Mungu aliumba mwanadamu na kumpa uhuru wa kuchagua. Hakuna adhabu bali kuna matokeo ya kile mtu anachagua.Kwa hiyo Mungu alimuumba makusudi mwanadamu aliyejua vyovyote vile atahasi? So aliumba makusudi kiumbe ambacho hakiko perfect ilikihasi halafu akiadhibu?
Unampaje uhuru wa kuchagua mtu ambaye unajua mwisho wake yani unajua atakachokichagua hata kabla hujamuumba na yet unamuumba ili akachague upande unaodai ni mbaya umpunish?Mungu aliumba mwanadamu na kumpa uhuru wa kuchagua. Hakuna adhabu bali kuna matokeo ya kile mtu anachagua.
Watu wafuatilie sio?Kuna watu wengi wanafuatilia hii mijadala hivyo yeye kutokukubali kushibdwa wala sio tatizo.
Basi ndo keshasema hataki na wala hayupo sasa mnamlazishaIli atafute kulijua na kuliishi kusudi la Mungu kwenye maisha yake.
Rubani wa Boeing 777 akiamua kutua juu ya ndege nyingine halafu ajali ikatokea na kuua watu utawalaumu Boeing kwa kutengeneza ndege ambayo inaweza kuanguka?.Unampaje uhuru wa kuchagua mtu ambaye unajua mwisho wake yani unajua atakachokichagua hata kabla hujamuumba na yet unamuumba ili akachague upande unaodai ni mbaya umpunish?
Uyahudi unasema Mungu aliumba Ulimwengu mkamilifu ila kiumbe wa Mungu aitwae malaika akahasi kwa kutumia uhuru wake wa kifkra kwa kuchagua kumpinga MunguKulingana na maandiko ya wayahudi.
Boeing sio muumba, Mungu hapaswi kuwa na udhaifu huo.Rubani wa Boeing 777 akiamua kutua juu ya ndege nyingine halafu ajali ikatokea na kuua watu utawalaumu Boeing kwa kutengeneza ndege ambayo inaweza kuanguka?.
Ukifuata kanuni za muumba wala hakuna punishment.
Kwa nini iliwezekana dhambi kufanyika?Unafahamu dhambi ilianzaje duniani?
utufungue macho lini ulitufunga bwasheee?Ndio tupo hapa kuendelea kuwafungua macho.
Umeeleza vizuri. Kuna pande mbili na unatakiwa kuchagua moja.Uyahudi unasema Mungu aliumba Ulimwengu mkamilifu ila kiumbe wa Mungu aitwae malaika akahasi kwa kutumia uhuru wake wa kifkra kwa kuchagua kumpinga Mungu
Toka umalaika mpaka akawa Shetani
Ila kumbuka katika mtiririko huo wote Mungu alikuwa anajua kuwa siku moja ataumba kiumbe ambae ni malaika na baadae huyo malaika atahasi ili awe shetani
Na huyo Shetani baadaye aatatupwa na Mungu duniani ali awajaribu binadamu ili waweze kuutumia uhuru wao wa kumchagua Mungu au Shetani kwa ahadi ya Kuzimu kama wataamua kwa uhuru wao aliyowapa Mungu kumtumikia Shetani
Au ahadi ya uzima wa milele kama wataamua kumtumikia Mungu kwa uhuru wao
Huyo uhuru una faida gani kama mwisho wa siku umepewa alternative mbili tu?
Iliwezekana kwasababu Mungu alimpa mwanadamu uhuru wa kuamua.Kwa nini iliwezekana dhambi kufanyika?
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika?
Huo ulikuwa ni mfano rahisi kuonesha namna uhuru unaweza kutumiwa vibaya. Mungu alijua uasi utaweza kutokea kwasababu ya uhuru aliompa mwanadamu. Ila upendo wake ulimfanya aamue kumwamini mwanadamu kwamba atafuata maelekezo yake.Boeing sio muumba, Mungu hapaswi kuwa na udhaifu huo.
Na watengenezaji wa boeing hawakujua kuwa ipo siku rubani kichaa anaweza kufanya hivyo maana hawajui ya mbeleni lakini Mungu anayajua hata kabla hajakuumba kuwa huyu lazima atanihasi. So mfano wako ni irrelevant
So kumbe sio mjua yote? Aka assume kuwa atafuata maelezo yake, so kumbe sio mjua yote? So upendo ukamtia weakness? Na mwisho binadamu hakufuata maelekezo yake, which means hajui yote sasa.Huo ulikuwa ni mfano rahisi kuonesha namna uhuru unaweza kutumiwa vibaya. Mungu alijua uasi utaweza kutokea kwasababu ya uhuru aliompa mwanadamu. Ila upendo wake ulimfanya aamue kumwamini mwanadamu kwamba atafuata maelekezo yake.
Shetani ndie nani hapa mjini daslamu au Katika ngazi ya uongozi Mpaka anifunge?Aliyekufunga ni shetani na utawala wake.
HahaHakubaligi kushindwa huyo, si unaona tangu asubuh hadi jioni hii bado mpo kwenye ligi tu.
Mwishoni mtaishia pabaya
Anajua yote na ametengeneza njia ya kumsaidia mwanadamu. Anachotaka yeye ni Kuhakikisha unamchagua kwa hiari yako.So kumbe sio mjua yote? Aka assume kuwa atafuata maelezo yake, so kumbe sio mjua yote? So upendo ukamtia weakness? Na mwisho binadamu hakufuata maelekezo yake, which means hajui yote sasa.
Unajichanganya na unamwondolea sifa za kuwa ni perfect.