sasa, watu wa kale unaweza kuwasamehe kwa sababu elimu ilikuwa ndogo. Wengi sana hawakujua kusoma, hawakuwa na vitabu wala internet.

Hawa watu wa leo ambao wana teknolojia kubwa sana na habari nyingi kiganjani, ambao bado wanaamini uwepo wa huyu Mungu, excuse yao ni nini?
Hili tumeshalijibu. Mungu anao uhuru wa kuamua atakavyo. Na aliamua kuumba ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika.
 
Huu mjadala wa sadaka kimsingi ni mjadala wa watu wenye mawazo finyu wanaodhani dini yao inahodhi ukarimu na watu wenye mawazo mapana yanayokubali kwamba huhitaji kuamini dini au Mungu kuwa mkarimu.

Sasa mje mniambie tena mtu asiyeamini Mungu hawezi kuwa mkarimu, kwa sababu neno karimu lina mzizi wa kiarabu.

Wakati mimi hata sijaandika kiarabu hapa.

Freaking ridiculous religious arrogance..
Ukarimu ni nini? Umewahi kuuona?
 
Ukarimu ni nini? Umewahi kuuona?
Ukarimu ni kuwa generous.

Kwa nini unauliza kuhusu kuuona?

Kuuona ni nini?

Nikisema nilikwenda kwenye party rafiki zangu walinialika nikauona ukarimu wao, utakubali kwamba nimeuona ukarimu?
 
The problem of evil contradicts the existence of that God. It proves that God does not exists, by contradiction.

Do you understand that?

Kuwezekana kwa mabaya popote pale, kunathibitisha Mungu huyo hayupo popote pale.
acha mambo yako aisee . Mungu yupo tena sana.
Contradiction kibao kwenye katiba yetu, sasa ndo tuseme tanzania haipo.
 
Ukarimu ni kuwa generous.

Kwa nini unauliza kuhusu kuuona?

Kuuona ni nini?

Nikisema nilikwenda kwenye party rafiki zangu walinialika nikauona ukarimu wao, utakubali kwamba nimeuona ukarimu?
Umeweka kingereza bila kueleza maana.

Kama uliuona kwenye party basi niambie unafananaje.

Nimekuuliza kwasababu wewe unapenda kupewa uthibitisho ambao utauona kuhusu Mungu wakati uthibitisho wa kuona vitu vidogo kama ukarimu huwezi kuuleta.
 
Ukarimu ni kuwa generous.

Kwa nini unauliza kuhusu kuuona?

Kuuona ni nini?

Nikisema nilikwenda kwenye party rafiki zangu walinialika nikauona ukarimu wao, utakubali kwamba nimeuona ukarimu?
na sisi tunasema kuwepo kwetu ni kwa sababu ya ukarimu wa Mungu
Mungu yupo
 
Hili tumeshalijibu. Mungu anao uhuru wa kuamua atakavyo. Na aliamua kuumba ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika.
Kwa nini?

Kwa nini kaamua kuumba ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika, wakati alikuwa nanuwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika?

Kujibu ana uhuru wa kufanya atakavyo si jibu, sijauliza kama ana uhuru au hana uburu. Tuseme nishakubali ana uhuru.

Nauliza, kwa nini kaamua kuumbq ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika, wakati alikuwa nanuwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika?

Hujajibu swali hili.

Kujibu ana uhuru si jibu.

Ni sawa nikuulize, Rais SSH kwa nini kaenda Marekani?

Ukisema kaenda Marekani kwa sababu ana uhuru si jibu hilo. Sijauliza kama ana uhuru au hana uhuru.

Kuna jibu lingine, labda kaenda Marekani ku promote Royal Tour.

Sasa ukielewa hilo, utaona jibu lako limepwaya. Jibu la "ana uhuru" linanesha hujui jibu sahihi.

Hujui jibu sahihi kwa sababu hakuna jibu sahihi.

Hakuna jibu sahihi, kwa sababu Mungu hayupo, ni hadithi iliyotungwa na watu tu.

Hadithi yenye mapungufu mengi sana ya kimantiki.

Ndiyo maana huwezi kutoa jibu lililo na uthabiti wa kimantiki.

Unaishia kujibu "Mungu ana uhuru", wakati mimi sijahoji uhuru, nimehoji sababu.

Wewe mwenyewe humuelewi huyo Mungu wako.

Huwezi kumuelewa.

Kwa sababu, hayupo.
 
Wanalazimisha lazima iwe katika dini yao.
Ni kwa sababu wengi wetu hilo neno tunalisikia sana kanisani, halitumiki sana mtaani

MATENDO 10​

Petro na Kornelio
1Kulikuwa na mtu mmoja huko Kaisarea aitwaye Kornelio, jemadari wa kikosi kimoja kiitwacho “Kikosi cha Italia.” 2Alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha Mungu; alikuwa anafanya mengi kusaidia maskini wa Kiyahudi na alikuwa anasali daima. 3Yapata saa tisa alasiri, aliona dhahiri katika maono malaika wa Mungu akiingia ndani na kumwambia, “Kornelio!” 4Kornelio alimkodolea macho huyo malaika kwa hofu, akamwambia, “Kuna nini Mheshimiwa?” Huyo malaika akamwambia, “Mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini wala hatazisahau.
 
acha mambo yako aisee . Mungu yupo tena sana.
Contradiction kibao kwenye katiba yetu, sasa ndo tuseme tanzania haipo.
Unachanganya mambo.

This is sheer intellectual laziness.

Contradiction kwenye katiba inaweza kumaanisha hilo jambo lenye contradictions halipo. Hilo halimaanishi Tanzania haipo.

Ingawa hata Tanzania nayo ni "manufactured reality" tu. Ndiyo maana mpaka leo kuna watu wanasema mpaka wa Tanzania na Malawi upo katikati ya ziwa Nyasa, na wengine wanasema mpaka upo pwani ya ziwa Nyasa upande wa Tanzania. But that is another topic, ukitaka ianzishie thread yake tuijadili.

Kwa maelezo zaidi kuhusu "manufactured reality" na jinsi nation states, paper money na corporations, al9ng with God, zilivyo "manufactured reality"soma kitabu "Sapiens: A Brief History of Humankind" cha Profesa Yuval Noah Harari.

Nikiandika kitabu kinachosema kuna pembetatu ambayo ni duara, hiyo ni contradiction, maana yake hakuna hiyo pembetatu ambayo ni duara.

Hilo halimaanishi Euclidean geometry yote haina maana.

Unapofanya analogy, kulinganisha vitu, linganisha vitu vinavyolinganishika, kwa mizani.

Siyo unabwatuka tu bila mizani wala logic.

Mungu wako hujamthibitisha kwamba yupo, wala hujqjibu hoja zangu za kuonesha hayupo.

Umelazimisha mambo kwa nguvu na misanalogy tu.
 
Ni kwa sababu wengi wetu hilo neno tunalisikia sana kanisani, halitumiki sana mtaani

MATENDO 10​

Petro na Kornelio
1Kulikuwa na mtu mmoja huko Kaisarea aitwaye Kornelio, jemadari wa kikosi kimoja kiitwacho “Kikosi cha Italia.” 2Alikuwa mtu mwema; naye pamoja na jamaa yake yote walimcha Mungu; alikuwa anafanya mengi kusaidia maskini wa Kiyahudi na alikuwa anasali daima. 3Yapata saa tisa alasiri, aliona dhahiri katika maono malaika wa Mungu akiingia ndani na kumwambia, “Kornelio!” 4Kornelio alimkodolea macho huyo malaika kwa hofu, akamwambia, “Kuna nini Mheshimiwa?” Huyo malaika akamwambia, “Mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini wala hatazisahau.
Inabidi mfungue mawazo na kuelewa kwamba kanisa halina monopoly ya sadaka.

Kwamba sadaka is something very human na ilikuwepo hata kabla ya kanisa.

Waislamu wanatoa sadaka kwa utamaduni wao.

Wayahudi wanatoa sadaka kwa utamaduni wao.

Wahindu wanatoa sadaka kwa utamaduni wao.

Washinto wanatoa sadaka kwa utamaduni wao.

Philanthropist wanatoa sadaka kwa utamaduni wao.

Hao wote hawatoi sadaka kwa sababu hawaendi kanisani?
 
Kwa nini?

Kwa nini kaamua kuumba ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika, wakati alikuwa nanuwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika?

Kujibu ana uhuru wa kufanya atakavyo si jibu, sijauliza kama ana uhuru au hana uburu. Tuseme nishakubali ana uhuru.

Nauliza, kwa nini kaamua kuumbq ulimwengu ambao dhambi inaweza kufanyika, wakati alikuwa nanuwezo wa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika?

Hujajibu swali hili.

Kujibu ana uhuru si jibu.

Ni sawa nikuulize, Rais SSH kwa nini kaenda Marekani?

Ukisema kaenda Marekani kwa sababu ana uhuru si jibu hilo. Sijauliza kama ana uhuru au hana uhuru.

Kuna jibu lingine, labda kaenda Marekani ku promote Royal Tour.

Sasa ukielewa hilo, utaona jibu lako limepwaya. Jibu la "ana uhuru" linanesha hujui jibu sahihi.

Hujui jibu sahihi kwa sababu hakuna jibu sahihi.

Hakuna jibu sahihi, kwa sababu Mungu hayupo, ni hadithi iliyotungwa na watu tu.

Hadithi yenye mapungufu mengi sana ya kimantiki.

Ndiyo maana huwezi kutoa jibu lililo na uthabiti wa kimantiki.

Unaishia kujibu "Mungu ana uhuru", wakati mimi sijahoji uhuru, nimehoji sababu.

Wewe mwenyewe humuelewi huyo Mungu wako.

Huwezi kumuelewa.

Kwa sababu, hayupo.
Mungu anao uhuru wa kuamua kipi akiweke wazi na kipi akifiche. Swali la kwanini ameumba ulimwengu unaoruhusu dhambi iwezekane hajaliweka wazi kwa namna ambayo wewe unataka.

Kimsingi rais akiulizwa anaweza kukupa jibu kwasababu yeye amechaguliwa na yupo kwa mujibu wa katiba. Hapa ndio kuna tatizo kwasababu Mungu hajachaguliwa kidemokrasia. Yeye ni mfalme na ameumba kila kitu.

Ameumba hivi akiwa na sababu za msingi hata kama hajaziweka wazi. Wewe na ubongo huo wa 3 pounds ndio uhoji kwanini Mungu ameamua jinsi alivyopenda?
 
Waliyemtunga huyu Mungu wameungaunga mengi sana ya uongo.

Huhitaji kufikiri sana kuona hilo.

Sasa, watu wa kale unaweza kuwasamehe kwa sababu elimu ilikuwa ndogo. Wengi sana hawakujua kusoma, hawakuwa na vitabu wala internet.

Hawa watu wa leo ambao wana teknolojia kubwa sana na habari nyingi kiganjani, ambao bado wanaamini uwepo wa huyu Mungu, excuse yao ni nini?
Mungu yupo above and beyond hiyo technolojia yako unayoongelea mkuu
 
Mungu anao uhuru wa kuamua kipi akiweke wazi na kipi akifiche. Swali la kwanini ameumba ulimwengu unaoruhusu dhambi iwezekane hajaliweka wazi kwa namna ambayo wewe unataka.

Kimsingi rais akiulizwa anaweza kukupa jibu kwasababu yeye amechaguliwa na yupo kwa mujibu wa katiba. Hapa ndio kuna tatizo kwasababu Mungu hajachaguliwa kidemokrasia. Yeye ni mfalme na ameumba kila kitu.

Ameumba hivi akiwa na sababu za msingi hata kama hajaziweka wazi. Wewe na ubongo huo wa 3 pounds ndio uhoji kwanini Mungu ameamua jinsi alivyopenda?
Unajuaje Mungu hajaweka wazi na si kwamba Mungu hayupo?

Kama Mungu hayupo, halafu mtu akaamua tu kujudanganya akakwambia Mungu hajulikani wazi kwa sababu kaamua kutojiweka wazi kwa sababu zake, ukaamini hilo, utajuaje ukweli kwamba Mungu hayupo wakati umetanguliza imani potofu?

Unajuaje hatujui sababu za Mungu kuumba ulimwengu unaoruhusu dhambi kwa sababu Mungu kaamua kutoziweka wazi, na si kwa sababu Mungu hayupo?

Kama unaamini uwepo wa Mungu usiyemuelewa vizuri, unajuaje kwamba huyo Mungu yupo kweli na habari za uwepo wake si hadithi za watu tu tumedanganyana kwa sababu zetu za kidunia hii tu?
 
Mungu yupo above and beyond hiyo technolojia yako unayoongelea mkuu
Hujathibitisha hilo.

Kwa msingi huo naweza hata kukuambia mimi ndiye huyo Mungu ila niko above and beyond uelewa wako, unatakiwa ukubali tu.

Hii hoja ya "Mungu yuko above and beyond" ni hoja mufilisi. Ni hoja ya intellectual laziness. Ni hoja ya kuzima mjadala bila uchunguzi.

Ni hoja usiyoweza kuithibitisha.

Kwa sababu, Mungu huyo hayupo.

Watu tunapenda kunifariji kwamba yupo.

Tunapenda uongo mtamu, kuliko ukweli mchungu.

Tunapenda hadithi nyepesi nyepesi za kitoto.

Uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni hadithi nyepesi ya kitoto.

Ndiyo maana ukiichambua kimantiki, inafeli.
 
na sisi tunasema kuwepo kwetu ni kwa sababu ya ukarimu wa Mungu
Mungu yupo
Te problem of evil contradicts the existence of such a God.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kusingewezekana kuwepo na mabaya sehemu yoyote.

Mabaya yanawezekana kuwepo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

Unaelewa mantiki hii ndogo tu?
 
Unachanganya mambo.

This is sheer intellectual laziness.

Contradiction kwenye katiba inaweza kumaanisha hilo jambo lenye contradictions halipo. Hilo halimaanishi Tanzania haipo.

Ingawa hata Tanzania nayo ni "manufactured reality" tu. Ndiyo maana mpaka leo kuna watu wanasema mpaka wa Tanzania na Malawi upo katikati ya ziwa Nyasa, na wengine wanasema mpaka upo pwani ya ziwa Nyasa upande wa Tanzania. But that is another topic, ukitaka ianzishie thread yake tuijadili.

Kwa maelezo zaidi kuhusu "manufactured reality" na jinsi nation states, paper money na corporations, al9ng with God, zilivyo "manufactured reality"soma kitabu "Sapiens: A Brief History of Humankind" cha Profesa Yuval Noah Harari.

Nikiandika kitabu kinachosema kuna pembetatu ambayo ni duara, hiyo ni contradiction, maana yake hakuna hiyo pembetatu ambayo ni duara.

Hilo halimaanishi Euclidean geometry yote haina maana.

Unapofanya analogy, kulinganisha vitu, linganisha vitu vinavyolinganishika, kwa mizani.

Siyo unabwatuka tu bila mizani wala logic.

Mungu wako hujamthibitisha kwamba yupo, wala hujqjibu hoja zangu za kuonesha hayupo.

Umelazimisha mambo kwa nguvu na misanalogy tu.
Unalazimisha sana Mungu aonekane hayupo, kisa contradiction ndogondogo
 
Back
Top Bottom