Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe unaongelea neno, mimi naongelea dhana.Naongela asili ya tamko "Sadaka", usiniulize swali hilo, halipo katika msingi wa tamko, bali limekuja kuelezea kwa lugha ya kiingereza. Elewa nilichokiandika.
Waulize wenye tamko lao "Sadaka" wanalofasili vipi.
Hivyo umebaki kwenye lugha moja, wakati mimi nimekusanya lugha zote katika dhana.
Hiyo ndiyo tofauti yako na mimi.