Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kuna mahali nimesema mimi ni Kiranga?
Wewe ni kiranga? Mbona unamjibia? Wapi kasema haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni kiranga? Mbona unamjibia? Wapi kasema haya?
Unajichanganya sana ujue.Anajua yote na ametengeneza njia ya kumsaidia mwanadamu. Anachotaka yeye ni Kuhakikisha unamchagua kwa hiari yako.
Mwanangu, uwe na hekima na kunifurahisha moyo wangu ili nipate kumjibu anilaumuye.Unampaje uhuru wa kuchagua mtu ambaye unajua mwisho wake yani unajua atakachokichagua hata kabla hujamuumba na yet unamuumba ili akachague upande unaodai ni mbaya umpunish?
Kama Mungu mjua yote hata wakati anamjaribu Ayubu alijua kuwa atalishinda maana si anajua hata ambayo hayajatokea? Hivyo majibu tayari alikuwa nayo hata kabla ya kumuumbaMwanangu, uwe na hekima na kunifurahisha moyo wangu ili nipate kumjibu anilaumuye.
meth27.
Hata Mungu anajua maumivu tunayoyapata wanadamu...wewe sio wa kwanza kila Binadamu anapopata matatizo hujiuliza maswali kama yako rejea kisa cha Ayubu mpaka mkewe alimshawishi amkufuru Mungu...
Unajua maana ya dhambi?Kwa nini iliwezekana dhambi kufanyika?
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika?
Kuna vitu viwili. Predestination na Foreknowledge.Unajichanganya sana ujue.
Narudia tena, anajua kabisa huyu mwisho wake ni huu, ni kuniasi kwasababu ya udhaifu wake lakini bado unasema anakuumba na uhuru huku akijua utamuasi? So anakuumba akijua utamuasi ili akupunish?
Maana kama anajua mwisho wako ni uasi hategemei ubadilike maana mwisho ashaujua.
Iliwezekana kwasababu Mungu alimpa mwanadamu uhuru wa kuamua.
Mungu ameumba tayari ulimwengu ambao dhambi haiwezi kufanyika. Ni ule unaofuata baada ya huu. Hapakuwa na dhambi tena.
Haimake sense, kama ni mjua yote na uwezo mnaosema mambo yake hayawezi kuwa ya probability na possibility lazima yawe ya uhakika yasiyokuwa na shaka kabisa.Kuna vitu viwili. Predestination na Foreknowledge.
Predestination, ni kwamba yeye ameweka plan toka mwanzo kwamba amekuumba na uwezo wa kumfuata yeye. Na ikiwa umefail basi amekuwekea njia ya kujirekebisha.
Foreknowledge, hapa ni Mungu anakuona wewe mwaka 2000, mwaka 2022 na mwaka 2040 (kwa maana ya past, present and future). Anaona unachofanya nyakati zote za maisha yako. Sio kwamba amekupangia au anacontrol unachofanya bali anakuona. Yeye hafungwi na muda.
Hakushindwa na ndio maana tayari ameuumba huo usio na dhambi. Utakuwa na uhuru na hautakuwa na dhambi.Kwa nini hakuumba huu ukiwa hauwezi kufanyika dhambi?
Huo ulimwengu unaokuja unaweza kuthibitisha upo kweli na si hadithi tu?
Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao una uhuru, lakini hauna dhambi?
Hajakuacha upotee. Hata muda huu tunaandika hapa ni yeye anaendelea kukukumbusha ufuate njia aliyoiweka kwa ajili yako.Haimake sense, kama ni mjua yote na uwezo mnaosema mambo yake hayawezi kuwa ya probability na possibility lazima yawe ya uhakika yasiyokuwa na shaka kabisa.
Sasa hiki cha kukuona mbeleni na akajua nini kitakutokea na bado akakuacha upotee akakuumba ili aje akuadhibu ndo kinashangaza.
Mungu hakututengeneza kama robort au midoli inayochezeshwa alituumba ili tutawale dunia. kama utapata muda soma mwanzo) ili ujue lengo lake kutuumba duniani.Kama Mungu mjua yote hata wakati anamjatibu Ayubu alijua kuwa atalishinda maana si anajua hata ambayo hayajatokea? Hivyo majibu tayari alikuwa nayi hata kabla ya kumuumba
Kwa hiyo hana uhakika na alichoomba hana uhakika wa mwisho wake? Basi hapa unamwondolea sifa ya kujua yoteHajakuacha upotee. Hata muda huu tunaandika hapa ni yeye anaendelea kukukumbusha ufuate njia aliyoiweka kwa ajili yako.
Huo wa kuhadithiana uondoe, mimi sikubali kwamba upo na wewe huwezi kuthibitisha kwamba upo.Hakushindwa na ndio maana tayari ameuumba huo usio na dhambi. Utakuwa na uhuru na hautakuwa na dhambi.
Nimekuuliza, Mungu si mjua yote? Na freedom aliyonipa ya kuchagua si inabidi ajue mwisho wangu ni nini?Mungu hakututengeneza kama robort au midoli inayochezeshwa alituumba ili tutawale dunia. kama utapata muda soma mwanzo) ili ujue lengo lake kutuumba duniani.
Sasa wewe utaweza kulalamika kwa jinsi unavyotumia uhuru wako hapa kumkataa Mungu? Anao uhakika kwamba utautumia uhuru wako vizuri.Kwa hiyo hana uhakika na alichoomba hana uhakika wa mwisho wake? Basi hapa unamwondolea sifa ya kujua yote
Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchiBasi ndo keshasema hataki na wala hayupo sasa mnamlazisha
Kuumba ufanane vipi na lipi liwezekane au liwezekane ni uamuzi wake kama mmiliki wa ulimwengu.Huo wa kuhadithiana uondoe, mimi sikubali kwamba upo na wewe huwezi kuthibitisha kwamba upo.
Kwa nini hakuumba huu uwe hauwezekani kufanyika dhambi?
Kwanini acheleweshe mpaka huo unaousema?
Anapenda watu waangamie katika dhambi?