Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kaumba kweli huu ulimwengu au hajaumba? Tuanzie hapo.Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo, kwa nini kaumba ulimwengu ambao unaweza kuruhusu mabaya, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?